Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Unapokuwa umejenga nyumba yako nzuri na kuiwekea fens au uzio suala la utupaji taka taka nje kwa majirani linaumiza jitahidi uwe na sehemu ya kuhifazia taka taka Ukitaka udumu tendoni jaribu...
2 Reactions
16 Replies
962 Views
𝗠𝗝𝗨𝗞𝗨𝗨 𝗪𝗔𝗡𝗚𝗨 𝗧𝗔𝗠𝗕𝗨𝗔 Mwanamke kabla ya kuachana na wewe, anakua ameshajua atakua na nani. Hii ni tofauti kwa Mwanaume. Mwanaume hawezi kujua atakua na mwanamke gani baada ya kuachana na...
1 Reactions
2 Replies
320 Views
Wakuu kumradhi nilishindwa kupiga picha. Ilikuwa ni ndoto ya maisha yangu kuwa ipo siku nitapata binti bikra nione ikoje ninapoitafuna, leo sasa ndoto yangu ilitimia kilichobaki sasa nikupambana...
12 Reactions
69 Replies
8K Views
"Siwezi kuolewa na Mwanaume asiekuwa na Gari" Maneno haya anasema mwanamke ambaye anatumia sabuni ya kuogea mpaka size yake inakuwa kama kipande cha line ya simu🤭 . . . . Ewe Mwenyezi Mungu...
7 Reactions
20 Replies
794 Views
Samahani kwa mliiooa wanawake wa kichaga. Uzoefu wa wengi ni kwamba wanachukuana wao kwa wao. Kila anayekuja ni kaka wakati ni washikaji hata wengine wana ukoo wa damu kama mtoto wa baba mkubwa au...
4 Reactions
7 Replies
567 Views
Mara mbona uniweki status, mara meseji za uko wapi sasa hivi, mara mbona haunipigii mara kwa mara, mara mtoto wangu anaumwa, mara kodi ya nyumba inakata kesho (kwani ulikuwa unaishije kabla yangu👽).
5 Reactions
13 Replies
516 Views
Asili ya muingiliano wa mahusiano baina ya mwanaume na mwanamke kila upande una jukumu lake. Mwanaume ni provider na protector, mwanamke ni reciever na helper, na huu ndio ulikua msingi wa...
2 Reactions
2 Replies
343 Views
Habari wakuu! Siku hz unakuta wanasema haki sawa ktk njanja zote. Sasa ktk familia unakuta mwanaume ana kazi isiyo ya kudumu yan tenda na mke amebahatika kupata kakazi ka maana lakn utakuta...
5 Reactions
32 Replies
973 Views
Wadau ukigundua mkeo ulioko naye sasa alikusaliti wakati mkiwa wachumba na ukagundua huyo aliyeku-cheat naye wanaendelea na mawasiliano japokuwa wako mikoa tofauti na wewe mume muko na watoto...
7 Reactions
49 Replies
2K Views
Hivi mwanamke anaweza akawapenda wanaume wawili. Nikimaanisha kwamba mwanamke yupo na mahusiano yake na tayali amesha tolewa posa. Je, anaweza akampenda mwanaume mwingine na wakadumu katika...
7 Reactions
17 Replies
724 Views
Kuna raha fulani wanawake hupenda kuona mwanaume akiwa na mishe mishe nyingi. Yaani, kaingilia mlango huu, katokea huku, kisha kafika nyumbani, kakaa lisaa limoja, na kuendelea na misele yake...
42 Reactions
103 Replies
3K Views
Mwanaume kua na wanawake wengi ni mtego wa shetani kuhakikisha unakua masikini maisha yako yote maana ngono Ina gharama kubwa sana Kwa mwaname ila ni faida Kwa mwanamke chagua mwanamke wako mmoja...
2 Reactions
1 Replies
386 Views
Wakuu, nipo na jamaa hapa ananionesha chatting zake na maza wa miaka 43 anampenda jamaa kinyama na yupo tayari kumsapoti kimaisha jamaa. Jamaa ni 20's-30. Na anajishauri akubali au aibu kwa watu...
6 Reactions
90 Replies
10K Views
Katika wanaume wanaoongoza kwa mionekano mizuri hamna kabila linawashinda hawa wa klm esp wachagga yaan ni kama unaweza tamani uwale kama chakuka ilaa bwana bwana bwan......yaliyomo hayamo Hivi...
6 Reactions
56 Replies
5K Views
Mimi ni kijana nimeoa Kwasasa Nina mwaka mmoja toka nioane na mke wangu na tumejaliwa kupata mtoto ana miezi miwili. Lakini pamoja na hayo Kuna kitu Nilikuwa nashindwa kuelewana na mke wangu...
25 Reactions
114 Replies
5K Views
Nimetumia masaa karibu 8 siku ya jumamosi tarehe 25/1/2020 kumpa ushauri wa kisaikolojia, rafiki yangu ambaye ijumaa ya tar 24/1/2020 alimfumania mkewe Gesti majira ya saa 1 jioni hapa Morogoro...
19 Reactions
138 Replies
15K Views
Habari zenu wote Hivi karibuni nilianzisha mahusiano na jimama ambalo limeachika na linafanya biashara zake. Mama huyo ana umri kati ya miaka 40s, uzito kati ya kilo 100 (uzito wangu ni 76Kg) Kwa...
5 Reactions
42 Replies
10K Views
Habari wana MMU? "Wahenga walisema mficha maradhi kifo humuumbua" Kiukweli inanibidi niwe tu mkweli ili niweze kuifanya nafsi na moyo Wangu kuwa huru. Ni kwamba nimetokea kumpenda sana mdada...
7 Reactions
167 Replies
13K Views
Unakuta umekutana na mdada mtanashati mkabadikishana namba za simu, wengine hata siku haijaisha mmeanza kuchati kidogo tu utasikia. #Baby mambo, naomba nitumie vocha ya buku jelo #Baby nitumie...
30 Reactions
1K Replies
54K Views
Funguka. Ni kosa gani umewahi kulifanya kwenye Mahusiano/Ndoa na umeapa kutorudia tena?
6 Reactions
30 Replies
1K Views
Back
Top Bottom