Watu waongeaji si rahisi sana kukudhuru tofauti na wakimya
Mifano halisi
1. Binti mkimya/msiri
Nilikutana na binti mkimya nikajua bwana nimepata maana wanaume hatupendi wanawake waongeaji sana...
Wadau habari zenu,
Msichana mmoja nilie zaa nae mwaka 2011 katika mazingira ambayo nayajutia hadi Leo, amekuja nyumbani kwangu siku ya jumapili mchana kweupe na kumbwaga mtoto mlangoni na kutoa...
Happy birthday to Maria
Happy birthday dear Mariaaaaa
Happy birthday to meeeeeee
Karibuni kuimba na kusherekea nami wapendwa:msela::msela::msela::msela::msela:
Mimi sijaoa Ingawa naelekea huko. Uzi wangu ni kwa dhumuni la kujifunza, hasa kutoka kwa wenye ndoa.
Hili swali nimekuwa nikijiuliza mara nyingi sana. Sasa jana kuna movie moja ya Ki-Nigeria...
Ndugu zangu
Japo wapo wanawake wanao danga kwa tamaa zao binafsi ila wimbi kubwa la wanawake na mabinti wadogo wadangaji linalojitokeza ni kwasababu ya kukosa hela ya kununua Taulo za kike (ped)...
Habari za usiku wana JF,
Niende kwenye mada moja kwa moja, nikuwa ninamwanamke ambaye nampnda sana, na bila shaka nataman nianze nae maisha kama mungu akijalia.
Huyu mwanamke amewai kuzaa miaka...
Habari ya uzima wenu wapendwa,,namshukuru MUNGU kwa kutulinda na kuwa hai mpaka sasa ni kwa kusudi lake.
Mimi ni kijana nina umri wa miaka 29,ni mlokole nasali kanisa la T.A.G
MAADA:
Kuna...
Ugomvi ugomvi piga ngumi piga mateke nikamuotea kofi moja tu
Akapiga kelele hatari na kuropoka ,naondoka na wanangu,nikamwambia haondoki mtoto hapa akajibu,thubutu......naondoka nao, kwanza sio...
Sisi wanaume weupe tuna kingeke cha kupendwa sana na warembo!!
Mimi kila mwanamke huwa anatamani kuwa na mimi
Hivi wakuu wanaume weupe huwa tuna nini?[emoji23][emoji23]
Nishaombwa na wanawake...
Wakuu salaam,
Kama upo kwenye harakati za kuoa, unapaswa kujua si kila mwanamke asemae yes kwako anafaa kuolewa.
Wanawake ni viumbe, wanaoujua sana kuzitumia fursa zilizo mbele yao, hivo...
Nimeishi kwenye jamii za Hawa watu Takriban miaka 8 sasa. Nimefanya nao kazi za Maofsini na za Nje ya ofisi yaani za kijamii na Uchumi.
Pamoja na changamoto nilizoona ktk familia zao na mfumo...
Natafuta mchumba.
Mwenye miaka 19 to 25
Mwenye umbo na haiba ya kike.
Aliye tayari kuanza maisha.
Mimi ni mtumishi wa serikali.
Elimu degree.
Nina miaka 33.
Mengine yanazungumzika njoo pm kwa...
Kijana amepata mke mzuri,na shape mashallah,lakini nimwendo wa makofi,mangumi na mateke,faida ni gani?.
Kilele cha udhaifu wa mwanaume yeyote Duniani ni kupiga mke,unabamiza makofi mtoto wa watu...
Hello JF,
Kuna imani kuwa baadhi yetu wanawake tunapenda pesa na hatuna mapenzi ya kweli, leo nimeona mahali, ufafanuzi wake, lol. Ni kwamba as a society, tumeweka tabaka wanawake wabaki nyumbani...
Home Arusha, baba Mngoni, Mama Mchaga naitwa Marytina
Hebu fikiria kama ulizaliwa kwa sababu mama yako alihitaji Simu, akarubuniwa na ukazaliwa wewe tena ukazaliwa wa kiume
Jana nilienda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.