Ni mdada ana mchumba wake wana mwaka sasa
Jamaa amekua na tabia ya kuwasiliana kwa siri na wanawake na dada akigundua jamaa anaomba msamaha yanaisha. Jumamos wazazi wa mume wamepanga kuja kupanga...
kuna mdogo wangu anamchumba wake ambae process zote za kuoana tayar japo jamaa kaomba hajajipanga kufunga ndoa sasa hv uchumi haujakaa sawa anaomba amchukue kwanza ndoa baadae
bint amepanga...
Nataka nifanye maamuzi magumu ya kuachana na huyu Mwanaume, nahofia kitu kimoja
1) Ukweni kwangu pamoja na mume wangu hawana dini yaani ni waganga sana. Je watanibakiza?
2) Nilitolewa mahari mil...
Nimeulizwa swali kwangu limekua kidogo
Mnaishi mke na mme mfano ndugu wa mume au mke anataka kuja kuishi hapo mnajadiliana Kwanza au mmoja ndio anapewa taarifa tu ndani?
mfano rafik angu kuna...
Et hii imekaaje wanandoa wapya hamna mtoto hamna ugomvi mnamaliza wiki 2 hamjasex na mnalala kitanda kimoja shuka moja naked...
hamna majukum makubwa Sana yakuwafanya muwe busy et hii...
Hope mko poa guys
Iko hivi
Dada anamtoto mmoja wa kike ana 5yr aliezaa nae alishafariki
Sasa hv kaolewa na mwanaume mwingine hawajazaa bado wanakama miaka 2 wanaishi wote kiuhalali...
Kabla ya...
Una mume mnaishi pamoja kama mwaka hivi, hamjabahatika kupata mtoto. Tangu umeolewa jamaa amekuwa mzito sana kukuhudumia na akitokea amekuhudumia, ni mpaka kumetokea ugomvi mkubwa.
Yeye anachojua...
Jamani mlioko ndoani ndani ya miaka 5 nakuendelea mmewezaje?
Yaani mmewezaje kuishi wawili mpaka miaka hiyo
Yaani mimi miaka 2 tu natamani dunia igeuke kichwa chini miguu juu.Yaani ukimuona...
Mdau (ke) yupo ndani ya ndoa kwa mwaka 1 Ila tabia ya mme wake inampa shida sana.
1). Jamaa mkimya sana akiamka asubuhi salamu anaaga anaenda kazini akirudi salamu anakaa kimya anakula ataangalia...
Ilikua mwaka 2017 nilipata kazi sehem flan kufika nikakutana na kaka mmoja mpole Sana asie na makuu alikua akisifika ofic nzima kwa hekima zake. Nilitokea kumpenda Sana Sana nikajisogeza karibu...
Huyu mzazi mwenzangu sielewi anatatizo gani.
Ni miaka 8 tangu tumeachana tena sio kuachana aliniaacha kisa kapata mchumba mwalimu mi kwa wakati huo nilikua jobless na mimba ya miez 6 nikarudi...
Ninamtoto nae wa miez 9, tuko nae mikoa tofauti nampenda sana. Huyu kaka ni muhuni sana anamwanamke tena kazaa nae anamtoto wa miez 11 yeye wanafanya nae kazi sehemu moja. Huyu jamaa nampenda sana...
Unakuta mtu kakutenda vibaya na majigambo juu but bado unampenda unashauriwa mpaka na wachungaji umsahau pamoja na mabaya mengi alokutendea bado moyoni hatoki na kuona hutakuja kupata kama yeye au...
Nimeulizwa swali hili na mchumba wangu ambae kila kitu tayari ikiwa kupelekana kwa wazazi na mahari tayari. Iii imekaaje jmn!
Nb. Tunabariki tu ndoa kanisani...
Eee mungu nisaidie niweze kumsahau!! Sikutegemea kama ingekua hivi nilikupenda zaidi ya sana uliniahidi kunipenda upendo ambao sijawai pendwa!!!! Tulipanga mambo mengi...... kweli malipo ya...
Eti jamani mke na mume ni kawaida mume kwenda chumbani kulala saa 5 au 6 au 7 usiku kila siku?
Yan et jamaa yake wakimaliza kula watu wote wanasambaa anabaki yeye na simu mpaka saa 6 au 7 ndio...
Eti hii imekaaje?
Umeolewa labda tuseme miaka 5 nyuma miaka yote hiyo mmeo ni wa kimoja cha sekunde 2 kamaliza umejitahidi kila namna kumpikia vyakula vyakuboost tendo wapi na akimaliza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.