Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Jana nimetoka zangu kazini jioni kuna jamaa yangu kanipitia, mr pipa kuna ka elfu 20 hapa tukale mtungi. Mimi mambo si haya na ukicheki nipo ugenini mke nimemuacha home, basi nikaoga zangu huyo...
18 Reactions
30 Replies
1K Views
Habar wana JF, Naimani mko wazima. Kiukweli nimekuwa na wasiwasi na safari ya wife, sijui kwanini lakini ni safari ambayo siielewi kabsa wakuu. Nina mashaka nayo coz naona mapicha picha tu. Ni...
72 Reactions
778 Replies
46K Views
Naomba niende moja kwa moja kwenye point bila hata salamu. Linapokuja suala la mahusiano ya kimapenzi je, wanawake mnataka nini? Mmetusisitiza sana tutafute hela lakini wenye pesa zao hao wakina...
8 Reactions
40 Replies
2K Views
Wakuu, Leo kuna binti kanifuata akasema ana jambo lake anataka kuzungumza na mimi. Kwakua mimi huwa natoa ushauri wa kisheria basi nikajua nimepata mteja. Nikamwambia sawa ngoja nimalize...
16 Reactions
84 Replies
9K Views
Ukimkuta sio bikra hilo ni jibu tosha kuwa mwanamke uliye naye hajatulia ni malaya Hili halihitaji mjadala wala kuandika uzi mrefu Ukweli ni kwamba miaka hii binti akishabikiriwa ujue ndiyo...
47 Reactions
310 Replies
8K Views
Wana jukwaa naomba nisipoteze muda niende moja kwa moja kwenye mada. Nimepitia misuko suko mingi sana katika mahusiano,ilifika mahali nikaomba wadau mnishauri kwa baadhi ya mambo...
10 Reactions
520 Replies
86K Views
Wadau natumaini nyinyi ni wazima wa afya, leo nimeleta hili suala baada ya kuona nimekosea mwanaume mwenzangu pakubwa sana. Mimi ni kijana, sasahivi nina miaka 23 tu katika maisha yangu sijawahi...
9 Reactions
52 Replies
5K Views
Usinichoshe,tusichoshane... Salam hazina maana... Yani sasa hivi kila mwanamke nikimtaka,awe mke wa mtu,awe mwanafunzi wa chuo,awe mwanafunzi wa secondary,awe single mama,awe yupo yupo tu wote...
8 Reactions
80 Replies
3K Views
Salaam, Shalom! Ukitamka tu NDOA Takatifu, umekaribisha vita ,tena Si vita ndogo ni vita kuu, vita ya kuwania funguo za vizazi. Naweka seat, Nitatejea kusimulia sawasawa na nilivyosikia rohoni.
1 Reactions
2 Replies
574 Views
"Mwanaume anaweza kuchepuka na bado akawa na upendo wa dhati kwa mke wake lakini mwanamke hawezi kuchepuka na akaendelea kumpenda mume wake kwa dhati.Nasema hivi kwasababu mwanaume hafanyi tendo...
52 Reactions
222 Replies
22K Views
Ni kweli wanawake tunapenda kuongea tena ni jadi yetu, lakini tujitahidi kuchuja maneno tusisahau hata Bibilia imeandika, "Mwanamke mwenye hekima huijenga nyumba yake, lakini mpumbavu huibomoa kwa...
35 Reactions
72 Replies
3K Views
Kuna mwanamke niliingia naye kwenye uhusiano kama kawaida lengo kula mzigo ile kunikubalia kama kawaida yao omba omba. Nikapigwa kitu cha fity yaani buku 50 kwakuwa wanasema huli bila kutoa...
24 Reactions
172 Replies
7K Views
Nahisi ni wakati sahihi wa kuanza kufanya maendeleo na kufikiria ni kwa jinsi gani ninaweza kutoboa kimaisha. Imenibidi kuachana na mawazo ya mbususu katika akili yangu. Kipato changu cha wiki...
6 Reactions
35 Replies
3K Views
Habarini za asubuhi waungwana. Kwanza kabisa nichukue nafasi hii kuwapa HESHIMA ya pekee wale wote mlioko kwenye ndoa. Turudi kwenye mada, Nimebahatika kupata mtoto na sasa ana miezi miwili...
8 Reactions
118 Replies
6K Views
Tutafute pesa aisee dunia haina huruma kwa mtu masikini hii yaani daa na tuangalie familia tunazo oa aisee wewe unaenda kuoa familia ya mwanamke ambaye kwao ni mkombozi wa familia kwamba siku...
11 Reactions
21 Replies
1K Views
Ushindi mwingine ni kufahamu udhaifu wako ni upi na uimara wako uko wapi ukijua hilo kwa sehemu wewe ni mshindi na itakusaidia kujua nani anataka kutumia udhaifu wako kwa manufaa yake. Kuna watu...
5 Reactions
1 Replies
177 Views
Hakikisha unakuwa na mtu wa udhaifu wako yaani kuna raha nikisema kuna raha niamini kuna raha jamani. Oana na wa aina yako Ukimuwaza unapata hisia, huchoki kumtazama, unatembea naye njiani kwa...
1 Reactions
9 Replies
426 Views
Katika safari ya maisha, mara nyingi hukutana na watu wa tabia tofauti, kila mmoja akiwa na changamoto zake. Wapo watu ambao mawazo yao yanaweza kuelekezwa kwenye masuala maalum kama kazi...
13 Reactions
48 Replies
2K Views
Mimi ni mama mwenye umri wa miaka 30. Nina mtoto mmoja. Wakati wa usichana wangu...nilikua kicheche sana na niliishi maisha ya gharama sana na nilibahatika kupendwa na watu wengi sana wenye pesa...
4 Reactions
57 Replies
10K Views
Kwenye zama hizi za uzinzi na JF iliyosaidia kuondoa stress, kuna mengi. Najua wanawake ni wasiri sana,japo na wao wameangusha train nyingi sana. Kuna wakati unajikuta umefanya jambo la aibu,kwa...
25 Reactions
227 Replies
22K Views
Back
Top Bottom