Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

kwa niliyoyashuhudia weekend hii, nilisikitika sana weekend niliingia Club moja, upande wetu kulikua na wadada wawili,mmoja anacheza (Msagaji), mwingine amekaa anakunywa REDS(msagwaji) Kulikua...
5 Reactions
75 Replies
15K Views
Jamaa yangu hajamaliza ujenzi kwake huko Madale. Kwa hiyo bado anaishi nyumba za kupanga. Juz juz hapa kahamia nyumba ya kupanga maeneo flani hivi. Anasema hakujua kuwa na mama mwenye nyumba naye...
8 Reactions
30 Replies
7K Views
As much as mwanamke ana mapungufu milioni mia nne haipotezi ukweli kuwa hakuna alie kulazimisha bro, Haipotezi logic kuwa asilimia kubwa ya wanaume wana ushamba wa wanawake. Na kama navyosemaga...
1 Reactions
4 Replies
407 Views
Ukistaajabu ya single maza kama yalivyo kwenye uzi wa Record Man Unaosema: Ushuhuda mwanaume mwenzenu: Nilioa Single Mother yalioyonikuta ni haya. Nilichukua uamuzi huu...
1 Reactions
3 Replies
450 Views
1. Baby tutaongea baadae naingia lecture 2.Jamani honey sikuweza kupokea simu nilikuwa kwenye kelele 3.Sweetie sina credit nikashindwa kukujibu 4.Tupo discussion jamani ntakupigia bdae...
15 Reactions
94 Replies
13K Views
Can Infidelity Ever Save a Marriage? One Man's Controversial Claim We've all heard the advice: "Marriage takes work," "Communication is key," "Never go to bed angry." But what happens when the...
0 Reactions
1 Replies
193 Views
si vibaya ukiusikiliza nawe ukachangia ule uupendao hasa kama ni wa mapenzi
0 Reactions
65 Replies
18K Views
Asubuhi yote hii unamka umwache mtoto wa mtu mpweke amejikunyata kwa baridi hii unaenda wapi. Hali ya hewa ilivyo tamu kwa... Hebu endelea kupata kumbato bana au huna uhakika ndio maana unataka...
2 Reactions
9 Replies
353 Views
KAKA ANGU mwanamke anapokuambia twende tukaoge wote si kwamba anataka kampani bafuni ila anajua Faida ya kuoga pamoja kunafanya ajiamini ajihisi kupendwa na mkaogeshane kwasababu kuogeshwa kuna...
2 Reactions
8 Replies
481 Views
Kuna vitaswira fulani hivi huja kichwani ukiwa unaenda kwa mtoto wa mtu uliyemiss sana💞 Unawaza hiki na kile, unawaza ukifika na....🙌🏿 Yawezekana na wewe muda huu uko njiani, unajiandaa kwenda...
0 Reactions
5 Replies
136 Views
kaka habari yako pole na majukumu,nakuomba uni postie hili Jambo linanisumbua Sana naomba nipate ushauri wa watu wengi moyo wangu upone lkn naomba unifichie jina langu.. Kaka sasa liko ihvi...
3 Reactions
61 Replies
4K Views
Unakutana na mwanamke amefwafwanzika hakuna anayemtamani na kitoto chake chenye utapiamlo. Unamchukua mnaanza kufanya maisha, anaanza kupendeza na kuvutia wengine, baadaye anaamua kukusaliti...
51 Reactions
104 Replies
6K Views
Katika maisha ya kawaida binadam kusaidiana ni kitu cha kawaida. Haijalishi unamfahamu au humfahamu kama mtu anahitaji msaada msaidie tena bila kutegemea kitu chochote in return. Kuna hii tabia...
10 Reactions
76 Replies
2K Views
KAKA hii siri ya mwisho kukupa nimechoka Tangulia kitandani kavurunge alivyotandika jifanya umelala na umetawanya miguu yako maana akija kulala akute umevurunga shuka atakuambia umke atandike...
1 Reactions
8 Replies
721 Views
1. WADANGAJI hawajawahi kuwa na huruma na pesa zetu hata familia zetu. 2. WADANGAJI hawajawahi kuwa na upendo siku ambazo mifuko haina kitu. 3. WADANGAJI hawawezi kukuletea uji ukiwa hospital au...
2 Reactions
5 Replies
274 Views
Nisiwachoshe kwa salamu, moja kwa moja kwenye hoja. Kuolewa ni Kuolewa tu kwa mwanamke yeyote na ni Jambo Lenye heshima yake. Na kuoa ni kuoa tu kwa Mwanaume na ni Jambo Lenye heshima yake pia...
4 Reactions
25 Replies
1K Views
Habari zenu wana Jf. Naomba ushauri wenu great thinkers.. Mimi nimeolewa yapata miaka 9 sasa nina watoto watatu. Mume amenizidi umri kwa miaka mitano. Ana watoto wa nje ya ndoa wawili ambao...
1 Reactions
52 Replies
4K Views
Kuna raha bwana yakua na mke mzuri, kisha akakuzalia watoto wazuri. Kila muda ukimuangalia na ukiangalia watoto, moyo wako unasuuzika. Kuna wakati watu mtaani wanauliza imekuaje tukachaguana...
8 Reactions
19 Replies
703 Views
1. Mimi hua sifuti namba za ma ex wangu, siwezi jua anaweza kua msaada mkubwa kwangu baadae (muongo, bado ana feelings na hao majamaa). 2. Siwezi kuacha kuwasiliana na ex/mzazi mwenzangu...
27 Reactions
77 Replies
5K Views
BARUA YA WAZI KWA DADA ANGU KIPENZI Dada angu mwema, naipenda furaha yako nami sisiti kukuhusia katika yale niyafahamuyo mimi ambayo ni mambo mema kwenye maisha yako 1. DADA ANGU mwema mwanaume...
1 Reactions
2 Replies
314 Views
Back
Top Bottom