Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Haya haya habarini, kwa Dar nimeapa kwa nafsi yangu kuwa sitolala na mwanamke wa uswahilini hata akinipa bure. Never hata awe na sura nzuri na umbo kiasi gani, japokuwa ni wachache ndo wana sifa...
20 Reactions
118 Replies
10K Views
Wanajukwaa salamu kwenu. Mimi ni kijana wa kipemba, nimependana na kijana mwenzangu binti wa kipemba. Nimeenda kwao nimemposa ila leo nimepata majibu kuwa nimekataliwa kwa sababu sijakulia pemba...
9 Reactions
109 Replies
15K Views
Asiyekujua hana mpango na wewe labda tu awe kibaka wa kukwapua mmekutana njiani ila wenye njama mbaya na wewe ni wale wanaokufahamu vizuri . Wanaokuombea mabaya wanakujua vizuri ni ngumu mtu...
1 Reactions
7 Replies
281 Views
Kuna vitu tulipaswa tusivione wala kuvijua kabisa kwa usalama wetu kwa bahati mbaya au nzuri likaja jitu linaloitwa mtandao(INTERNET) lijuzi la kila kitu kuanzia mazuri mpaka mabaya ingekuwa zama...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Katika mahusiano, mwanaume amebebeshwa mzigo mkubwa wa majukumu na matarajio, ambayo kwa kiasi kikubwa yamejengwa na miiko ya kijamii na tamaduni zetu. Kwa mfano, jamii inamtegemea mwanaume...
1 Reactions
1 Replies
493 Views
Baada ya kuona hapati mume, akaamua kuingia mtaani na kutafuta wa kwake, na kuanza kumng'arisha ili waendane. Kama wadada zetu wote wangekuwa hivi, kusingekuwa na tatizo la singo maza. Haya kazi...
3 Reactions
22 Replies
661 Views
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] siwezi kuandika... dada zetu wamepigika wamelala vyumbani desperately. Wengine hawajala na hawajui watakula nini. Wanaume wa JF tuji...
15 Reactions
54 Replies
5K Views
Eti wife wangu anaweza piga na kuimba kwa mluzi tu na msg ya nyimbo naipata kiasi fulani hivi! Hivi hii imekaaje? Mbona mimi siwezi,na nikijaribu siwezi kabisa!!
1 Reactions
8 Replies
394 Views
Baada ya kuhamishiwa mkoani dar kikazi siku moja nikiwa kwenye gari yangu nikavutiwa na binti mmoja kituoni alipokuwa amesimama nikampa lift kuanzia hapo tukazoeana na mwisho akapajua home...
26 Reactions
242 Replies
16K Views
📖Mhadhara (60)✍️ Kama unahonga wewe honga lakini usidhani kwamba unapendwa sana kuliko wenzako. Usifikiri kuwa wewe uliyehonga Jiko la Gesi ni mjanja sana kuliko aliyehonga Kitanda. Au wewe...
6 Reactions
23 Replies
957 Views
Tupo katika msimu wa baridi kali, jana nilikuwa Dodoma kikazi, nikamaliza mambo yangu muda ukiwa umesonga sana nikaona busara ni kulala ili asubuhi na mapema nianze safari kurejea mkoani kwetu...
74 Reactions
168 Replies
31K Views
Katika Mahusiano kuna wale ambao hawawezi kugombana na wapenzi wao face to face, Lakini linapokuja suala la sms, wanaweza kuandika kitabu.
9 Reactions
57 Replies
1K Views
Wanaume heshima kwenu. WANAUME NI KUSANUANA,UKIENDEKEZA GENYE ZAKO UMELIWA. Haihitaji Utafiti lakini kwa uzoefu wangu katika kipengele hiki sasa hivi kila binti ama mwanamke ni mrahisi ajabu...
4 Reactions
16 Replies
374 Views
Wakuu, Wazoefu wa hizi mambo na wenye details zote tuambizane hapa jinsi ya kumtambua mwanamke ambae anashiriki anal sex mana nasikia ni tatizo kuna wadada wanashiriki kwa mabwana zao wanaact...
12 Reactions
465 Replies
189K Views
Kuna Binti, nilimpenda sana, ana Miaka 26, na Watoto watatu. Alileta sarakasi za Kila aiana mi nikachemka, Dem anawatoto watatu nilimpenda hivyo, hivyo. Nilivyoona anazingua nikampiga Chini...
9 Reactions
33 Replies
1K Views
Wengi wame na bado wana umizwa na suala zima la mahusiano,,,hivyo basi yahitaji neema ya mnyaaz'mngu ufanikiwe kusamehe na kusahau ili maisha yaendelee .........haijalishi umo ndoani au umo...
6 Reactions
14 Replies
484 Views
Muogope sana mtu ambaye bajeti zake za kuishi tu ni kubwa zaidi ya uwezo wake kujimudu yaani yupo radhi aishi kwa madeni ili nje aonekane tajiri. Muogope sana mtu ambaye yuko tayari kumiliki simu...
6 Reactions
12 Replies
615 Views
Unakuta mtu ananunua chakula kwa pesa aliyoitafuta kwa shida halafu anaweka pilipili kwenye mboga kiasi kwamba jicho linakuwa nyanya, jekunduuuu! Muda huo anakula huku ametumbua macho na kuachama...
7 Reactions
25 Replies
672 Views
Kwenye harakati za maisha ya mahusiano kuna watu tunaona mambo ambayo huwa yanatustaajabisha sana, vile hatusimulii hadharani tu. Niliwahi kupekua mkoba wa manz angu mmoja nikakuta pingu...
12 Reactions
38 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu, Kuna jambo moja nataka kushare na nyie, nilikuwa katika mahusiano na mwanamke mmoja tukafanikiwa kupata mtoto mmoja tuishi pamoja toka 2021 tumekuja kutengana mwezi wa sita...
8 Reactions
74 Replies
2K Views
Back
Top Bottom