Habari, leo nilitembelea moja ya makanisa ya kiroho hapa Dar. Ibada ilikwenda vizuri ila mwishoni mama mchungaji ambaye ni binti wa miaka kati ya 30-32 alitoa neno.
Huyu ni binti mweupe, mrefu na...
Mimi nashindwa kuelewa member uwa mnatumia mbinu gani mpaka mnaanza kutongozana uku ndani?
Mnajuaje kwamba uyu ni mwanamke na uyu ni mwanaume?
Hivi wengine uwa hamlizwi kweli?
Unamwaminije mtu...
Kama ningeuliza wanaume kadhaa randomly … kuwa unafikiria nini kila bada ya dk 20 au kila unapomwona mwanamke? Sijui jibu ambalo ningepewa lakini wataalamu wanasema wanaume wanafikiria sex kila...
Sina uhakika kama suala hili lilliletwa hapa na kujadiliwa.
Suala lenyewe ni lipi? Ni kuhusu bikra ya binti aliyepevuka, ambaye ana umri wa miaka 18.
Takriban kama mwezi sasa, mwana Hip-hop wa...
Katika pita pita zangu kwenye mitandao nimekuwa najiuliza maswali mengi pasipo kupata majibu, Jambo ambalo limekuwa najiuliza Kwa habari ya mahusiano hasa ya wanandoa na mahusiano ya kawaida...
Kuanzia wiki hii, Marekani kumekuwa na shamrashamra za Thanks Giving ambayo inashehekewa kila Alhamis ya mwisho ya mwezi wa 11. Hata hivyo burudani huwa zinaanza kitambo.
Mimi kwa mwaka huu...
BINTI YANGU, KAMWE USIKUBALI KUISHI NA MWANAUME ANAYEKUPIGA AU KUKUTUKANA MATUSI YA NGUONI. KAMWE!
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Sisi watibeli hatupigi Wake zetu, Wala binti zetu hawapigwi...
Natumai mnaendelea vyema wadau.
Kama kichwa cha habari kisemavyo hapo juu. Uzi huu unahusu sawa zima la ndoa.
Kwa miaka mingi ndoa imekuwa ni kitu cha kuheshimika au heshimana wengi wetu...
Wadada WA mjini, Wana mambo mengi, akilalamika humridhishi achana nae HUWEZI kuridhisha, wapo wanatumia Tango, chupa ya bia, carrot 🥕 na kwa sasa wamehama kwenye kibomba.
Siku zote utakutana na wanawake wenye mvuto kuliko mwanamke wako, utakutana na wanawake wenye vibes zaidi, utakutana na wanawake ambao wana habari zaidi, utakutana na wanawake wanaofanya kana...
Habari za majukumu wakuu, mimi ni kijana wa miaka 29. Nina shida moja ambayo nahisi imekuwa kama "addiction."
Nimejipata nikiwa na tabia ya kufuatilia (track) simu za kila mpenzi ninayeingia naye...
Nianze Kwa kumtetea Baltazar yule mwamba Hana makosa kabisa.
Hawa watu wanashida zao special huko kichwani aseee.
Juzi nimeenda uwanjani kuangalia game ya wanawake ligi kuu ya timu flani dhidi ya...
Wanajamvi Kila jamii Ina utaratibu wake wa ku deal ama ku-solve maswala yake.
Katika pitapita zangu za hapa na pale nikafika Kijiji kimoja Kipo mkoa wa Tanga mpakani na Gairo morogoro.
Wenyeji...
Habari za muda huu,
Bila shaka hili sio jambo geni hata humu jamvini na linaweza kuonekana kama jambo la kawaida kulingana na wakati husika.
Ni jambo la kawaida kwa macho ya kawaida lakini...
Nimekua nikipata changamoto kwenye mahusiano na mzazi, kuna kuwa hamna maelewano kati yetu, tunagombana sana, hatuwezi kukaa sehemu moja tukazungumza usitokee ugomvi kati yetu. Kinachonishangaza...
Tumesikia vya kutosha juu ya wanaume kuwa vyanzo vya mahusiano kuvunjika, leo ningependa tupate maneno mawili matatu kutoka kwa wanawake wa nguvu wanaojitambua na kutambua mapungufu yao ambayo...
Ewe kijana wa kiume kama upo katika mahusiano na mtoto wa kike hakikisha anashidwa kukuelewa wala kusoma wewe ni mtu wa aina Gani iwe umeoa au hujaoa .......
Siku zote katika mahusiano wanawake...
Habari la hili jukwaa,
Japo sijapotea sana huku jukwaani napitaga kimya kimya.
Hili hali ilishanitokea sana, huwa nikikutana na mwanamke mrembo haswa huwa naishiwa pozi naweza kusahau ata...
Habari wakuu hope ni wazima wa afya, pasi na kupoteza muda ni ende kwenye mada.
Ewe kijana wa kiume kama unataka kuishi maisha ya furaha, Raha, amani, na maisha marefu Kaa mbali na viumbe wanao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.