Aisee nimejaribu kuwaza kwa sauti kuhusu hii kitu wanazengo.
Duniani Hakuna kitu kinachompa mwanaume Raha Kama short ya kwanza wakati wa sex.Hapa ndo unaskiaga mwanaume anatoa ahadi ya kumnunulia...
Habari zenu,
Wanaume wengi wamekua na tabia ya kulalamika na kupigwa mizinga na wanawake.
Wengine wanalalamika sana eti wanawake wanapenda sana kutangaza shida and blablabla..
Sikiliza bro...
Katika hali isiyo kuwa ya kawaida bwana Johannes aliipigiwa cm na rafiki yake wa kike aje kujumuika katika sherehe yake.
Lakini alipofika alikuta ni sherehe ya wadada watatu tuu ambapo yeye...
Kutokana na umri wangu wa kukaribia kuwa mzee, nimeamua kuwa bize na mambo ya Mungu, pamoja na kutofanya matumizi yasiyokuwa na tija.
Changamoto inakuja kwa michepuko yangu miwili; mmoja ana...
Sabal kheri waungwana.
Nyakati fulani nilikuwa kwenye kijiwe kimoja tukibadilishana mawili matatu ya maisha na changamoto zake na kuangalia namna gani tunazikabili.
Katika maongezi hayo...
Ni kijana mdogo tunafahamiana kazini, Hunitazamia kama kaka yake na pindi anapokuwa kwenye changamoto kadhaa za kimaisha hupenda kunishirikisha
Kijana kaoa binti nisingependa kulitaja kabila lake...
SABABU YA MKEO KUJIACHIA AKIWA KWA MCHEPUKO LAKINI KWAKO ANAJIBANA NA KUKUPUNJA.
Anaandika Robert Heriel
Mtibeli
Anajibana na kukubania!
Anakuletea pozi na Kukupunja!
Hajitumi na anakuwa Mvivu...
Maisha ya kileo wapo wengi wanajuta Kwa sababu ya maamuzi waliofanya wakati wa kuoa ila Sasa hakuna namna ya kufanya kwani walishazaa watoto inawabidi waishi maisha yaende basi.
Wanawake wengi wa...
Wakuu,
Kuna Binti mmoja mrembo kuna siku natoka mazoezini nikamfuta bhana nilimuona Akanivutia nikaomba namba akanipatia
Akanitajia majina yake tulivyowasilina
Nikamwambia ninahisiana naye akawa...
Usiumizwe sana na marafiki wa ukubwani
Usiwaamini sana marafiki wa ukubwani
Wachache sana huwa wakweli na wasio na agenda kificho
Marafiki wa kukutana high school
Marafiki wa kukutana vyuoni...
I dare to post thread openly..... mi ndio MCHUNGUZI HURU
Wadau huu ni uchunguzi wangu binafsi: Nimegundua kuwa wanawake wa Ushuani kama vile Masaki, Mbezi Beach n.k hawana MAKALIO MAKUBWA SANA...
Kuna mdau mmoja umeuliza kwamba mwanamke amepata kazi marekani yenye maslahi makubwa na mume wake amemuuliza utachagua kipi kati ya mimi au hiyo kazi yako? Soma maoni ya wadau(wanawake) aisee...
Rafiki yangu mwema yawezekana maisha unayoishi si maisha uyatamaniyo uje uyaishi
1. Yawezekana umeumizwa sana na yule mtu uliyemwamini sana, umepata hasara, umefail au yawezekana nuru na tumaini...
Ukiona kwenye mahusiano yako hata ukikaa siku zaidi ya tatu au wiki bila ku-do na mkakutana na bado ukatumia nguvu nyingi kama saliva au vilainishi vingine ili mambo yawe sawa basi jua hauko peke...
Kaka pamoja na kwamba umeamriwa kupenda ila hakikisha unayempenda naye anakuelewa kuna utii, baraka na matendo mema utayapata
Mwanamke akupenda kuna upendo utaupata, atakusaidia na atasimama na...
Wajita tabia zao unakuta mama kalea watoto wake yeye mwenyewe lakini unakuta mume alipoteza maisha na sio kwamba anapoteza kwa muda sahihi, ila anapotezwa.
Yaani wanawake wa kijita wako pamoja...
Karibia asilimia 85 ya wanawake huwa hawawezi kufika kileleni wakati wa tendo la ndoa. Kumfikisha mwanamke kileleni ni art ambayo ni wanaume wachache sana wanayo. Wengi wa wanawake hata kama...
Habarini?
Ni leo ya asubuhi kabisa akaniambia kuna kitu anataka kuniambia,nikamwambia "sema mke"
"Unajua tangu tujuane huu mwaka wa tatu hujawahi kuniridhisha?" Hili swali limenistua mpaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.