Kama mnavojua binadamu tumetofautiana uwezo wa utambuzi na uwezo wa akili.ndo maana wengine wanasahau sahau unakuta amekaa sehemu kainuka kaacha simu anafika mbele anashtuka kama kasahau simu...
Wasalaam JF,
Chonde chonde mabaharia wenzangu tumia akili na maarifa katika mazingira yako yoyote yale, kuwa makini sana na afya yako.
Wanawake wameamua wana kauli mbiu maisha ni mafupi...
Wanaume wa kiafrika ni dhaifu Sana mbele za wanawake.
Kupitia udhaifu huu wameharibu Kazi zao zilizokuwa zinawasaidia kuendesha maisha na kuwapa heshima.
Udhaifu huu umewafanya wameharibu ndoa...
Salaam,
Kuna binti aliwahi nambia, wanawake hawana tamaa kama wanaume coz wao ni selective sana linapokuja suala la mahusiano.
Alinambia, mwanamke kwa mwaka anaweza pokea order 100 hadi 1000 za...
Wapendwa nawasalimu.
Leo Nakadori mimi nimekuja nikiwa mdogo sana, sio yule mliyemzoea siku zote, naomba kwa nia njema tu mnishauri. Ni ndefu ila naomba msome tu kwakuwa ni story ya kweli kabisa...
Napenda kuuliza haya maswali kwa wanandoa ambao wamepitia Talaka:
1. Ilikuja Kama surprise au ulitegemea?
2. Uliwezaje kuikabili?
3. Ukirudi nyuma utabadili msimamo?
4. X ana hali gani?
Kwangu...
Aisee! Hadi nimechoka mwili, akili na roho
Kuna mdada mzuri tu yuko na mama yake opposite na duka langu la maudambu udambwi ni mama nt'ilie. Huyu binti alinivutia sana tokea siku ya kwanza...
Marashi ya kujipulizia sio muhimu sana, na yanazidisha kero na usumbufu yakichanganyika na uchafu mkiwa katika faragha. Kujisafisha vizuri zaidi kwenye mikunjo ni muhimu zaidi na inapendeza zaidi...
Weekend ndio inaendelea hivyo nimetoka job.
Gheto liko, kimya. Hakuna hata mwanamke wa kuongea naye.
Hali ya upweke inanijia..
Nashika simu, upande wa contacts hakuna hata jina la kike nipige...
Hivi umewahi kujiuliza kwa nini wanaume hukasirika zaidi pale wanapogundua kuwa wanawake zao wanacheat?
Iko hivi...
Watu wengi (hasa wanaume) huamini kuwa wanaume ndio wanaongoza kwa kucheat...
Nipo kwenye mahusiano na binti 2 years aliasomea ualimu na kazi hajawah pata mahusiano 2 years hakuna nachofaidika zaidi ya mbususu hana offer yyte hata likitokea la kutokea napambana mwenyewe...
Moja kwa moja, wenye ndoa zao mkilala ukaletewa Makalio bumper to bumper huku wewe una stress zako kibao sana, huwa ni kama kero na stress zaidi.
Mwenzio anakoroma wewe hesabu haziendi.
Wazungu wanasema " you will never miss your water untill your well gets/become dry, yaani umuhimu wa maji huja baada ya kisima kukauka.
Nakumbuka nikiwa mwaka wa kwanza wa masomo yangu katika...
Baada ya kutumia kipindi cha maisha yako kujijenga, kuvuja jasho usiku na mchana, sasa umejipata au umeanza kuona mwngaza basi usifanye kosa la kuwa retirement plan ya mwanamke mpumbavu ambae...
Maybe bila yeye am just another lonely soul😔
I wonder au Niko na pretend kutotuma message mpaka aanze yeye and yet am dying inside.
I think I'm acting tough for something I shouldn't,
Iko hivi...
Hii ni tahadhari ila si sheria, amua mwenyewe kufuata qu kuacha. Kuna mikoa inasifika kwa wanawake watata na jasiri na kubishana na mume.
Mkoa wa Mara. Wanawake hawa ni watiifu kwa waume lakini...
Naingia kwenye mada moja kwa moja. Ndugu zangu naomba ushauri! Mimi ni mwanaume wa miaka 35 nimeoa mwaka huu mwezi wa pili na mwanamke niliyemuoa nimekuwa naye kwenye mahusiano kwa miaka mitatu...
Katika nyakati hizi ngumu tulizonazo, mwanamke ukisikia mumeo anachepuka na mwanamke mwingine mshukuru Mungu.
Sio kama nahamasisha uzinzi nje ya ndoa lahasha ila tambua kwamba kuna baadhi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.