Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Kaka ishi nayo hii, haiondoi uanaume wako ila inakupa thamani kwake na kuwa mtu bora sana Wakati mwingine tunamchosha kwa hekaheka za usiku, amelala hoi kwasababu ya hekaheka za mahakamani...
10 Reactions
37 Replies
2K Views
1. Wanaume wajeuri (wasio na kibri) hawa wanawake huwapenda sana hapa mjini. 2. Wanaume wapambanaji (lakini hawajapata) hawa wanapendwa sana na Ke zinazo jielewa na huishi na kupendwa kwa hope...
19 Reactions
53 Replies
5K Views
Huyu mrembo nampenda sana sana, nimejiunga humu kwaajili yake. Dr Lizzy I love you so much.
16 Reactions
230 Replies
6K Views
Au jinsi ya kuifichaficha isionekane kwa mtu ambaye hajaiweka yeye. Au kufikia Jioni itakuwa imeshafutika yenyewe? NB: 1. Nasoma comment tu. Nita mquote mtu mwenye positive reply Tena pale...
5 Reactions
36 Replies
1K Views
Kwema wakuu, Hebu tujadili kidogo, wanaume wa namna hii mbona wanaongoza kwa kupendwa na wadada?
9 Reactions
17 Replies
986 Views
Nimeiba namba za lishangazi zikaja kunitia aibu. Mama mmoja kwa jina la Ms mwakalebela alimuelewa rafiki yangu Edga, huyu rafiki yangu alikua anauza duka moja maeneo ya Salasala ambako huyu mama...
2 Reactions
9 Replies
768 Views
Habari Kuna mwanadada mmoja anajiitwa Galaxy lady username telegram ni santie360. Wadau kama umewahi kukutana nae naomba taarifa zaidi yupp na umemuonaje.
8 Reactions
28 Replies
2K Views
Tuseme tu ukweli kuna wadada wengi au wamama siku hizi wanaamua kuzaa tu....hasa umri fulani ukifika na wengine wanaamua kuzaa kabla hata wa kuzaa nae hajatokea... Sasa kimbembe kinaanza...
44 Reactions
375 Replies
24K Views
Kutokana na hili sakata la Baltazar kuna mambo Mengi ya kujifunza hapa, nitaelezea kwa summary tu; Most of the women ambao walicheat na Jamaa , wapo kwenye mahusiano na matajiri wa kubwa na pia...
16 Reactions
82 Replies
3K Views
Viva weekend JF Kuna rafiki yangu jirani kabisa na napoishi na ameolewa na mume wake mtanashati swafi kabisa ambaye huwa anasema anafanya kazi kariakoo duka la simu. Na ndo huwa namuagiza yeye...
11 Reactions
63 Replies
3K Views
Hello,habari za leo. Wapendwa naomba kuwakumbusha kuwa katika kutafuta mchumba, mume au mke Mruhusu Roho mtakatifu akusaidie ili uweze pata mtu sahihi. Watu wengi wamejikita katika kutoa vigezo...
3 Reactions
2 Replies
252 Views
Habari wakuu Kuna msemo unasemaga mwanaume akipata Hela mawazo yake ni kutafuta mke mzuri kuwa na watoto lakini mwanamke akipata Hela anawaza kuwa huru haijalishi yupo kwenye ndoa au yupo single...
16 Reactions
28 Replies
2K Views
Wakuu habari, Natumaini mko salama na mapumziko ya weekend ya leo.Leo nitapenda ku shere ushuhuda wangu kuhusu wanawake wanaosumbuka kupata watoto na wengine hambao wamekata tamaa kabisa ya kuzaa...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Master ulie mdanganya uyo mdada mbona penzi lenu limefifia mapema ivyo nyodo zote alizokuwa nazo mbona hana kisa nini nilivyo amua kumpuuza au? Inasikitisha Sana mpenzi wa mtu unampigia ex wako...
15 Reactions
65 Replies
2K Views
Ubahili unanifanya nitelekezwe na wanawake Mimi huwa ni mzito sana kwenye kuhonga; ila kama ni kula, kunywa, kucheza mziki, na kutalii baadhi ya mazingira tutakuwa wote; muhimu katika shilingi...
4 Reactions
32 Replies
994 Views
Thats the truth.. Yani From Friday evening mpaka Sunday Evening kuna mahali mke/mume wa mtu anachepuka mahali😅😅 Kuchepuka kwa % kubwa hufanyika siku za mapumziko (weekend) Hata zile video 400...
4 Reactions
24 Replies
794 Views
Miaka kadhaa nyuma niliwahi kuleta uzi hapa ni jinsi gani ndoa ni scam, ni jinsi gani ndoa iko pale kumnufaisha Mwanamke. Siku za karibuni kumezuka matukio kadhaa ya mauaji ya wanandoa, au...
31 Reactions
426 Replies
14K Views
Kodi ilitakiwa iishe mwezi September. Nilimkusanyia mwenye nyumba 300k yake nikaiweka attention ili nikiskia "Puu" na mimi naitikia "Paaaaaaaaa", cha ajabu siku zikasonga hadi juzi 6 / 11 Baba...
5 Reactions
44 Replies
2K Views
Utakapokua umejipata wanawake watajisogeza kwenye maisha yako, sasa hiki ndicho kipindi ambacho hautakiwi kuwa na huruma kabisa kwa mwanamke. Kumbuka walijiweka mbali na wewe kipindi...
24 Reactions
44 Replies
2K Views
Nataka nikiingia kwenye ndoa niwe mtu katili kweli kweli kwenye mali zangu hata kama bado sijazipata naamini nitakuja kumiliki tena nyingi sana. Je hati za nyumba na kadi za umiliki wa magari...
18 Reactions
77 Replies
2K Views
Back
Top Bottom