Weekend ndio hivyo imeshafika wandugu wa jukwaa hili habari zenu nyote.
kama tittle inavyosema umeshawahi kukutana na situation gani ukasema hii ni HABARI NJEMA YA KUSIKITISHA .
Miaka flani...
Duuh! Wakuu ndio maana mnang'ang'ania kuishi Dar nimefika kwa mara ya kwanza juzi leo nipo kituoni hapa mlimani city kila mwananmke anayepita mzuri.
Najiuliza watu wa Dar wanawezaje kuishi huu...
KIUKWELI Mimi nmeshindwa, vishawishi nivingi hapa mjini, kwenye mitandao na mitaani ndio usipime, vishawishi ndio hatari kabisa.
Natamani nitafute hata mganga aniloge niache tamaa ya kutaka Kula...
Habarini wakuu mimi kijana wa miaka 27 tu lakini nahisi mpaka sasa nimeshafanya mapenzi na wanawake idadi inakaribia 50
Najiuliza kwanini hii hali inanitokea siipendi naichukia yaan mwanzo wa...
Watakuja watu wajinga hapa kutetea wanawake wajawazito kutembeana na magauni ya nusu uchi siyo akili zao bali ni kiumbe kilichopo tumboni ila jiulizeni kwani Mama zetu hizo mimba hawakuzibeba...
Huo ndio ukweli, msiwe mnatishwa na machozi ya wanawake hata siku moja.
Mwanamke ni mtu katili sana ambae anaweza kukushangaza matendo yake hadi ukaduwaa!
Fikiria mtu anabeba mimba bila...
Habari kaka Magical power mimi ni mmoja wapo ninae fatilia sana Uzi zako pamoja na ushauri wako, mimi ni binti wa miaka 24 nlikuwa kwenye mahusiano lakini hayakuwa ya amani hivi baada ya kuondoka...
Sijawahi kutoa damu ila kwa hii hela mimi niogope kutoa damu iliweje. Fikiria ukitoa damu unapata dola 10. Nikitoa mara kumi nakuwa na dola 100.
Sasa chukua dola mia, nikienda kumuua Yanga...
Rafiki yangu mwema yawezekana maisha unayoishi si maisha uyatamaniyo uje uyaishi
1. Yawezekana umeumizwa sana na yule mtu uliyemwamini sana, umepata hasara, umefail au yawezekana nuru na tumaini...
Wakuu habarini za mchana.
Ningependa kulifikisha hili swala kwenu hasa wataalam wa afya kama wapo humu. Kuna huu msemo kwamba "kama ina maji mchubuko hauwezi kutokea na huwezi kuunganishwa kwenye...
KISA CHA KWANZA
Niliwahi kuwa na mahusiano na mwanamke na niliendekeza kumpenda kupindukia na hilo ndiyo lilikuwa kosa langu kubwa. Mwanamke alikuwa anapata pesa na vitu vingi vya garama tu na...
Hallo, nisamehe kwa kukupigia muda huu ila napenda nikuambie, nilikupenda, ninakupenda nitaendelea kukupenda leo na mpaka kesho.
Furaha yangu haijawahi kudumu bila wewe, nakupenda hauko nami ila...
Wanaume wenzangu ebu tupeane ramani ya kudili na wanawake wenye drama,maana wengi wetu mnakufa kwa presha wakati familia zina wahitaji
Wanawake wana namna nyingi sana za kuwachanganya...
Kama amedhamiria kweli kuondoka mwache aende. Wapo watu wengine kuondoka kwao ndio mwanzo wa maisha mengine mazuri zaidi nje ya huyo mtu aliyeondoka au uliyemuondoa
Maana matokeo ya upendo wa...
Kuna Baadhi ya wanawake wana date na wanaume waliooa
Usimwamini mwanaume ambaye hampendi mke wake
Hajawahi kuku valisha hata hiyo pete na anakuambia anakupenda
Unafikiri anakupenda wew?
Kama...
Kama Kichwa cha habari kinavyojieleza hapo, wakati napanga vitu vitu ndani,kwenye mkoba wa Mke wangu nimekuta vipande viwili ya mawe kwenye mkoba wake.
MWENYE UELEWA, NAOMBA ANISAIDIE HII
Kaka Magical power umeamkaje na familia yako
Kaka naomba kuwaambia watu hasa wadada wenzangu wajifunze kukoment positive kuna faida kama kuna post unaona huwezi kuandika kitu achana nayo. Mimi ni...
Siri ya Mapenzi ya Kudumu: Je, Uko Tayari Kusamehe na Kuendelea? (Au Bado Umeshikilia Kaa la Moto?)
Leo tuna story kali kuhusu mapenzi. Yaani, ile siri ya kuwa na uhusiano unaodumu kama betri ya...
Wasalam wana wa jukwaa.
Ndugu zangu yapata siku kadhaa sasa nawaya waya nisijue la kufanya. Kwa muda mrefu nimeishi bila kazi ya maana zaidi ya kubeba zege kwenye makampuni ya ujenzi ya kichina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.