Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

YEAH ,mifumo ya dunia haikupi favour wewe mwanaume, huna haki wala mamlaka. Kila siku Natafuta Ajira hua anasema hapa jukwaani kwamba dunia sio rafiki kwa mwanaume hua mnabisha Mfano mzuri...
0 Reactions
2 Replies
203 Views
Umemuaga mkeo unaenda kazini, ukapita kwa mchepuko wako, wakati unajimwaya-mwaya na mchepuko, mume wa mchepuko akagonga mlango, ikabidi ufichwe uvunguni mwa kitanda. Wakati bado upo uvunguni ka...
3 Reactions
5 Replies
298 Views
Nawahusia vijana kwa sasa kuna changamoto nyingi sana katika ndoa na ukweli ndoa nyingi zinavunjika kwa sababu ya wanawake kujaa viburi na kutokuwaeshimu wanaume wao. KIJANA KAA MBALI NA BINTI...
31 Reactions
141 Replies
4K Views
Uhai na utu wa mtu kwasasa vinachukuliwa kama mchezo mchezo tu. Yaani mume anafikia hatua ya kutaka kuua kisa mke kagawa jeans ya mtumba ambayo mume haivai , yaani Bora nguo iozee ndani kuliko...
3 Reactions
23 Replies
645 Views
Kwema team MMU? Marafiki ni watu muhimu na wenye manufaa makubwa kwetu, japokuwa wakati mwingine anaweza kuwa kichomi akavuruga maisha yako? Mimi na rafiki yangu mmoja urafiki ulikufa sababu...
23 Reactions
163 Replies
14K Views
Sasa kwanini umsumbue binti wa watu na hela hautoi Mapenzi gani unataka kwa mwanamke akikuomba hela unakimbia simu? Kama unataka mapenzi ya Bure nenda kwa Yesu Alisikika mama mmoja hospital...
5 Reactions
31 Replies
763 Views
Habarini nyote ndugu zanguni Niseme machache kuhusu hizi aina mbili za Wanawake. A. Kibonge Anatakiwa awe msafi sana, awe na sauti ya mahaba, afanye vizuri mbuzi kagoma kwa kadri ya ufundi wa...
2 Reactions
7 Replies
384 Views
Wadau jamani tukiacha matani ni wapi mty aende akatolewe jini mahaba anasumbua sana kiasi cha kuua hata walio karibu na huyu dada mpaka nasasa amekuwa anaadhiri sana maisha yake. Ikiwemo uchumba...
6 Reactions
66 Replies
2K Views
Mpeni wosia kidogo kijana wetu Ndio kaanza life tu anataka kuoa waanzie from scratch.
6 Reactions
55 Replies
1K Views
Wazeee tuache utani mimi nimefolling love na muhudumu wa bar moja maarufu Hapa Dodoma jina naweka kapuni. Ila ukweli usemwe huyu muhudumu ananikosha sana wakuu namkubali mbaya. Wacha nijitoze...
22 Reactions
131 Replies
5K Views
Wahenga wanashauri oa mke mwenye akili, sasa akili ya mtu unaweza ipima kutokana na vitu mtu anafanya au anapenda kufanya. Unaweza tumia JF kujua huyu mtu anapenda nini na baada ya hapo ndio...
39 Reactions
198 Replies
6K Views
Habari za saivi wana-JF, Mapenzi yana mambo mengi sana Wengine wanafuraha na wanaenjoy mapenzi na mahaba. Wengine hatujui siku wala saa tutaachwa. Wengine mnatumiana / mnanuliana zawadi...
4 Reactions
8 Replies
339 Views
Kwanini Wanaume Wanapenda Wanawake Wenye Makalio makubwa? Unashangaa kwa nini wanaume wanapenda wanawake wenye makalio makubwa? Mbali na urembo wao wa uso, nywele nzuri, tabia, na jinsi...
2 Reactions
30 Replies
13K Views
Tafiti zinaonesha kuwa ni 2% tu ya waliopata wenza wa ndoto zao. 98% mmoja au wote 2 wanaishi na "ili mradi ni mke/mume", baada ya kukosa kwa sababu mbalimbali ywale waliowatarajia akilini mwao ...
2 Reactions
6 Replies
345 Views
Wanaume hatuoneshi mapenzi Kwa maneno au Kwa kujionesha Kwa watu Tunaonesha mapenzi Kwa vitendo na kuwajibika hapo mke na watoto watajua kweli anawapenda Kwa dhati Sio kutaja " I love you" mara...
5 Reactions
34 Replies
691 Views
Kwa wale tuliosoma majohe praimari, High libido ina maanisha hali yakuwa una uhitaji usio wa kawaida wa kufanya sex mara kwa mara. Kwa upande mwingine ukiwa na mwenza wa namna hii, unaweza...
13 Reactions
121 Replies
3K Views
  • Closed
Kuna muda ukweli usemwe. Ndoa sio tena swala valid kwa miaka hii. Kama issue ya malezi ya watoto ni bora kutafuta njia nyingine ila sio ndoa. Hebu fikiria wake za watu wanaliwa ofisini, beach...
53 Reactions
125 Replies
9K Views
Kuna hii tabia ya wanaume kuwashika wanawake makalio na matiti kwenye sehemu za misongamano, hasa Kariakoo, ambako muda wote kuna msongamano wa watu. Mh Chalamila, RC wa Dar es Salaam...
11 Reactions
76 Replies
6K Views
ROMBO watu wana uhaba kuondolewa upwiru. Maana wanaume zao wapo bize na kvant. Watu 400 utakua umesaidia Sana wilaya nzima ya Rombo
3 Reactions
6 Replies
338 Views
Sikuhizi wanaume mnalia hivi Nakupa mapenzi Nakupa vichenji Nini haupati, Vikoba nimekulipia Dah, ila wanaume mnajua kulia? Mpaka mnaenda studio mnaimba kabisa Akina mama wapunguzieni adhabu...
9 Reactions
131 Replies
2K Views
Back
Top Bottom