Habari wakuu,
Nimeamka leo nakuta mpenzi wangu kaweka WhatsApp wimbo wa Mboso uitwao Over akisindikiza na maneno na dhihaka za emoj za kuonesha anamwambia mtu ambae sio mimi.
Kuna haja ya kuhoji?
Ukweli ni kwamba asilimia kubwa ya wake zetu wanaliwa nje ya ndoa. Hii tukubali au tukatae, ni ukweli usiopingika. Wake zetu ama watatembea nje ya ndoa kwa kutaka kuonja utamu wa nje, ama ni kwa...
Wakuu salama?
Kuna chimbo jipya(mchepuko) nimelipata hapa Dodoma.so katika story za hapa na hapa akanitumia huu ujumbe hapa chini.
Nijuavyo mimi michepuko huwa 8na lengo la kuvuruga tu ndoa za...
Wahuniiiiiii
Nimewaita mje
Mwenzenu ameyainua matanga, akatafuta kimada nje ya ndoa
Kimada ni mtoto wa 2000, basi kila saa anataka attention, anamkausha baba wa watu huku
Baba anataka msaada...
Biharusi mtarajiwa: Money Penny njoo
Money penny: nimefika mama nini mbaya
Biharusi mtarajiwa: nimetambulishwa leo kwa mashemeji zangu wa kiume kwa mara ya kwanza
Money penny: enhe
Biharusi...
Nimegundua kuna changamoto kubwa sana kwa vijana linapokuja suala la kuchagua mke, vijana wanachagua kiholea holela sana. Future ya mahusiano ni fumbo lakini iyo sio sababu ya kubet kwa mwanamke...
Kufika kileleni kwa baadhi ya wanawake huambatana na kurushwa kwa maji-maji ukeni yakiruka kama bomba kupitia njia ya uke lakini si haja ndogo.Majimaji hutoka karibu na uke, kwenye tezi inayoitwa...
Asee wanaJF people's Power na kazi iendelee kuna mkanganyiko hapa
Bora kuoa mwanamke yupi Kati ya hawa
1.Mwanamke mwenye mtoto(karibu la mume wake umeliona🤣)
2.Mwanamke aliyekuzidi umri...
1. Nianze mfukuzia demu
2. Nimtongoze nimshawishi mpaka anikubalie
3. Kisha nianze kuwa natatua shida zake
4. Ni maintain yeye kubaki au kuwa nipambane niendelee kubaki naye atumie pesa zangu...
Habari za asubuhi waungwana......
Wakati mwingine kukaa bila kazi ya kufanya inafanya kichwa kizurure kifikra na kupitia mawazo mbali mbali.......
Katika kuzurura huko kimawazo nikajikuta...
Kwanza niwatakie pasaka njema wakristo wote wa jf na duniani kote.
Kwa kipindi kirefu nimekuwa nikijaribu kufuatilia hili swala la wanawake wengi kupenda kutazama porn videos. Uchunguzi wangu...
Miaka kumi na kadhaa huko nyuma kuna katoto ka jirani yetu hapo ka kike kalikuwa katundu katundu balaa,
Muda wote kanashindia chupi tu, au muda mwingine unaweza kakuta kako uchi kabisa,. Basi...
Habari za muda huu wazalendo wenzangu poleni na mihangaiko, harakati na purukushani za kuhakikisha mkono unakwenda kinywani.
Bila shaka hiyo sio kauli ngeni miongo mwa wanaojiita wapendanao ni...
Maisha ni safari ndefu yenye kila aina ya changamoto, na hakuna mwanadamu yeyote azaliwaye kwenye sura ya dunia hii bila kuzipitia. Changamoto huja kwa nyuso tofauti-tofauti kwa kila mmoja, na...
Nipo mkoani kwa ajili ya kazi maalum nikaona si vibaya nipange nyumba kabisa kwa sababu kazi hii inaweza kuchukua muda mrefu kumalizika.
Kuna mama mmoja ambae wakati nahamia hapa nilimkuta kwa...
Hili swali nimeleta kwenu wana JF Kuna kijeba apa alianza kama utani vile, walikuwa wanachat mda mrefu sana na msichana ambae walianza urafiki Facebook lakini hivi tunavyoongea wameonana tayari...
Huu uzi unamjibu member Kamgomoli: Kwenye uzi Faida na hasara za kuoa mwanamke msomi na mtumishi
Tunapaswa kuelewa maisha yamebadilika na yanatubadilisha, tutake tusitake. Tunapoweka faida za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.