Umemtongoza mwanamke amekukataa, kutokana na sababu anazojua mwenyewe. Ukaamua kupotezea.
Siku kadhaa mbeleni anakuja anakutafuta anakwambia kuwa ana shida ya kiasi cha fedha umsaidie!!
Hii...
1.mpende kwa maneno mazur mkeo
2.mpe pesa sio lazima hela nying ni hata vijisent mpe tu elf 7 kum na nk bila maelekezo yaan yake kama unazo nying mpe tu hata nne tano milion au gar
3.kua msafi...
Ukisikia mama au dada anakwambia ngoja nitamtuma 'bodaboda wangu' basi ujue huyo Bodaboda wake ni bodaboda wake kweli kweli.
Ninamjua mdada ambae anamtuma bodaboda wake kumtolea hela Kwa ATM...
Ndugu zangu mficha mauti kifo humuumbua wakuu kuna mtangazaji wa crown media anaitwa Iman Luvanga wakuu nampenda na kumpenda zaidi 🥰🥰🥰🥰 mfikishieni mlio karibu nae aiseee
Mitaani huku ndoa zinavinjika kila kukichaa, leo asubuhi nimekutana na magazeti mawili mmoja mke wa rafiki yangu na mwingine mke wa mjomba wangu wote wanataka kutundika daruga nimekosa cha...
Ukiangali kwa makini kataa ndoa uwa wana hoja sisi tuliooa tunapitia mengi sana.
Yule Mwanamke wa ndoto zako ambaye kuja nyumbani kwako hataki yupo kwa Mchizi anapika na kupakua, hata zile pesa...
Wakati mnakubaliana kunyanduana hususani kwa mwanaume Kuna masharti ambayo unampa mpenzi wako pindi mnapokutana chumba Cha Siri awe amezingatia ili kukidhi matamanio Yako, kwa misingi ya kuongeza...
Wakuu mmebarikiwa,
Leo katika pitapita zangu mtaani, kuna mabinti walikiwa wamekaa kibarazani wanasukana, nilipita bila kuwasalimia maana walikuwa bize hivi.
Sasa wakati narudi njia ileile...
Wakuu tujadiliane hili kidogo
Hivi karibuni nilizama kwenye dimbwi la mapenzi na mrembo mmoja hivi mtaani kwetu, wakati penzi likiendelea kunoga kaka yake ambaye ni shimeji yangu alishtukia kuwa...
Habari zenu wakuu,
Nimemkumbuka kaka fulani tulikuwa marafiki sana tangu nikiwa secondary. Kwa miaka 10 alikuwa mtu wangu wa karibu sana, mshauri wangu kwenye kila Jambo.
Kiasili Mimi ni...
Nimeshajiuliza sana lkn sipati jibu, huyu binti ni mhudumu wa bar, mzuri kishenzi...ila inasemekana ni HIV+....
Yani ukimgegeda leo, kesho yake lazima upate pesa, watu 9 hadi sasa wameshamgegeda...
Habarin za usiku huu
Miaka/miez ya hiv karibuni tumeshuudia mauaji ya wanawake yaliyokisiri kutoka kwa wanaume zao ila kwa sasa nch imetulia je nini kimesababisha utulivu huu ili wahusika...
Yani nashindwa kabisa kuelewa, ni kwanini watoto wengi wa kike wanashobokea sana magari? Yani hata ajue sio lako, ili mradi kakuona tu unaendesha basi ukimgusia tu anajaa!!! Wengine kwao yapo...
Niko maeneo Yangu ya kujidai kusherehekea mara baada ya kutoka kupima na kuambiwa Sina Ngoma ni mzima wa Afya kabisa.
Ili eneo flani hivi la Nyama za kuku choma hapa Dodoma. Nimeagiza kuku, na...
Habari zenu wana JF. Naomba kushare nanyi suala hili kuhusu dada yangu wa tumbo moja ambalo sikuwahi kulihisi, kulidhani wala kulijua kwa zaidi ya miaka 20. Kifupi mimi ni...
Kuanzia nioe kusema kweli sina mzuka sana na mademu wa huko nje,
Maana hapa gheto kila muda huwa nachakata kiasi kwamba mbunye kwangu imekuwa kama maji kwenye ndoo Najichotea tu muda wote,
Kuna...
Ni swali ninalojiulizaga mno na umri wangu huu wa miaka 30 kuelekea 31, hivi katika umri gani aibu huondoka kabisa? Kiasi kwamba unaweza kulala mpaka na colleague wako(mfanyakazi mwenzako).
Pia...
Huwa nawaza, Mimi mke wangu mzuri lakini kuna wake wa jamaa zangu nao ni wakali sasa navyowatamani utadhani mke wangu havutii. Najiuliza je wakulungwa ambao hawafahamu kama mwanamke mzuri kaolewa...
Hii imemkuta jamaa yangu wa karibu.
Iko hivi:
Jamaa yangu anaishi na mkewe na wamebahatika kupata watoto watatu. Ndoa yao ni tulivu sana.
Kifupi wanapendana na kuheshimiana (kwa mtazamo wangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.