Ni mwanamke fulani mwenye akili na busara. Anayo namna ambayo huleta amani na faraja. Linapokuja suala la mume wake, kwa asilimia zote amejitahidi kumfanya mumewe ajione ni mwanaume bora.
Amekuwa...
Siku hizi wasichana wengi wazuri au warembo, ili kuwanasa, lazima uwahonge pesa nyingi.
Jamii imebadilika sana si kama zamani, ambapo mapenzi yalikuwa hayaangalii una pesa kiasi gani, mapenzi...
Jumamosi iliyopita tulikuwa na semina kanisani kwetu, semina hiyo iliyohusu mambo ya mahusiano mapenzi hadi ndoa ilichangamsha sana vijana wanaosubiria ndoa, maswali mbalimbali yaliulizwa na...
MCHOKOZE KIDOGO MPAKA AKASIRIKE ILI UJUE HEKIMA YAKE IKOJE 😊
Moja ya mbinu nzuri ya ki intelejensia ya kuijua hekima ya mtu ni kumchokoza makusudi mpaka akasirike 😊 Usiogope maamuzi yake...
Nina umri wa miaka 29, tangu nimalize chuo miaka mitano nyuma sijapata kazi, nikajiegesha kwa maza mmoja anafanya kazi benki kuu, anaishi maghorofa ya Mbezi Beach, aisee najuta, simu yangu iko...
Changamoto yao kubwa ni ujuaji mwingi hutoeza kumchit asijue, udanganyifu wowote ule unagonga mwamba Yani ni full mabishano. Ukiwa na Mali utapigwa bila kujua.
Relationships Do not Work Nowadays Because :
👉You Are Dating People Who Are Still In Love With Their Ex's,
👉You Suffer From "insecurities" you Didn't Create.
👉You Are Dating People Who Are...
Hili ni gumu kufikirika, ila ukikaza fuvu lako vema utang'amua!
Nimetaja ndoa, ila of course ni kwenye mahusiano ya mapenzi baina ya mwanaume na mwanamke
Tumezoea kuambiwa ndoa ni ya wapendanao...
Upara mara nyingi huleta hisia kali ya kujiamini. Wanaume wanaonyoa upara wao huonekana kuwa na ujasiri na salama katika sura zao, sifa ambazo wanawake wengi huona zikiwavutia. Zaidi ya hayo...
Iko hivi mr alikuwa mtu wa kuchat na wanawake mara kwa mara sms za mapenzi. Kwa madai yake ni hulka yake tu lkn hafanyi nao mapenzi. Ni kitu kimekuwa cha miaka sasa, unakemea anaacha baada ya...
Japo kila mtu ana mapendeleo yake ila jamani mapaja manene manene nayapenda yananichanganya.wengine wanapenda wembamba eti kwa sabab wanachangamka kwenye game na rahisi kuwakunja..nyie acheni...
Baada ya kupitia misukosuko mingi kwenye ndoa yangu nimeamua kuja kupumzika nyumbani. Moyo unauma sana mpaka sitamani hata kuinuka kitandani natamani kulala tu, nikilala usiku nikisikia adhana ya...
Kwa hali hii nioe kweli?
Kuna uncle wangu juzi kanywa sumu kisa amemfumamia mke wake.
Huyo mke wake ni kicheche wa hatari hata mm hapa factor nimekimbiza sana lile gari,
Kipindi hicho jamaa...
Kikalio ni kitu cha kuheshimiwa sana kwenye tamaduni nyingi.. Unapofika kwa mtu cha kwanza unachopewa ni kikalio... Kikalio chaweza kuwa kiti, jamvi au mkeka! Kiti ni mjumuisho wa kochi, stuli ama...
1. Bill Lugano
2. GENTAMYCINE
3. Chizi Maarifa
4. Deep Pond
5. Viatu vya samaki
Kuna watu huwa nawasoma halafu nawaza watakuwa na sura gani? Umbo gani? Wanavaaje? Wanatembeaje? Wanaishije...
Ndugu zangu mimi nipo DSM nimechumbia Arusha.. Na nilipanga ndoa iwe mwezi Wa kumi mwishoni.. Sasa leo wakati nimetulia nikapokea SMS kwenye namba ngeni ikaniambia kwamba mwanamke ninae taka...
Naam kama heading inavyosema kwakweli kwasasa nimeanza kujichukia hasa upande wa mahusiano ya kimapenzi. Nianze nyuma kidogo ili uelewe kwanini yamenifanya kua katili na pengine inaweza ikawa...
Leo nimekumbuka kiss hiki cha miaka kadhaa nyuma.....
Nilikuwa na rafiki yangu mpendwa alikuwa na mchumba ambaye ni shemeji yangu ambapo walikuwa mbioni kufunga ndoa.....na maandalizi na harakati...
Miezi kadhaa nyuma niliondokewa na baba mzazi,,, tukaanza process za mirathi, wiki iliyopita tumepata kama mil 18 kila mtu.
Sasa huyu shemeji yenu simuelewi hapo nyuma alibadilika akawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.