Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Hakuna ugomvi hakunaa shida yoyote… niliona mabadiliko yake Kama siku 2 hivi nyuma.. Leo from no where ananitumia hii sms “Mama angu samahani sanaa si kwa ubayaa ila me naona haya mahusiano...
16 Reactions
223 Replies
4K Views
Mume aliniacha nimefungua Biashara ila nina Mwanaume mwiangine naye kaniletea mtoto! Hello, kaka Iddi. Habari ya kazi? Naomba ushauri nisiendelee kuharibu zaidi. Niliolewa ndoa ya Kikatoliki...
1 Reactions
1 Replies
593 Views
Habarini, Nimekuja gundua maofisini kwenye eneo la kutaftia riziki, kwenye day to day interaction watu wako na mindset tofauti sana, ukilinganisha na eneo kama chuo. Nimegundua kuwa watu...
6 Reactions
22 Replies
591 Views
Hello shalom Wanaume bora katika jamii wapo, pia wanawake bora katika jamii wapo. Ni vyema wahuni waoane wenyewe kwa wenyewe ili kupunguza hizi kelele za kutuhumiana usailiti, kuuana na...
7 Reactions
18 Replies
873 Views
Kuna mwanaume, tuna mahusiano tuna miaka miwili Sasa kwenye mahusiano, nampenda natamani tuanze familia. Kila nikiwaza kipato chake kinanikatisha tamaa mimi. Nina kipato Kwa Sasa hata kusomesha...
29 Reactions
120 Replies
3K Views
Nimejiuliza sana mpk nikawauliza why wamedumu muda mrefu wakati kuna wenzao ndoa zao zipo chali… Ninapokaa nipo kwa wazazi, mtaani tumezungukwa na wazaramo wengi na wagogo Kuna majirani zetu...
2 Reactions
8 Replies
462 Views
Usifanye kosa la kupuuza historia yake kwa muonekano wake mpya wa leo, wengine ni maji tu yaliyopoa yamerudi ubaridi ila kwenye moto yatarudia hali yake ya umoto. Usijifanye kipofu kupuuza...
3 Reactions
11 Replies
480 Views
Ukiwa unampa sana mama yako pesa, anahisi kuwa wewe unazo sana. Hata kama umejitoa tu ili mama yako asipate shida, kuna namna anaamini kuwa huyu mtoto wangu anacho tu! Hivyo, mara nyingi...
2 Reactions
9 Replies
265 Views
Koo zina siri nyingi sana, kuna siri ambazo hazitolewi kabisa nje ya koo husika, pia humo ndani ya koo kuna siri ya wahusika tu. Nikimaanisha kua kuna siri ambazo zinafanywa na watu wa wawili au...
34 Reactions
305 Replies
16K Views
Hi Mtu wangu ananuka mdomo nashindwa mwambia kila nikikutana nae feeling zinakata kabisa nashindwa kumwambia nafanyaje?
1 Reactions
89 Replies
2K Views
Kuna nyakati huenda ukajikuta una mkumbuka au kummiss sana ex wako ambaye alikuwa mtu wako sana na mshirika wako mkubwa Kitendo cha kummiss inaashiria kwamba upo katika process za kupona na...
5 Reactions
11 Replies
498 Views
Kwa kuwa mimi ni wa koo ya simba, inakua ngumu sana kuelezea tukio (adventure), kwani nikitazama koo za simba inakua kila tunachokifanya kuhusu mahusiano ni tukio (adventure) kwa wengine. Kuanzia...
7 Reactions
19 Replies
1K Views
TUKUMBUKANE TULIOPITIA MAISHA HAYA UNAKUMBUKA NINI?
1 Reactions
2 Replies
194 Views
Rafiki yangu wa kike ameniomba kumuwekea ombi hili. Kaka yake anahitaji mwanamke wa kufanya naye maisha ya familia. Aliwahi kuoa ila kwa sababu kadhaa ndoa yake ilivunjika na ilikuwa ya...
2 Reactions
0 Replies
140 Views
Khaaaaah..... Mi shahidi wallah. Wanaume wenye upara wana peleka sana moto....wanakuwa watamu sana. .niliambiwa na daktari mmoja kuwa libido ipo juu sana kwa wanaume wenye upara. Wengi wao...
11 Reactions
60 Replies
2K Views
Mikoa ifuatayo ndio una wanawake unavoweza fanya nao maisha 1.Kilimanjaro 2.Iringa 3.Kigoma 4.Mara 5.Mwanza Ruksa kukosoa nakaribisha maoni. Mapendekezo... Ushauri Aya twende🏃‍♂️
26 Reactions
181 Replies
6K Views
Balthazar’s videos are a nest of teachings. From these videos, I learned five important lessons about women: 1- A woman's faithfulness is just an illusion. She doesn't exist. At her place, we...
5 Reactions
94 Replies
3K Views
Kiasili kila mwanamke anahitaji vitu 4 kwa wakati mmoja. Akikosa kimojawapo , atakitafuta nje. Sababu moja wapo kati ya hizi, inamfanya mwanamke kuchepuka:- 1. Financial support (Mpe Pesa na...
4 Reactions
36 Replies
2K Views
SIFA ZA NICE GUYS KWENYE MAHUSIANO Katika muktadha wa mahusiano, "nice guy" anaweza kuwa na sifa kadhaa zinazomfanya awe mwenza mzuri na anayejali. Hapa kuna sifa za "nice guy" kwenye...
3 Reactions
27 Replies
1K Views
Baada ya kuishi na lile kulumbembe kama ndugu na bado likaniletea dharau nilipata kabinti ka Kihangaza. Leo kanatimiza mwaka toka nianze kuishi nako! Kabinti kanajitambua, kanachapa kazi...
22 Reactions
69 Replies
2K Views
Back
Top Bottom