Nilitakiwa kuweka bandiko hili siku ya tukio. Ni vile tu nilipatwa na kihoma cha mfadhaiko na mshangao wa hali ya juu kilichopelekea kumtafakari zaidi Israel na kujisahau kuingia JF kwa Baba yetu...
Saizi kidogo napumua hata nikiona simu yake naichukulia poa tu hata asiponipigia mwez mzima hata sistuki ila zamani dah kila muda bebi upo wap bebi unafanya nini?
Na nikimuona na mwanaume naumia...
Hakika mapenzi ya Tabora hawa wanawake wa kinyamwezi ni kiboko.
Kuishi ama kufika ama kupita Tabora ni raha sana, mapenzi tele na raha zake na utamu wa mapenzi ya Tabora hakuna mkoa pinzani...
Habari,
Wakuu bana me nilikuwa namla demu mmoja miaka 3 iliyopita huko tukaja kuachana kupotezeana sasa mwaka HUU kahamia hapa ninapokaa kumbe alishazaaga huko mtoto mwaka na kitu hivi sasa...
Mwanaume ameoa mke wake. Wakagombana. Mke wake akamwambia. Na kwa taarifa yako hata hawa watoto sio wa kwako. Wana watoto sita. Mwanaume akaona hizi ni hasira tu.
Ila baada ya muda fulani hili...
Yaani kwa tafiti kadhaa nilizofanya na uzoefu binafsi nimeamini kweli watu wapole na watulivu hawanaga bahati kwenye mahusiano.
Unaweza kuta mdada mzuri, mtulivu, hana makuu lakini aliyeolewa nae...
Poleni wana jukwaa na mihangaiko ya kutafuta chochote kitu maisha yasonge..
Sina mengi sana ila nina swali kwa wanawake leo hii, hivi ni kitu gani huwasababisha mchelewe location????
Mnaweza...
Photo credit: Shutterstock.com / pics five
A cultural shift driven by finances and changing values
Young adults are increasingly viewing marriage as an optional life choice rather than a...
MY STORY: Alinibebesha ujauzito Mama yangu akamakataa akafungwa miaka 30 kisa Dini.
Nilipomwambia Mama yangu kuwa nina ujauzito wa mwanaume ambaye si wa dini yangu, alikasirika sana. Aliniambia...
Kama huyo mtu wako kakuumiza, usije huku na kuanza kutuambia, "wanaume wote au wanaume wote wa kitanzania ni washenzi", we kua tu specific mfano " hazard cfc wa nyumba na 345 kijiji flani/mtaa...
Nashindwa kuwaelewa hawa viumbe. Yaani ukichepuka na mke wa mtu, labda usiwe mdadisi tu, lakini ukisema udadisi, unapatiwa siri zote za jamaa
Haijalishi huyo mwanamke ana cheo gani serikalini...
Vilio ni vingi sana majumbani wengi wa wanawake shoo hamziwezi shuhuda tunazipata kwenye vijiwe vyetu vya kahawa
Visingizio ni vingi mara mseme mmechoka mara sijui tunapiga shoo kila siku kama...
Kuna misemo mingi katika jamii ikihamasisha wanandoa waishi tu kwa kuaminiana, watu wasichunguzane ili ndoa zao zidumu muda mwingi. Kama kuna kirusi kimeingia katika ndoa kupitia mke wako...
Kuna haya makundi 4 ya wanawake yanafanana sana
Mwanamke mcheza porno
Mwanamke mcheza onlyfans
Malaya anayejiuza
Mwanamke asiye bikira (mdangaji) hili ndilo kundi ambalo wanaume wengi miaka hii...
Habari za Usiku Wana Jamiiforums leo nmekutana na huu Uzi nikaamua niwasogeze wadau ✍👇
Sababu tano za kwanini huenda EX wako anakusimbua. (FOR MEN)
1. Sasa yeye ni mama wa mtoto.
2. Ametumiwa...
NITAWAELEZAJE ILI NIOE?
Habari za leo kaka magic power
Kuna jambo linaninyima usingizi sana,Mimi ni kijana na baba wa miaka 31 ila sijaoa ni mwajiriwa serikalini na mjasiriamali nina mabinti...
Kuna makabila ambayo ukiowa huko hutakaa ujute kwene maisha yako!
Makabila bora kabisa kupata mke ni:
1. Wabena
Hawa watu ni wavumilivu na wanajali familia. Si watu wa tamaa tamaa au wazinzi...
Wa kutumia pesa zako ukitoa mama, ni mke wako. Msininukuu vibaya, namaanisha mke uliyemtoa usichana ukaiona damu yake. Mwisho wa nukuu.
Naungana na ndugu zangu Natafuta Ajira pamoja na R Heriel...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.