Wakuu,
Huyu mama ni tukio lililotokea Dec 27, mkoani Arusha ambapo mama huhu akiwa mjamzito alichezea kichapo cha mbwa koko kutoka kwa mume wake, na baada ya haya yote aliomba polisi wamkanye...
Ubatili mwingi nimeshaufanya mpaka sasa kama ule ubatili wa ugegedaji niliufanya vizuri kwa kiwango cha SGR ,
Hakuna chombo sijawahi tafuna, wanene wembamba, weupe, wafupi, warefu, wenye, chura...
Ana siku ya Tatu leo kajifungia gheto kwangu hataki kwenda kwao. Nilimwita for One night Show lakini kanogewa. Kila muda anataka tufanye mapenzi. Asubuhi kabla sijatoka anataka nimchakate, mchana...
Wakuu vipi?
Hii kitu inaonekana imekaa kiajabu ila trust me, inasaidia sana. Unapofikia hatua ya kutaka kuoa hasa vijana wa mjini hakikisheni mnawafanyia uchunguzi wa tabia wapenzi wenu.
Mtie...
Huyu ndiye mwanaume nimpendae, tatizo ana watoto watatu na hajaoa, na pia anasumbuliwa sana na wanawake wake wa zamani na wanawake wengi wanamtongoza kwenye simu na kila tutokapo out.
Je...
Natumai hamjambo wakuu.
Wanawake acheni kujidhalilisha, hivi mnakosa nini hata mnaamua kuwatunuku papa ma-house boy waliopo majumbani mwenu ajili ya kuangalia mifugo na usafi wa mazingira.
Jana...
Natumai hamjambo wakuu.
Miezi kadhaa nyuma nilipeleka kiatu kwa fundi ili aniundie cha aina ile coz nakipenda sana, pale ofisini alikuepo mrembo ambae ni mke wa fundi.
Baada ya maelewano fundi...
Habari za usiku.
Kwa masikitiko makubwa na huzuni isiyoyakawaida imeutawala moyo wangu.
Wanaume,inawezekana kweli tunawakwaza,iwe ni kwa kujua au kutokujua lakini haifanyi ukamwanika mke wako wa...
Wanaume wa Mkoa wa Mara wana addiction moja, kuoa kilimanjaro. Wengi wakishaoa huko, huwekeza fedha zao zote ukweni, wakiacha Mkoa na maeneo walikozaliwa yakiwa hoi. Kaskazini kama kawaida...
Nikiwa narudi zangu mtaani kutokea mazoezini mishale ya saa 1 za usiku, kwa mbaali naiona gari aina ya IST (Black) ikihama njia yake na kuanza kusogea kuelekea upande wangu taratiibu. Mara...
Kipindi namaliza college nimerudi home kwa wazazi, nikaanza harakati safi.
Tulikua tunaishi kota za Police, baba yangu ni Policeman, kipindi hicho baba yangu alikuwa anamiliki pikipiki, pamoja na...
Nchini Thailand vijana wa kiume wanaojihusisha na biashara ya ngono imekuwa kubwa mno kiasi cha kuhatarisha idadi ua wanaume rijali.
Vijana hawa hufanyiwa operation ya kubadilisha sehemu za siri...
Hii ni mimi huyu Sonko sio mwingine,,
Short story huko nyuma nyuma hivi nikiwa kijana.
* **** ****
Miaka imeenda sana,,
Kwa jadi ya kabila letu wanaona nimepaa sana age halafu sieleweki...
Poleni na majukumu,
Umri wangu ni miaka 32, hapo nyuma nikiwa na miaka 27 nilibahatika kuwa na mahusiano na mwanamke anayenizidi umri kwa miaka 7,ana mtoto mmoja ana kazi yake hivyo alikuwa...
Wanawake ni wazoefu wa kuwa wanawake lakini hawana uzoefu juu ya jinsi ya kumvutia na kumtunza mwanamke mwingine kimapenzi. Asilimia kubwa ya wanawake hawajui kitu haswa kinachomvutia kwa mwanaume...
Amin siku hizi wanawake wamekuwa ni wasaliti kuliko wanaume, unakuta mwanamke ana wapenzi si chini ya watano na unampatia kila anachokitaka, sijui ni tâmaa, utandawazi ama fashion?
Mbaya zaidi...
Kwema wakuu??
Mimi ni kijana mwenye miaka 28. Nipo kwenye uhusiano na binti mmoja yeye ana miaka 22, na tuna mtoto mmoja ana miezi 9 sasa. Sababu ya kuandika uzi huu ni kuomba ushauri juu ya tabia...
Habari wakuu!
Wiki hii imebadilisha mpangilio mzima wa ratiba yangu kwa kuumaliza mwaka huu. Kisa na Mkasa ni kama ninavyoendelea kueleza hapo chini.
Mwaka 2012 nilikutana na Binti mmoja ambaye...
Wakuu Niseme Tu Kila Kukicha Na Makucha Yake, Leo Tena Kumekucha Sio Siku Nzuri Kwaupande Wangu.
Naenda kuelezea...
Tumegombana na mkewangu usiku wa jana na akasema leo ndio mwisho wa ndoa yetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.