Imepita miaka 10 sasa,nilimpata mdada mmoja ni msomi kutoka mkoa wa kaskazini,nilimtongoza miezi 6 hatimae akanipa,siku hiyo tulinyanduana vibaya,gemu ilichukua saa moja hivi na intervals...
Wanawake wengi huwa hawajui ni kitu gani kinachowafanya wanase kwenye mitego ya wanaume. Hawajui kuwa wanaume wengi hutumia hizi njia kuwafanya wanawake wawapende kila siku. Hizi ndizo njia za...
First, let me declare kwamba mimi ni member wa muda mrefu humu JamiiForums na nimependa kuja nah hii ID mpya ili kuweza kuficha utambulisho wangu wa hapo mwanzo, ili kuepeuka mambo kadhaa kutoka...
Mashosti, nawaaambia tu kwa uzoefu. Epuka sana mwanaume ambaye si mzungumzaji sana. Mwanaume ambaye yupo serious muda mwingi. Asiye na matani sana. Epuka aina hiyo ya mwanaume.
Mwanaume wa hivi...
Rafiki yangu analalamika sana. Toka ameolewa mwaka 2004 kuna mambo anakosa kwa mumewe. Wakati mwingine anaenda kupata issue kwa mchepuko wake wa Kale sana. Nini tatizo?
Anasema mumewe amepoa...
Habarini za jioni ndugu zangu wakubwa na wadogo.
Moja kwa Moja niende kwenye lengo la Uzi huu.
Nimekuwa nikifuatilia moja ya kurasa ya mtumiaji wa mtandao wa kijamii wa Instagram, ukurasa huo...
Wanawake walio wengi wanapenda kuabudiwa , na kama wewe ni mwanaume ambae umeshaamua kuto abudu mwanamke yoyote, jua wewe ni mwanaume makini sana.
Wanawake wengi wanahisi kwakua ni wanawake basi...
List ya wanawake anaotajwa kuwashughulikia Baltasar Mwaegonga ni kama ifuatavyo:
1. Wake wa mawaziri 20,
2. Mke wa mchungaji kanisa anakosali
3. Mtoto wa mdogo wake rais wa nchi
4. Mke wa mjomba...
Namshukuru Mungu sana baada ya kutekelezwa na mimba na Ex wangu nakumbuka hadi nilitamani kuitoa (Mungu anisamehe sana haya mawazo sijui yalitokea wapi)
Nililea mimba mwenyewe hadi nikajifungua...
Wanaume wengine sijui wakoje. Huyu kaka nmefahamiana naye kwa mambo ya kazi tu na sikuwa na ukaribu naye wala mazoea. Katika kufahamiana huko kikazi tukawa tume exchange biz cards. Maana mimi...
Ni bora ukakaa na Mchawi kuliko kuwa na mtu ambaye sio mchawi ila muongo muongo na tapeli
Nitoe ushuhuda tu wa matukio mawili yalio nikuta jana
- Kuna sehemu nilikwenda kwenye pita huku na huku...
Ilikuwaje ulikuwa unamjali mwanamke wako lakini sahizi hata akwambie anaumwa unaona sawa tu kama siku nyingine
Ilikuaje ukaanza kumaindi vitu vidogo vidogo mfano hata matumizi ya kawaida ya...
Wakuu habari.
Wiki mbili nyuma katika pita pita zangu nilifanikiwa kukutana na mrembo wa kinyarwanda ambaye ni alikuwa jirani yangu zamani kidogo na pia ni mke wa mtu. Ambaye tulipiga story...
Ukweli wanaume wengi(80%) tunavutiwa sana na hivi vitumbo kuliko hayo matumbo yenu flat. Bahati mbaya hatuwaambii, leo nawasanua kuwa tunavutia navyo Sana.
Wanaume wachache sana ambao watakataa...
Asilimia kubwa ya Wanawake ambao mwamba Baltazar amewapelekea moto ni wake za Vigogo , viongozi Mashuhuri na watu ambao pesa kwao sio tatizo.
Sasa wale wanaosemaga pesa ndio Kila kitu Kwa...
Katika maisha yangu kuna Dada nilitokea kumpenda sana. Wahenga waliyonena mapenzi ni kama upofu, hakika hawakukosea. Niliamini huyu ndiye atakayekuja kuwa mke na mama bora wa watoto wangu hapo...
Nina mimba sasa ni miezi 6 kaamua kunitelekeza[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]. Natamani hata ningetoa lakini ishakua kubwa
Nifanyeje maana nahisi kuchanganyikiwa yeye yupo busy tu na watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.