Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Wakuu naombeni ushauri. Nipo njia panda mm kama kijana wa miaka 27 napata ukakasi juu ya mstakabari wa maisha yangu. Saa nyingine navutiwa na kutafuta mwanamke ila saa nyingine nikifikiri mambo...
4 Reactions
64 Replies
2K Views
Kuzima simu kabla ya tukio la kufanya mapenzi kutakusaidia kukuepusha na mambo mengi sana yaliyo nje ya uwezo wako nakumbuka tukio lililowahi kunikuta 2020 pisi imeingia hoteli niliyolipia laki...
1 Reactions
15 Replies
866 Views
Fanya tafiti na anza na kujitafiti wewe Mwenyewe. Iko hivi. Twende moja kwa Moja kwenye mahusiano kati ya Mwanaume na Mwanamke ambao wapo kwenye rika linalo endana, wewe mwanaume unaweza tongoza...
12 Reactions
38 Replies
3K Views
Inakuwaje binti anaishi na familia yake, namaanisha baba na mama na bado analilia kuhudumiwa kama vile mtoto yatima?? mahusiano ndio kwanza yana wiki mbili sijakuowa unaishi kwenu na bado unataka...
7 Reactions
43 Replies
1K Views
Sheria tatu za kutumiana meseji au kuwasiliana na mpenzi wako,na hii ni mahsusi kwa wale ambao ndio wanaanza mahusiano Sheria namba moja,je huwa ana kawaida ya kujibu meseji zako,kama huyo mpenzi...
22 Reactions
59 Replies
2K Views
Ewe mzazi usimbane bane mwanao wa kike. Wewe na mwanao mtakuja kulia kilio cha mbwa koko Dhama zimebadilika, mtoto wa kike hachungwi. Hatakiwi kubanwa banwa zaidi ya kupewa elimu ya ujinsia na...
1 Reactions
8 Replies
555 Views
Kila mmoja utamani kuingia kwenye mahusiano; haijalishi anapata faida au hasara, ingawa wapo wachache wanaopata faida, na pia wapo wengine wanapata hasara na kujikuta wanarudi nyuma miaka 20...
18 Reactions
135 Replies
3K Views
naomba mnisaidie kujibu ili swali maana watafiti hewa wamenichanganya na mchoro wao huu chini
6 Reactions
49 Replies
2K Views
Naombeni ushauri wadau, si kwa lengo la kumdharirisha mke Bali kusema ukweli ya kinachojiri. Aisee mke anayaachia mashuzi, kha!!! Yaani kazi inaanza dakika hiyo hiyo anayofumba macho na inaisha...
48 Reactions
176 Replies
4K Views
Wahuniiiiiiiii? Nimewaita Wahuni mje mumsaidie dada wa watu huku Alialikwa na mpenzi wake geto saa 5 usiku akaenda na mchungaji wa kanisani kwao Wakafanya ibada, saa 6 kasoro akaondoka kurudi...
3 Reactions
44 Replies
981 Views
Iko hivi hapa nimepanga niko natoka kimapenzi na mpangaji mwenzangu. Kinachoniudhi huyu bi mdada mara aje na wanaume awapikie wale wasepe, mara aondoke akalale hukoo simuoni kurudi. Daaah ni...
22 Reactions
76 Replies
4K Views
Habari wanajukwaa, Kama mnavyoiona swali Katika kichwa hicho Cha habari. Hili ni swala serious sana na watu hulikemea na kutafuta suluhisho bila kujua tatizo. Kila siku tunaskia mara dadapoa...
14 Reactions
232 Replies
9K Views
Kuna baadhi ya dada zetu wamesoma na wanaelimu nzuri tu. Lakini wasomi wakike jamani wanaringa sana na kujiona wao ndiyo kila kitu na dharau za kutosha. Wengi wao wanaona wao ndiyo bora mbele ya...
3 Reactions
31 Replies
796 Views
Kwa tafsiri ya wanaume wengi, "wife material" ni mwanamke ambaye: 1. Mume akichepuka asiseme chochote. 2. Mume akichelewa kurudi anaseme hewala. 3. Mume akiondoka bila kuaga anasema poa tu, Ila...
12 Reactions
54 Replies
1K Views
Nilikuwa na uhusiano na msichana mmoja kwa muda mrefu, lakini tuliachana miaka mitatu iliyopita. Hivi karibuni, alihamia karibu na ninapoishi, na sasa ana mtoto na anaishi na mtu mwingine, ingawa...
3 Reactions
36 Replies
1K Views
Hivi mnawezaje kuishi na hii ya wanawake? Wakuu ebu mnieleweaheni aisee labda kwa sababu ya ugeni au nini aisee aisee ipo hivi huyu mwanamke nilimuoa tena kwa mahari si haba kidogo nakahisi labda...
9 Reactions
38 Replies
1K Views
Ubingwa wa kumtongoza mwanamke,ni sanaa nzuri mno,na kila mwanaume anapomtongoza mwanamke na mpaka anafanikiwa kunyanduana nae,anajisikua fakhari kubwa sana,vipi wanaumevwenzangu nyie mna maoni gani?
1 Reactions
1 Replies
286 Views
kuna nini nyuma wa wake za watu kupenda sana hela,huku ikionekana kwao kutoa papuchi siyo issue kabisaa. Naomba humu ndani itangazwe siku maalumu ya kuombea ndoa za watu wote waliopo kwenye ndoa.
0 Reactions
1 Replies
125 Views
Imagine mwanaume unapishana na mpenzi wako kwa zaidi ya miaka mitano af eti ukae kumwomba msamaha zaidi ya lisaa lakini haelewi 😀 aisee Huyu nishambembeleza mpaka nmechoka kisa nilimwambia leo...
6 Reactions
51 Replies
1K Views
Nimeamua kuoa binti wa kipare kutokea Kijiji Cha Masandare ( Same) hivi Leo tunaelekea huko kulipa mahari Kama sehemu ya mchakato. Maombi yenu, nimekamatika kwa binti huyu Veronica mtoto wa...
45 Reactions
423 Replies
49K Views
Back
Top Bottom