Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Huwa sipendi sana kuzungumzia kazi zangu flani flani. Ila kwa jambo la jana ngoja niseme upande mmoja wa kazi yangu. Pamoja na issues zangu nying mimi ni daktari Hosp moja kubwa hapa DSM huwa nina...
81 Reactions
180 Replies
22K Views
Mmkiwa shule ya msingi na sekondari kuna yule mtoto wa kike mmoja mnamuona wa ajabu, mshamba na mnamtania hadi anakosa raha... Nimekutana na mmoja sasa hivi kawa pisi kali hatari
4 Reactions
5 Replies
496 Views
Uanaume ni mateso, yaani mababu zetu ndo walifurahia uanaume ila siku hizi ni mateso mara mia. Nina jamaa yangu aliyumba kdg kiuchumi baada ya kuachishwa kazi miaka minne imepita, jamaa alikuwa...
40 Reactions
173 Replies
8K Views
Wadau mdogo wangu anataka kuoa ila mahari ni kubwa kuliko uwezo wake , yeye ni tingo TU. Hapo posa walishachukua 500k, najiuliza au hawamtaki dogo au wanakomoa?
6 Reactions
53 Replies
1K Views
Just imagine umekaana na mshikaji miaka mi 4 Mmetambulishana Kwa familia Ujanja wote mshikaji anakufundisha akijua kabisa wewe sio mzuri ila kaamua kukuheshimu tu hakufanyiii usenge Ghafla...
39 Reactions
171 Replies
5K Views
Iwe Missionary Style, Iwe style za Mapokeo ya Kishenyento! 👉 Cha asubuhi ni muhimu kwa afya ya akili, husaidia kufikiria mambo mapya unapoamka asubuhi. 👉 Cha asubuhi huongeza ukaribu na mwenza...
13 Reactions
50 Replies
2K Views
Ukweli ni kwamba mwanamke unae-date naye kuna uwezekano mkubwa kajiweka tu kwako kwa sababu anahitaji pesa. Ni masikini, hana kazi(kama anayo kipato chake akitoshelezi lifestyle anayoitamani) na...
1 Reactions
15 Replies
480 Views
1- When a woman is angry, over half of what she says-she doesn't mean... 2- The most difficult time for a woman is when she is away from the man she truly loves. 3- A woman is not like 'detol...
8 Reactions
18 Replies
843 Views
Kuna katabia kasiko ka kawaida nilikaona kwa beki tatu wetu. Kuna wakati niliambiwa kuwa tukitoka home, baada ya muda mfupi kuna vivulana vilikuwa vikija. Kuna siku tulitega mtego na kweli ndege...
5 Reactions
91 Replies
8K Views
Habari Habari Hapa tena na tena ndugu yangu kijana wenu nimekuja kwa unyenyekevu sana ndugu yenu. Kwa ufupi ndugu yenu ninaomba msaada na nina matumaini nitafanikiwa kwa maana hapa JF kuna...
9 Reactions
81 Replies
6K Views
Nisiwachoshe sana, tabia za huyu rafiki yangu ni hizi. *Ananizungumzia vibaya kwa masela nikiwa mbali, inafika point anawaambia wajaribu kuanzisha ugomvi na mimi halafu yeye atawalipa pesa...
8 Reactions
70 Replies
2K Views
Swali langu ni umewahi kuwekeza kitu gani au shilingi ngapi kwa kukadilia katika mapenzi ili kudumisha mahusihano yako na mwanamke au mwanaume? Ngoja niongelee kwa upande wangu, Mimi nimekua ni...
3 Reactions
35 Replies
7K Views
Kuna rafiki yangu kanilalamikia sana leo, anasema ana mwanamke alimtongoza na wana miezi kama saba hivi. Kila akimpanga kuja geto anatafuta visingizio ila jamaa anajitoa sana kwa mwanamke...
7 Reactions
36 Replies
1K Views
Namaanisha umewahi kupendwa na mtu sana, wakati wewe sio kiviile.. mpaka ukaogopa.. ukaona kabisa tunakoelekea huyu atakuja kufanya kitu cha ajabu.. au atakuja kuniletea matatizo. Yaani unapendwa...
36 Reactions
208 Replies
16K Views
Binafsi ukiniuliza swala la kuoa nitakuambia lazima nioe ahijarishi kuna changamoto au lah, ingawa sio kwa sasa. Unakuta unaongea na watu tofauti tofauti, unakuta huyu anasema "oa mwanamke...
6 Reactions
18 Replies
493 Views
Nimehangaika siku nyingi sana kutafuta dada wa kazi ambae atanisaidia shughuli za nyumbani ambazo sinaga mda wa kuzifanya ikiwemo kupika na kufua na pasi pia kutokana na shughuli kuwa nyingi...
3 Reactions
35 Replies
8K Views
Kuna watu wana ufala flan, penzi jipya utasikia anamwagia mtu sifa kibao Huyu wa sasa kiboko. My friend mwanzoni watu wanaficha tabia zao halisi
2 Reactions
12 Replies
439 Views
Husika na kichwa cha habari, Kila mtu na jinsi alivyobarikiwa juu ya kutake time kutoka mshindo mmoja kwenda mwingine. Wapo wanaounganisha, wapo wa dakika 5, 10 na zaidi. Je kwa wewe unaetumia...
13 Reactions
94 Replies
3K Views
Last year november, i sent my wife of five years packing with a reason which i didn't and still haven't bothered to tell her. She has begged and begged for weeks now but i chose to not tell her...
12 Reactions
111 Replies
12K Views
Tangu nimalize harakati za masomo ni miaka 6 sasa. Wenzangu wote niliyokuwa nao ama wameolewa na kupata watoto ama wamepata watoto nje ya ndoa. Mimi tangu nikiwa mdogo na kwa maadili niliyolelewa...
29 Reactions
359 Replies
36K Views
Back
Top Bottom