Naitwa dany from singida tanzania (25) naitaji rafiki wa jinsia yyt kunzia 18-25. Mtu awe serious na anaejitambua kwaajili yakupeana company (0746893854) whatsap
Wandugu habari zenu, napitia wakati mgumu kimaisha na mke WANGU kwakweli nimeishi nae miaka 17 bila shida yeyote lakini hivi karibuni amekuwa na mambo tofauti sana. Wiki iliyopita aliomba ruhusa...
On and on. ......
What would you do
To get to me
What would you say
To have your way
Would you give up
Or try again
If I hesitate
To let you win
Or would you be yourself
Or play your role
Tell...
wakuu habari za uzima?
Mimi na mke wangu niseme watu tunaopenda sana kusoma vitabu, sasahivi tuna mtoto mmoja handsome boy linanipa faraja sana na kunifanya niendelee kupambana.
Niseme katika...
Salamu wana jf.
Kwakweli hii tabia ya rafiki yangu imekuwa sasa kama maradhi kwake, huyu rafiki yangu ana mke tatizo lake kubwa hutongoza wanawake na kutangaza ndoa. Sasa kuna wanawake kama watano...
Kila mtu ana kitu ambacho ni muhimu kwake kabla ya kulala na baada, au awapo safarini, sasa leo niambie ni nini ambacho usipokifanya huwezi kulala au kuondoka home asubuhi baada ya kuamka...
Umekulia huku kwetu Kwamtogole, ukiwa A level ulikutana na huyu binti anatoka ushuani. Alikusaidia sana katika maisha ya shule, alihakikisha unapata extra tuition na past papers mpaka umetoboa...
Dawa ya kuacha punyeto hii hapa
Nenda kwenye duka za asili nunua unga wa kibiriti upelele changanya na mafuta ya mizeituni, nunua chumvi ya mawe walau nusu.
Weka chumvi ya mawe kwenye maji usiku...
Acha kabisa hii maneno
Kuteseka ni lazima kwa mama hata kwa baba pia
Huruma zaidi huja pale mimba inapomgeukia baba na kuwa kama yeye ndio kaibeba! Yaani vichefu chefu vyote yeye malimao mbilimbi...
Daaah!! Wadada mnakwama wapi lakini?? Hivi huwa mnatafuta nn? Kwann tunaenda kinyume na uumbaji wa mwenyezi Mungu?? Wadada wenye hii tabia au ambao wanafikiria kufanya vitu kama hivi, hebu...
Women don't have have a problem with a broke man,they have a problem with a man who's comfortable being broke......Kwa lugha nyingine mwanamke anathamini na kuheshimu 5000 ya mpambanaji kuliko...
Mabibi na Mabwana wote mko huru kuchangia katika uzi huu....
Kuachilia chura.. Ila paja la mwanamke hutumaliza sana sisi wanaume..
Vaa uwezavyo ichonge chura uwezavyo...ila Paja halina mpinzani...
Umeshawahi kujiuliza ni kwa nini nyakati hizi watoto wengi wazuri wanaolewa au wana date na wazee au wastaafu..??????
Jibu ni rahisi....Wanaume ni wachache na wameshaoa...Wamebaki wavulana ambao...
Wadau hamjamboni nyote?
Kichwa cha habari chahusika hapo juu
Je, ni lazima mke amuombe ruhusa mumewake Ili aweze kwenda Kwa msiba wa mama yake mzazi? Je Mumewe anayo haki ya kumkatalia ombi...
Na hili nimeshuhudia kwa marafiki zangu wengi weusi, rangi nyeupe zinawazuzua mno, KWANINI?
Binafsi mimi ni mwanaume mweupe, kusema kweli katika maisha yangu hasa ya ujana nilipenda zaidi...
Mambo zenu, mimi nimeolewa sijabahatika kupata mtoto mume wangu ananipenda tu na kunijali pia. Nimefanya kazi na mume wangu pia, anafanya kazi serikalini, kwahiyo nyumbani kwetu tunaishi na...
Habarini familia nina miaka 25, natamani sana kuwa na familia yangu lakini nikizingatia sina fedha yoyote ile nipo natengemea nyumbani kitu kama hicho kinanifanya niwe na hofu hata ya kutafuta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.