Baada ya video za ngono za Baltasar kuvuja kule nchini Equatorial Guinea na kupelekea mijadala kuibuka sehemu mbalimbali duniani, nimejikuta najiuliza sana.
Kilichopelekea nijiulize ni namna...
Nimewaza nimekosa jibu maana kuna muda unaweza Kutana na mitego ukahisi demu anakutaka baadae ukijiongeza ili umtongoze anakutosa au kuna wale unakuta ameshavumilia mpaka imeshindikana anaamua kua...
Iko hivi:-
Irene na Mercy (siyo majina yao halisi) walikuwa wanafanya kazi kwenye supermarket. Ikatokea mteja mmoja (baba mtu mzima) aliyekuwa akipendelea kununua vitu kwenye supermarket hiyo...
Mabibi na mabwana Habari za uzima wenu!.
Wakuu sijaenda kanisani Leo mwaka wa6 sasa bila kukanyaga kanisani. (Haiwahusu)
Nina USHAHIDI na mifano mingini sana ya wanaume waliokufa na chanzo...
Wasalam wapendwa,
Jana wakati nalala kuna moment ilinijia kichwani, nikajikuta nacheka kwa nguvu sana, miaka kadhaa nyuma nilipata mpenzi kupitia mtandao, ulikua ni Instagram.
Niwe tu muwazi...
Jambo lolote lile zuri,
Unaloliona leo litafika mwisho tu.
Tukubaliane na hali ili maisha yendelee.
Wanaume tukubali tu.
So usiwekeze sana nguvu na mali kwa mwanamke wako hata kama unamuona mzuri...
Umemkuta mke wako akiwa na zaidi ya miaka 25, kubali usikubali ninyi wote mna historia na siri zenu nyingi,
Ni mawazo ya kishamba sana kuhangaika utafute pesa ili mke wako aishi vizuri ukidhani...
How to Romance a Woman: 12 Ways to Woo the Girl of Your Dreams
marriage.comDec 12, 2023 7:06 PM
Romancing someone isn’t just about big surprises or expensive gifts. It’s about the little things...
Mwezi wa 6, Kuna siku nilikuwa na demu mmoja home. Sasa siku Ile tulikuwa sebuleni napiga katikati ya show imekula Kali tukajikuta tupo nje tukapiga show, japo nyumba ilikuwa inafensi...
Kwa uzoefu wangu wa marafiki zangu waliodate na kuoa wazungu (japo mimi sijawahi) lakini nimethibitisha kwa wale waliowahi kuwaingia ni kwamba: mwanamke wa kizungu mkielewana na kukukubaliana...
Kuna vijana mimi nawaona wa hovyo sana,utakuta kaoa mke ana Taaluma yake ,yeye maisha yake ni yakubangaiza mwenzangu na mimi kama sio zaidi ya mimi lakini anamzuia mke wake asifanye kazi kwa...
Kwa vijana wa zamani watakumbuka jinsi huduma ya kunyoa nywele ilivyokuwa ikitolewa.
Kama siyo chini ya mti mkubwa wenye kivuli basi ilikuwa ni kwenye vibanda vidogo vidogo ambavyo kulikuwepo na...
Hello!
Ofisi yetu ya umma ina mabinti zaidi ya 20, iko Dar es salaam.
Kati ya hao mabinti zaidi ya 20 mabinti zaidi ya 10 kila mtumishi anajua kuwa bosi kawapitia. Hapo hatujahesabu wengine ambao...
wanaume wenzangu hamjambo
sina mengi sana ya kusema, ila hili ni muhimu sana, kumekuwa na malalamiko mengi sana ya mahusiano na ndoa, bila kusahau wanaume tunakosea hapa, unapotaka kuoa...
Niwape story kidogo,Mimi napenda sana wanaume wanaovutia, uyu mwanaume nilimpenda mwenyewe!!!! Kuna sehemu tulikua tunakutana kila siku ni sehemu ambayo Mimi nilikua nafanyia kazi, sasa kwenye iyo...
Hiki ni kisa kinamuhusu mmoja wetu humu Jf...alisoma story ya Bella akaomba anisimulie story yake nami niiandike muisome...anaomba radhi kwa atakaowakwaza , yalishatokea ,anapambana...
Habari wana MMU.
Naheshimu sana mawazo yenu bila kujali yana maudhui ya aina gani kwani kila mtu amejaliwa karama yake na uwezo binafsi wa kutafakari mambo na kuyatolea maamuzi.
Back to the...
Maisha yangu yote, toka naanza kujitambua mpaka sasa, nimekua nikivutiwa sana na wanawake walionizidi umri. Sijui ni kwanini au ni kivipi nimekua na hii tabia.
Nilichokua nakifanya ni kupuuzia na...
Wandugu huwa mnakabiliana vipi na hali ya kutakiwa kuamua maamuzi magumu ya kuumiza moyo?
Mnafanikiwa vipi kuipita hiyo changamoto?. 🥺🥺 ili uwe sawa kama hapo kabla 😔
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.