Wanandugu tarehe 20 mwezi wa kuminamoja tunatarajia kupata usajili rasmi wa chama cha wanaume wanaoopigwa na wakezao tanzania..
kumekuwa na wanaume wengi sana wanaofanyiwa vitu vingi na kushindwa...
Habari zenu wadau wa Jamiiforums.
Ni mara yangu ya kwanza kutuma ujumbe wenye maudhui kama haya hapa jukwaani.
Naomba mnipe ushauri jinsi ya kukabiliana na stress zinazonikabili.
Suala liko...
Nikikumbuka nilivyowindwa na yule mstaafu na jinsi Baba yangu mkubwa alivyoingilia kati kunisuru na leo nipo hapa nimesalimia nae.
Hakika kama siku ya kifo haijafika haijafika tu.
Mwisho kabisa...
Habari wana JF. Leo na leta kisa changu hiki kilichonitokea, nina miaka 38 sasa. Ni Baba wa watoto 2 nilizaa na wanawake wawili. Wa kwanza mke wangu wa pili niseme kama mchumba tuu.
Miaka kama 12...
MAMBO HAYA USIMWAMBIE MWANAUE WAKO, HATA KWA KISU SHINGONI:-
Mwanaume aliyekutoa Bikra [aliyeku'bikiri], hapa hata kama wewe ni malaika utamu-umiza sana mwanaume, hatokaa asahau, ataumi sana...
Mahusia ni jambo la kutazama katika jicho ya kipekee sana haswa swala la usaliti linapoingia katika mahusiano, Mahusiano kati ya mwanaume na mwanamke yalianza toka mwanzo kabisa mwauumbaji wa kila...
Iko hivi:-
Mimi ni msichana, nimezaliwa peke yangu kwa baba na mama na nina miaka 23. Bahati mbaya mamangu allifariki miaka 4 iliyopita. Kwa muda wote huo babangu anaishi single na muda mwingi...
Wanaume, kumbukeni kwamba ninyi ni tuzo. Usiruhusu mwanamke yeyote akufanye ujihisi mdogo. Hapa kuna baadhi ya sababu tano za kukukumbusha thamani yako:
1. Ukweli kwamba mwanamume anaweza kuoa...
Msanii Nguli, LUIZA MBUTU amedumu kwenye ndoa yapata miongo kadhaa sasa, Hana makeketofauti na wasanii wengi nchini.
Tumeshuhudia ndoa za wasanii wengi kutokudumu ikiwemo Harmonize Vs Kajala...
Ni nini hasa changamoto hata ifikie mahali ili kijana atangaze ndoa ni Lazima awe ametekeleza jambo hilo?
Hata hivyo,
ni dhahiri wana ndoa wengi hivi sasa, wanaenda kwenye nyumba za ibada kufunga...
Habari zenu wanajamii forum
Leo naomba mnisaidie kuhusu kujua tabia za wanawake wa kimbulu japo sijawahi kuwaona ila nasikia ni wepesi sana kushawishiwa kufanya ngono mpaka wanasifikla kama...
Kwema Wakuu!
Hakuna kitu kizuri kwenye maisha Kama kuishi na mtu mnayependana, Yaani muda wote raha tuu!
Mnaishi Kama Watoto, mnacheza Kama watoto mkiwa pamoja, hakuna Siri. Hakuna chuki...
Hili ni swali ambalo wanaume tumekuwa tunalitafutia majibu kutoka kwa wanawake. Mfano, kwa mwanamke ukiwa kwenye relation na mtu ambaye anakuridhisha sana kitandani, ni sababu ipi inaweze...
Naomba ushauri kutoka kwenu wadau,ni njia zipi zinaweza kutumika ili ama kupunguza au kumaliza ufuska kwenye ndoa.Kwani siku hizi taarifa kuhusu ufuska kwenye ndoa ni nyingi sana
Wakuu nilikuwa na ndoto za kumiliki angalau pikipiki kwasasa ili kunipungizia gharama za daladala na boda pia kunipungizia michosho itokanayo na kutembea Kwa miguuu.
Nikaliweka hilo swala kwenye...
Habari kwenu!
Ni kwamba Kama katika maisha ya mwanaume ukiona kakuchukua na kakuweka ndani Kama mke Basi tulia na ujue kajiridhisha kuwa wewe ni mwanamke Bora na sahihi kwake na familia yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.