Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Au Ili awe mshangazi wako inabidi uwe chini ya miaka mingapi?!!
6 Reactions
33 Replies
1K Views
Bukoba kuna warembo wazuri sana wenye misambwanda miguu ya bia na figa namba 8. Wamegawanyika Watusi kwa hapa wanaitwa wanyarwanda pia wapo walio mix Wahaya na Watusi nakutoa watoto wakali. Pia...
10 Reactions
350 Replies
62K Views
Mkuu wa Polisi wilaya ya Ludewa mkoani Njombe Selestin Luhende amewataka wanandoa kuacha kupekua simu za wenza wao ili kuepuka madhara yanayoweza kupatikana ikiwemo ugomvi unaoweza kuvunja ndoa...
6 Reactions
24 Replies
1K Views
Niende kwa ufupi, kuna hii avatar yenye shape la kwenda na mgongo mzuri. Nimempenda huyu mwenye id Nimeona nianze hapa ili wenye abc wanisaidie kabla sijaenda inbox, Hii avatar inaitwa witnessj...
7 Reactions
41 Replies
2K Views
Wakuu kila mmoja najua kapitia au anapitia haya mambo unakuta tu hutarajii umeshika simu ya mpenzi wako Mimi bwana ilikuwa jumamosi moja hivi natoka zangu masafa si unajua wengine sisi sio...
6 Reactions
56 Replies
7K Views
Huu ni ujumbe kwako “Boy child”. Ikiwa imetokea umekutana na binti mzuri akakuvutia na ukaweka jitihada zako kama kumtoa out,kumpatia zawadi na kumpatia offer mbili tatu kama kumlipia bills zake...
15 Reactions
23 Replies
2K Views
Kwa kiasi kikubwa umasikini unatoka na chain ya ufukara ambayo ipo kwenye familia au ukoo, kwa maana iyo umasikini wa mwanamke sio tatizo la boyfriend wake, ni tatizo lake binafsi na familia yake...
20 Reactions
52 Replies
2K Views
Habari wakuu, natumai mko poa wa afya. Nina mke wangu nimeishi nae takribani miaka 8 Mwaka nyuma alipata kibarua ila huko kazini yupo na jamaa fulani hivi ila chakushangaza imefikia hadi hadi...
7 Reactions
53 Replies
927 Views
Case studies zipo nyingi Sana Sina haja ya kurudia. Uzi tayari.
10 Reactions
66 Replies
1K Views
Dunia iko kasi sana aisee, wiki 1 nyuma nimetumiwa msg facebook na demu wangu ambae tuliachana mwaka 2017. Sikujibu, baada ya siku 2 akaandika namba yake, kibinaadamu nikaona nimcheki asije sema...
21 Reactions
103 Replies
6K Views
Nimekaa nikatafakari. Sisi wanaume ambao harakati zetu za kupata mkate wa kila siku zinahusisha kusafiri safiri, tunachapiwa sana wake zetu. Nimesoma nyuzi nyingi sana hapa JF vijana wakieleza...
8 Reactions
16 Replies
1K Views
...
0 Reactions
0 Replies
221 Views
Hapo vip! Kiukweli kuna madhara makubwa mtoto wa kiume kulelewa na mama tu. Madhara. 1.Hana msimamo kama mwanaume. 2.Anaamini ushauri wa mwanamke kuliko wa mwanaume. 3.Sio mtu wa kuaminika kama...
5 Reactions
31 Replies
1K Views
Aisee! Huwa naichunia simu ya mke wangu kwa kuogopa BP na pia namuamini maana ana kautulivu kimuonekano na maisha tulioishi hajawahi kuniletea mazombie mpaka yanitishe na kuhisi sio mwaminifu...
17 Reactions
389 Replies
33K Views
Habari za saizi wakuu, Mi nikijana Nina umri miaka 24 nakumbuka wakati mdogo kipindi hicho nyumbani tulikua tunakaa na mother,mzee,(kazi zake zilikua za kusafiri safiri)broo1 na mtoto wa broo...
3 Reactions
64 Replies
12K Views
Huyu dada atakuwa na matatizo ya akili si bure leo kwa mara nyingine ananambia eti ye kaangalia wote anaona mimi ndo tunaweza oana umri wake miaka 33 choka mbaya wewe miaka 34 uje uolewe na mimi...
21 Reactions
232 Replies
19K Views
Kama ilivyo kawaida ya wengi kurudi nyumbani na kujumuika na familia pamoja na ndugu wengine mwisho wa mwaka nami nilifanya ivyo maana miangaiko ya kimaisha ilininyima nafasi ya kurudi nyumbani...
43 Reactions
204 Replies
11K Views
Asubuh imeanza kwa ngurumo na mvua za hapa na pale. Hali ya hewa ni ya uvuguvugu anga linaonekana kuwa na mawazo sana.maana halijielew kama liruhusu mvua inyeshe au jua liwake.basi ili mradi ni...
3 Reactions
55 Replies
5K Views
nangalieni sana dada zangu kuna wanaume "kantangaze" usiombe aku gegede..atamwambia kila mtu "aaargh huyo mi tayari, wa baridi kama nini" au "yule mtoto nimemla jana tu mtamu sana asikwambie mtu...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Huyu dada tupo naye ofisini ana miaka 32 sasa. Nadhani naye ashashtukia kuwa inaenda usiku sasa amekuja kwangu anadai ameangalia angalia ameona mimi ndo namfaa tutawezana maana nami nilikuwa...
4 Reactions
29 Replies
5K Views
Back
Top Bottom