Wapwa natumaini ni wazima wa afya na pia poleni na majukumu ya kulijenga
Mi kijana wenu katika harakati nimekutana binti mmoja nimetokea ku fall in love tunapendana sana kuhusu kumuhudumia na...
Habari za mapumziko wana MMU!!
Mwanajamvi mwenzetu chakii amefiwa na dada yake leo asubuhi huko Machame,Moshi.
Taratibu za mazishi zinafanyika huko huko Machame.
Mungu awape wafiwa imani na...
Enyi watoto wadogo, wakiume, wavulana nani amewaloga?
Mmekuwaje mbona hamna hofu ya kuogopa wakinamama wakubwa waliowazidi umri mara 20000?
Mnapata wapi ujasiri huo?
story iko vile:
Jana...
Wakuu habarini...??niende kwenye mada moja Kwa moja.
Nimejaribu kupambana na haya maisha toka nimalize chuo mwaka 2018 lakini mpaka sasahivi bado sijajipata.
Lengo langu nilitaka nipate maisha...
dereva funga brake tushafika kwenye party
eeeh bwana eh kumbe bonge la party
cheki mademu kibao utadhani kitchen party
duh! cheki lile anti lililovaa skintight
ee bwana eh! liko safi
sio mchezo...
RIWAYA: BONDIA
MTUNZI: HUSSEIN ISSA TUWA
SEHEMU YA KWANZA
Lango kuu la gereza la Ukonga jijini Dar es Salaam lilifunguliwa na mtu mmoja mrefu alitoka nje ya lango lile kwa hatua za kujiamini na...
Wana jukwaa jumapili njema
Swali langu kwa wadada na wataalam wengine wa mambo ya mahusiano,wanaume warefu,weusi wana nini cha ziada tofauti na wanaume wengine?
Nimepata kuwauliza wadada...
Nina miaka 7 kwenye ndoa na watoto wa2. Niligundua mume wangu ana cheat akakiri na kuomba radhi. Mwezi sasa sitaki anisemeshe kwa mapenzi au hata aniguse nakumbuka kilichotokea na naona na huko...
Dada yangu alinitumia sms kuwa yu mjamzito nikaenda kumuona,nikajaribu kuhoji baba wa mtoto ni nani na kwa nini hawafungi ndoa? Akadai wanamipango hiyo. Juzi akanitumia sms kuwa jamaa ni mume wa...
Habari wana JF,
Pokeeni shukrani zangu kwa kushiriki nami kwenye msiba wa mume wangu mpenzi (may his soul rest in eternal peace).
Ahsante kwa JF - Arusha Wing na wote walionitia moyo na...
Faraja ha ndoa ni watoto tu, the rest is bullsht, even sex isn't fun anymore once you are in marriage.
Babati mbaya kuna hakuna reverse gai.
Kabla ya kuoa mwanamke ankua kama malaika vile...
Another day another story of my life, twende straight,
Nikiwa na umri wa miaka 10 mpaka 12 nilianza kuwa mdadisi na mtundu sana. Nakumbuka chumbani kwa baba yangu nilikuwa nimeshachunguza almost...
Salamu sana wapendwa wangu.
Kuna kaka nimemuona leo ofisi fulani ya umma, ni mzuri tena anaonekana ni "mtamu" kutia naye story. Wakati nimesimama zangu kwenye hiyo ofisi nasubiria huduma, huyo...
Wasalaam wakuu
Kama kichwa cha huu uzi kinavyojieleza, Hivi ni kweli Wanawake huwa hamsamehi?
Yaani hata mkiombwa msamaha mtakubali tu lakini moyoni mnakuwa mmelihifadhi tu hilo tukio/kosa...
Habari!
Nimeleta huu uzi kwa maana vilio vimekua ni vingi mara usimuamini Mwanamke, mara Wanaume wote Malaya.
Sa sikieni one day kuna mshikaji wangu nilimuuliza mbona una demu mmoja unajiamini...
Wakuu
Kuna kautafiti kasiko rasmi nimekafanya,nimegundua wanaume kutoka hii mikoa ni wambea sana hasa maofisini.
1.Dar es salaam
2.Pwani
3.Morogoro
4.Iringa
5.Mbeya
6.Mtwara
7.Lindi
8.Tanga...
BASI BWANA!
Jana usiku kuna jirani yangu amegombana na mke wake. Yalikuwa majira ya usiku mwingi kidogo, nadhani wengi walikuwa wamelala.
Sikutoka nje, lakini niwe mkweli. Sikuziba sikizi lau...
Naanza Mimi. Imenitokea mara mbili;
1. Nilipigana kabisa na msichana flani tukiwa shule ya msingi (darasa la 6). Alinichongea kwa mwalimu nami nikamtafuta baadae na kuzibuana nae vibao; mitama...
Huu ni ushuhuda wa kweli. Kuna mwanaume amepata ushindi mahakamani dhidi ya gumegume, ambao inabidi tushirikishane hapa ili wanaume msiogope kuwafukuza wajasiriaNDOA a.k.a "makupe"au magumegume...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.