Ndoa nyingi za sasa zinavunjika kwakua watu wanaoa au kuolewa na watu ambao hawaendani nao.
Mnaweza nyote mkawa na dini, tabia nzuri lakini ndoa ikafa kwakukosa muendano wa kimawazo.
Kuna...
Asilimia kubwa wanaume wanaopata misuko suko ya ndoa, ni wale waliooa wanawake ambao hawaja lelewa katika misingi ya dini haswa dini ya kiislamu.
Ukipata mwanamke aliyelelewa katika misingi ya...
Watanzania wanajitia kushanga namna Baltasar alivyoweza kuwatafuna wanawake wenye kazi zao ama wake za vigogo 400.
Hapa bongo ni zaidi ya Equatorial Guinea, ni vile tu sheria zetu zimekuwa kali...
Habari wana Jf,
Nauliza katika kutungwa kwa mimba akili ya kuzaliwa na ya darasani (intelligence) mtoto anaridhi kwa baba au kwa mama?
Tafadhali majibu ya kitaalamu.
Mimi ni kijana mdogo, na ndio nimemaliza chuo last year october so nipo katika kujitafuta. Nina mpenzi niseme, au kwa ujana tunaita dem nimekuwa na mahusiano nae for almost 7 months. Tulikuwa wote...
Lazima nikubali hii.
Sote ni watu wazima, kwa hivyo hakuna sababu ya mimi kuificha. Kuna sifa zingine kadhaa ninazotafuta kwa mwanamke, kwa kweli. Walakini, ni lazima nikiri kwamba nina udhaifu...
Nimekwambia hapa hatoki mtu na kama utaniacha basi hutokuja kuoa mwanamke mwingine nife leo nife kesho,Hayo ni maneno ya mke wangu.
Ilikuwa ijumaa tulivuu tukiwa hotel ya Wanyama Sinza baada ya...
Nawasalimu nyote!
Ndoa ni Jambo la furaha kwa baadhi ya watu.
Si watu wote maana wazee wa kataa ndoa, nawaona wananicheki kwenye darubini kwa hasira. Siku ya harusi Ni full shangwe kwa maharusi...
Huyu binti alikuwa ni mpenzi wa rafiki yangu,sijui walizinguana nini,saa nne usiku akanipigia simu kuwa amezinguana na rafiki yangu yaani mpenzi wake na hajui atalala wapi hana hata mia mbovu...
Ushawahi kusikia kauli kama hii kutoka kwa mwanamke? Ukweli ni kwamba ambae anakua tayari kwa kuoa ni mwanaume ambae ataenda kubeba jukumu la kutoa security katika familia, kwa maana iyo mwanaume...
Habari zenu humu,
Kumekuwa na wimbi la matukio ya waganga wa kienyeji kutembea na wagonjwa wao kila wanapokwenda kupata huduma ya matibabu kwa waganga hao.
Wiki moja iliyopita kuna mtu na wifi...
Huyu jamaa mpaka hapo alipo hajabaka wala hajatoka na watoto wenye miaka chini ya 18
Kosa la huyu jamaa ni gani? Kwamba aliwalazimisha au walimtaka?
Kesi yake na Piddy ni tofauti
Piddy...
Habari wadau.. kuna jmaa yang alitaka kuposa kwenye mji flan hapa Dom , akatafuta MSHENGA akapeleka posa na kukubaliana mahali.. Lakini changamoto inakuja muhusika anapotaka kutoa/kupeleka mahari...
Toka saa 6 usiku mpaka dakika hii natupia huu uzi, niko macho, si kwamba sijaweza kulala ila sijapendelea ku share kitanda hizi siku kadhaa na wife. So niko zangu tu library ambapo mahala huwa...
Nipende kuwa tu muwazi, unless kuna faida za kiuchumi unazozipata, kijana mdogo kutoka na mshangazi ni kujipunja na kuidhulumu nafsi yako.
Niulize kwanini?
Kikubwa unachotakiwa kujua ni kuwa...
Hello team.
Naitwa Mussa, naishi Temeke, Dar es Salaam. Nina mpenzi wangu ambaye anatoka Kanda za Juu, na mama yake anatoka huko pia. Sasa tatizo ni kwamba kazini kwake anatoka na boss wake kwa...
Kwamba tendo la ndoa (kwa wanandoa)/Zinaa (Kwa wasio wanandoa) huweza kuwa njia huweza kuwa njia au mlango wa kuifikia roho yako kwa namna hama nyingine.
Watu wawili wakiwa wanashiriki tendo hilo...
Ndugu zangu habari za wakati huu
Kutokana na malalamiko mengi kuendelea juu ya hawa wanawake hizi ni mbinu na akili pekee ya kuishi na hawa viumbe
1: Kua na msimamo mkali usio na madhara na...
Kuna jambo utajifunza hapa, Kisa cha kweli 2015
Ilikuwa niko kikazi kwenye kazi iliyobidi niwe mbali na nyumbani kama km 80 hivi vijijini huko mishe za TASAF. Tukiwa site na michakati ya kikazi...
Iko hivi, hapa zipo 4 apartments, yangu ipo Mwanzo kabisa. Huyu mke wa mtu alikuwa analeta mazoea na ikaribu usio na ulazima. Full kunichekea kila akiniona.
Anaweza kurudi na mumewe anaweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.