kuna dada mmoja alikuwa anasimulia anasema kuna style ya mapenzi ambayo ni balaa..hii inawezekana kwa wale wadada ambao hawana uzito mkubwa sana.
anasema namnukuu " mwanamke unatakiwa usiwe na...
nmeona tu niseme pengine naweza pata ufumbuzi au in english solution. Wana jamiiforums,ndugu,marafiki na jamaa zangu nahitaj katika hili mnisaidie.
Kiukwel sababu kubwa inayonifanya nisidumu na...
Huyu dada amenishangaza sana.nikajua kweli duniani kuna maswahibu,visa na mikasa. Ukistaajabu ya musa utaona ya ....
Huyu dada namfaham toka anasoma chuo.ni aina ya wale wanawake wanapenda sana...
Tafiti zinaonyesha wanawake huogoza kuhofia umri ila hata wanaume nao huogopa ongezeko la umri , kuna madhara makubwa usipodhibiti hofu ya umri
MADHARA USIPODHIBITI HOFU YA UMRI.
1. Kukosea...
Hili nmekuwa nikilifanyia utafiti kwa miaka isiyopungua 18 sasa. Show me your mother and i will tell you what kind of wife you are.
Asilimiw 80 ya wake tunao oa ni mwakisi wa mama zao.kama mama...
umewah kula kuku wa kienyeji? ni watamu sana inasemekana hivyo. kuna kipindi cha nyuma hivi nilikamata demu mmoja wa uswazi mitaa flan huko.alikuwa mzuri nyuma ana kalenzi mbinuko flani hivi na tu...
Familia ya Nyalong ilitangaza mahari ya binti huyo kwa kumpiga mnada kulingana na tamaduni za jamii ya Wadinka
Ushindani huo uliwavutia wanaume sita na mshindi kutoa ng’ombe 520 na magari matatu...
Hakuna wa kupinga hapa kusema kweli ukimwi umekaa sehemu tamu aswaa siyo tamu tu ni tamu palipoipita ata Tamu yenyewe,
Wakati una mzuka wa kutindua papuchi ata atokee mtu akuchape bakora mixer na...
Wakuu, nimesema mke au mchepuko wa jirani kwasababu sina uhakika kama ni mke wake ama vipi.
Sisi tunaishi eneo moja tulivu sana, eneo moja wapo huku Bunju.
Tunakaribia Miaka Miwili tokea tuhamie...
Mapenzi yana nguvu sana hasa kama Hujawahi kuumizwa, lakini katika Makosa yote mtu hasa mwanaume anaweza kuyafanya kwenye mahusiano bhasi ni KUOMBA MSAMAHA kwa kosa ambalo sio lako ili mradi tu...
Tupo kwenye ugomvi kidogo namke wangu kuhusiana na suala langu la kuzidi kuwa namwili yaani big,,
Amemshirikisha na ndugu yakeupande wa baba yake suala hili.. mimi ni muungwana mno,aliniita na...
kwa hakika wanaume nao huwa na maeneo ya kuwasisimua na kuwapandisha kasi zaidi,kama zifuatazo
1. MASIKIO
hii ni seheme ambayo hubeba hisia nyingi sana
za mwanadamu;
hapa mwanamke unatakiwa...
Kuna dada flani anaitwa Martha Mchekeshaji alifariki hapo Juzi kati Mungu ampunguzie adhabu ya Kaburi lakini Kilichonishtua ni MBOSO kuamini kuwa ana mtoto na yule dada na ukute alikuwa anatoa...
Kuna rafiki yangu mmoja alikuwa na uhusiano na demu mmoja hiv ambaye ni mwanachuo ambaye huyo demu na me tunasoma chuo kimoja.Rafiki yangu alimpenda yule kiasi ambacho alitaka amuoe huyo demu...
Mabaharia wenzangu acheni kuogopa kuwatongoza mademu wa Jf Kwa sababu mademu wa humu ni hao hao wa mtaani tunaoshinda nao, cheka nao ana ata kukaa nao kitaa kimoja,
Msiogope kuzama Pm kwao kwa...
Habari wakuu,
Mimi ni kijana mdogo mwenye umri wa miaka 25. Nilikuwa kwenye mahusiano na mwanamke ambaye ananizidi umri kwa miaka 7. Yeye ana mtoto wa kike mwenye umri wa miaka 8 kutoka kwenye...
Sijui nisemeje lakini kiuhalisia mwanaume ukijua kuwa mke wako au mpenzi anatembea na mwanaume mwingine akili inaruka na kuwa kama mwehu na kama utashindwa kujizuia kidogo unaweza kujikuta...
Kuna taarifa ya kuuzunisha nimeipata muda huu kutoka Morogoro, Kihonda kwamba memba mwenzetu kafumaniwa na mke wa mtu ndani ya nyumba ya jamaa.
Nimeambiwa kwamba kumbe mwenye mke alimtegea muda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.