Jamani nimemaliza chuo fulani hapa degree maisha ya wadada wa vyuoni naipatapata, mchumba wangu pia kaenda chuo this year.. Je nina mtu hapo au nitafute mwenzangu aliyepo uraiani tuu??
Serious...
Hivi umewahi kujiuliza mahali walipokimbilia wale dada poa (vipozeo) baada ya kudhibitiwa na mkuu wa wilaya ya Ubungo?
Wako wapi?
Ama wanafanya nini kwa wakati huu?
Walijiajiri ama kuajiriwa...
Habari zenu wana Jf,
Nina mdogo wangu wa kike baba mmoja ila mama ndio tofauti, mzee alikua na wake wawili. Huyu binti alikuwa akifanya biashara za kusafiri kwenda Kampala na Nairobi kwa miaka...
Ohoo! Kwa masharti haya, jamaa kamix kinoma. Anauliza kila mtu kuwa "huyu mwanamke karogwa nini?"
Mke naye haelewi, anadai huo upuuzi wa kunyonya na kuyashika manyonyo yeye hataki kwa kuwa huwa...
"Buy one - get one free"
It may be a marketing gimmick.
But it is true in real life in many sense and ways.
We buy anger and get high blood Pressure free.
We buy jealousy and get headache free...
Je unakumbuka siku ambayo ulifanya mapenzi na demu au mkeo,mpaka akakubali kuwa yes umepiga show ya kibabe
Unakumbuka ulivyofanya? na wewe mwamke unakumbuka siku uliofanya mapenzi ama na mmeo au...
Katika harakati za kubeba boksi nikakutana na mama mmoja wa kitasha.
Kimsingi kuna kitu nilikuwa nahitaji ila nilipungukiwa cash na sikuwa na card.
Nikamwambia isiwe kesi niwekee nitakuja...
Kipindi nasoma shule, nilipata kumsoma jamaa anaitwa Plato. Sikumbuki mengi sana kumhusu, ila nakumbuka kauli yake "Love is serious mental disease" na hii nimeishuhudia mara mbili kama ifuatavyo...
Pichani ni wazazi wakiwa wamehudhuria mahafali ya kijana wao aliyehitimu mafunzo ya jeshi. Unaweza kuona namna wazazi walivyochakaa kwa kumpigania kijana wao afikie ndoto zake pengine wameuza hata...
Anueonghaseyoooooooooooooooooooooooooo!
Kutokana na watu kusafiria nyota yangu any allegations against me nazijibu kwa thread! Siendi kwenye thread ya mtu maana nakujazia trafic, unapata...
Wakikojoa wanajifuta na tishu, lakini mbususu inalambwa mpaka basi.
Vinyeo vyao navyo hufutwa na tishu tu baada ya kujisaidia kubwa lakini vinalambwa mpaka basi.
WAPOJE HAWA KWANI...
Habarini na poleni na majukumu
Uzi huu nimeandika kutokana na mada mbalimbali nilizokutana nazo zinazohusu mahusiano ya kindoa juu ya single mothers
Kwanza kabisa inabidi nitoe sababu chache za...
Kifupi tu nilikutana na Binti mtaani nikashoboka namba, akanipa mtoto ni pisi iliyonyooka mavaz juu kafunika Hadi macho(ila si muislam)
Nikaomba urafiki akanikubalia, nikaenda chapu kwenye lengo...
Mambo vipi wakubwa.
Ebana tuna siku ya tatu hatuongei na wife,sababu kubwa ni siku ya jumapili sikujua kama alipotoka church alipitia bar jirani na wanakwaya wenzie wakawa wanakunywa soda.
Basi...
Ningeulizwa Version sahihi ya mwanamke Africa mashariki na Kati inapatikana wapi bila kupoteza muda najibu ni RWANDA alafu ningeulizwa Why? Maelezo yangu yangekuwa haya Of course sitaki kuponda...
Habarini wadau wa jukwaa hili, nimepata wasiwasi baada ya kuzidi kwa vitendo ambavyo sivielewi kwa mwenza wangu.
Kwanza amekuwa akidai nimpe T-shirt zangu na nimempa kadhaa kwani nilijua ana...
Wakuu habari zenu. Naomba ushauri wa namna ya kuweza kuendelea na mahusiano na mwanamke mwenye hasira za karibu sana hata kwa jambo ambalo halina maana ya mtu kukasirika. Mana naona uvumilivu...
Je Wajua?
Number Plate(Plate Number) Kwa mujibu wa kiswahili fasaha huitwa KIBANA?
Chukua hiyo,huishi nayo!
Kabla ya ndoa mara nyingi wanaume wanataka kupima kama yaliyomo yamo,siyo mtu...
Habari wakuu,
Nipeni ushauri juu ya huyu mke amekuwa na tabia kuwa jambo tunalojadili mimi na yeye kisha yeye kumpelekea mama yake na mama yake kuyasema kwa ndugu zake.
Ndugu hao hao wa ndani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.