Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Anyeong haseyooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo! (Mambo ya Kim Un) Imeaminika na inavumishwa sanaaa na wazambi wachache, watu wa mataifa kuwa pesa ndo kila kitu! Bila pesa sijui usijisumbue...
17 Reactions
172 Replies
13K Views
Habari ndugu zangu! Nimebadilika sana, nahisi kutokuwa sawa kiroho! Nipo mbali na nyumbani tangu 2021, yaani huwa tu naenda kusalimia na kurudi. Nipo Dodoma kikazi na tangu nije huku nimeona...
10 Reactions
49 Replies
2K Views
Wanajukwaa Poleen na Majukum,Naomben Msaada wa Maarifa kutafasiri Ndoto. Ukiona Nyoka wawili kwenye Ndoto huwa wanamaanisha nini?
4 Reactions
34 Replies
666 Views
Natumaini hamjambo! Poleni na misiba ya wapendwa wetu - Kariakoo. Baada ya kukutana na maigizo mengi sana kutoka kwa watu (ndugu, mpenzi, marafiki na jamaa) niliyumba sana. Nilihisi dunia...
7 Reactions
18 Replies
513 Views
Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Fuatilia Jamii zote zenye maendeleo wanawake wanafanya Kazi za uzalishaji. Na ukiona mwanamke hafanyi Kazi za uzalishaji ujue anahisa katika kampuni za mumewe...
13 Reactions
124 Replies
2K Views
Ndugu zangu salaam sana Katika harakati za dunia tunafahamu fika jukumu la mwanaume ni kutawala, kutunza na kuongoza kile kilicho mali yake ikiwemo mwanamke wake Kupitia jukumu hili kubwa...
9 Reactions
17 Replies
822 Views
Upendo haupaswi kuumiza yeyote. Ikiwa unachotaka ni upendo unaodumu, unaweza kuupata hakika... There’s nothing wrong with you. And there’s nothing wrong with the one who broke your heart...
7 Reactions
22 Replies
629 Views
Za maamko Kuna watu mnataka kuwafungulia biashara wake zenu ila epuka hii kitu Mfungulie biashara ila hakikisha hajui wapi marighafi unatolea yaani machimbo unakochukua mzigo wewe fanya...
42 Reactions
283 Replies
4K Views
Habari wakuu, Kuna urafiki yangu toka mkoani kwetu, alifunga ndoa na binti jirani pale mkoani mwaka 2022. Kiufupi jamaa alikuwa anajimudu kiuchumi, Lakin gafla baada ya ndoa yao mambo yalienda...
5 Reactions
31 Replies
2K Views
Nilimuambia kama ukiondoka na huyo mtoto basi jua kuwa sitamhudumia kwa chochote. Mwanzo nilikua naongea kama utani kwani niliamini kuwa mke wangu hawezi kuondoka. Ni kweli nilishamfanyia mambo...
19 Reactions
25 Replies
2K Views
Wakuu wangu shikamooni, Kitambo sijakuja humu lakini shule ilibana na nilikuwa nimechange life style kidogo Nimemuacha yule mkurya wangu leo rasmi coz nahisi nina matatizo kila wakati...
2 Reactions
122 Replies
9K Views
Wakati fulani miaka ya 2000 nilicheza show mbovu sana kiasi cha kudharauliwa na demu. Demu akaniambia mbona tunapochati unakuwa na mbwembwe nyingi sana ila kumbe hauna maajabu. Kwa kweli...
57 Reactions
165 Replies
19K Views
Habari zenu. Mwaka 2016 kulikuwa na couple humu zenye mbwembwe sana ila ghafla mwanzoni mwa 2019 zikaanza kufifia na mwaka 2020 zikapotea kabsa na sasa sioni watu wakiandikiana maneno mazuri...
8 Reactions
181 Replies
14K Views
Daaaaah, nime mwomba Mungu ingiliekati utuokoe tena. Nilikuwa nimetulia sehem nasubiri foleniipungue nielekee home mida ya saa 3 hivi usiku. Akaja jamaa mmoja smart yuko poatu na begilake...
9 Reactions
42 Replies
5K Views
NImetoke kuvutiwa sana na ubebaji wa mimba kwa wanawake natamani vile vitumbo vinapo tangulia mbele najisikia furaha sana. pia sichoki kuwaangalia wanawake wajawazito bilashaka wananipa furaha...
11 Reactions
338 Replies
29K Views
Salaam wakuu Miaka michache iliyopita nilipitia mambo mengi kwenye ndoa ambayo nikiri kuwa hayakuwa mazuri kwa ukuaji wa watoto wetu kisaikolojia. Watoto walishuhudia nikipigwa mara nyingi sana...
13 Reactions
72 Replies
4K Views
Wana JF Heri ya mwaka mpya. Mimi ni baba wa miaka 40 form four leaver, sina ujuzi wala maarifa yoyote ya maisha. Tangu nimalize elimu ya sekondari, sijawahi kufanya kazi yoyote ya kuniingizia...
28 Reactions
116 Replies
12K Views
Habari zenu waungwana? Mimi mdogo wenu leo naweka hili bandiko humu kuomba ushauri kwa maana akili na maamuzi yangu naona kama yanashindwana na matamanio ya mwili wangu. Kiufupi kuna msichana...
7 Reactions
104 Replies
17K Views
Mgoni wangu umenivunjia ndoa yangu halafu unanitukana eti nimuache mwanamke niliyemlipia mahari kumzalisha na kumpendezesha! Mzigo nilikuwa nao kifuani kukutoa roho siwezi maana sitoridhika Ila...
33 Reactions
241 Replies
17K Views
WANAWAKE zaidi ya million 5 wamechanganyikiwa na jangili na muuaji hapa USA .Ndio mkaka mzuri lakini du hizo tabia zake sio mchezo .Ila tweeter tmz na Facebook Yaani WANAWAKE hoi hoi .hivi ni kwa...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Back
Top Bottom