Duniani kila mtu anapata wa kufanana naye na huu msemo kwangu mimi naendelea kuushikiria vizuri sana.
Sasa leo tujifunze kitu kupitia simulizi nzuri sana ya wanandoa hawa wawili ambao wote ni...
Ma-mdogo Penny Shikamoo, samahani Nina sehemu nimeganda naomba unichomoe
Money Penny: haya nambie mwanangu
Mtoto: Ma-mdogo, me Nina Miaka 40, ninapenda Sana wanaume Umri mdogo lakini siwapati...
Shigongo ametoa surprise msibani kwa Grace Mapunda (a.k.a Tesa). Shigongo ametamka bila hofu kuwa Grace alikuwa mpenzi wangu (mchepuko) . Watu wote (wake kwa waume) msibani wakabaki wameduwaa...
Hii ni muhimu zaidi kwetu wenye vipato vya kawaida.
Sio jambo la aibu hata kidogo wala sio urijali wala ujanja kwenda date bila kumpanga mapema kuhusana na bajeti. Ukishindwa kujipanga jiandae...
habari wadau.
Naona threads za kuwalalamikia wanawake wanapenda pesa na mali zimekuwa nyingi sana.
Ningependa vijana wote wa kiume wanaopenda kulalamika waisome na kuijua hii scientific Law ya...
Mwanaume kazi yake ni kuzalisha (kutoa mbegu). Hata ukiwa umegawa mbegu kwa wanawake 10 tofauti wewe kaa kimya tu. Usianze kumfungulia codes zote huyo mwanamke unayetaka kuishi ama unayeishi naye...
NI MAAMUZI MAGUMU LAKINI YAMETOKA MOYONI
Ninawashukuru sana kwa michango yenu, nimefanyia kazi kila mchango na kuchukua maamuzi kadhaa kuboresha nilichopanga kufanya
Jamaa poa sana ni mtu ambaye anataka kuwaridhisha sana wengine ili apate kupendwa na watu wasimtenge, lakini je ni sahihi kwa mwanaume kuwa "mtu poa sana"?
Leo acha nikupe kisa cha 'JJ' jamaa...
Sitazungumzia Mungu kanibariki kwa kiasi gani, kwa kifupi naweza kusema, I am blessed 🤗🤩
Mitihani ni mingi maishani lakini baada ya kufaulu mitihani hiyo, tunalipwa sawa na elimi zetu.
nikutonye...
Wadau kuna kipindi nilikuja kulalamika hapa kwamba kuna dada mmoja mwenye mimatako mikubwa ofisini kwetu simwelew. nilisema likuwa anapenda kuja ofisin kwangu halafu anatoa gesi(anajamba...
Sitasahau kisa hiki, kipindi hicho nimemaliza shule ya msingi na kubaki mkulima tu kijijini kwetu, nikaanza kutembea na mtoto wa shule, hamadiii!! akapata mimba.
Siku hiyo mida ya jioni naona...
Mimi binafsi na huu uchakataji wangu wote sijawahi kufanya kitendo kisicho na stara kama hicho ata mara moja,
ingawa nilishapitia vikwazo na changamoto kadhaa kwa baadhi ya wanawake waliotaka...
Ndugu zangu kwa miaka ya sasa hivi ukihitaj mwanamke wa maisha(future) hakikisha inakupasa umshirikishe Mola wako.
Kwasababu sikuhizi wanawake wengi wameharibika wengi wanafanywa kinyume na...
Habari zenu waungwana,
Rafiki yangu anaomba ushauri, Kwa kifupi ilitokea akawa na mahusiano na mke wa mtu, kwa maelezo yake anasema Mara ya kwanza Kushiriki tendo mwanamke alinasa ujauzito.
Baada...
1.usafi
2.nidham adabu
3.matumiz mazur ya pesa
4.jukumu lako la kwanza kumridhisha mume kwanza
5.upendo kwa ndugu wa mume
6.zawad kwa mume siku moja moja
7 kuacha kiherehere cha kimfuatilia mume...
Usemi huo nilikutana nao kijiweni, wazee wakipongeza uamzi wa dini kuwa na wake wanne, kwamba mwanamke akijua kuna mwanamke mwenzake basi ananyoka vizuuuuriiii, hutasikia habari za usawa katika...
ila nyie, kupenda ni kubaya asikwambie mtu. Hasahasa unamwonesha ishara zote, ukaribu na attention, lakini ndo kwanza walaa hana muda mchafu, unatamani ulifungukie ulisaidie, lakini wapi
Shida...
Jamani nilifanikiwa enzi za miaka 22 kupata mwanaume nauwezo wake wa kumiliki biashara za kutosha.
Huyu bwana aliitwa Salimu kijana mzuri wa sura na mwili pia mkarimu na anaheshima kwa kila mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.