Asalaam,
Hawa viumbe, mimi huwa siwaelewi wanataka nini hasa ili kujenga amani na furaha kwa mara nyingi maana mara zote haiwezekani.
Wao ni watu wa mood swing, mimi siwezi kazana na hisia za...
Leo nilikuwa natizama kipindi cha "funguka" kwenye channel ya east Africa Tv almaarufu kama channel 5, mada ili yokuwa ikijadiliwa kwanini vijana hawaowi au kuolewa,?,
Kwa upande wa wanawake wao...
Habari,
Bila kupoteza muda ni kwamba, mimi ni kijana wa miaka 34 sasa. Nilikuwa nchi moja Afrika katika kutafuta maisha kwa muda kidogo, sasa nikaona umri umekwenda itabidi nirudi nyumbani...
She my ex girlfriend for last five years.
Well katika hizi hustle za maisha nimejikuta leo niko mji anaoishi.ktk blah blah za chattings za hapa na pale leo natakiwa kulala kwake while her boy is...
Kama mwanaume, ambaye ni mnene, naumia mno, ila ndiyo hali yangu na siwezi ikwepa. Badala yake naweza i mitigate
Changamoto nazokutana nazo faragha ni hizi, kushindwa baadhi ya stahili kama vile...
Hahahahahha nacheka lakini naogopa,
Wanaume wa siku hizi ni majanga mashoga zangu unakuta kamwanaume kanajishaua kana jijitutumia kuja kukutongoza cha ajabu unakuta PESA HAKANA ukisema uvumilie...
Kijana wa KIUME kuna mambo, unapaswa kuyaepuka maisha yako Yote.
1. Kuishi kwa Mwanamke, au ukweni.
2.Usijenge katika kiwanja Cha ukweni au Cha mwanamke.
3.Usiishi kwa kumtegemea mwanamke kwa...
Habari zenu wakuu,
Mimi ni miongoni mwa watu ambao wamekumbana na shughuri ya kiumbe anayeitwa mwanamke, tena ilikuwa ni shughuri nzito kweli kweli na kwasababu ilikuwa ni ndoa yangu ya kwanza...
Ni kisa cha kweli alinisimulia mtu mmoja tulikutana kwenye basi natoka Dar kwenda Moro. Akasema kaka yake alikuwa na rafiki waliyependana sana lakini kwa bahati mbaya kumbe yule rafiki alikuwa...
Kwenu wanaume wenzangu,nawasihi,mkifumania wenza wenu msisamehe,hakuna kupitiwa na shetani,alidhamiria,tena kuna wakati ilichomoka,yeye ndiye akairudisha ndani
Mila unapofikiria kumsamehe basi...
Ewe kijana unapoingia katika maisha tambua ya kwamba wakwe zako ndio maadui zako kwani baada ya ndoa na Sterling movie hii ni mke wako sasa naomba unisikilize kwa haya machache
1.wakwe zako...
Swali langu ni kama lilivyo hapo juu, nini maana ya kukonyeza.
Kama wewe ni wa kike ukakonyezwa na mwanaume ni nini kitakuja kwenye akili yako yani utatafsiri vipi konyezo hilo na utajisikiaje...
Mojawapo ya health education na health promotion stretegies dhidi ya kujikinga na ugonjwa sugu na mkali wa HIV/AIDS ni upatikanaji na utoaji wa elimu ya Kondom Makazini; kwani hawa wafanyakazi...
Unaweza ukalichukua poa poa hili swala Ila litakapokukuta ndio utanielewa vizuri ujue zamani mwanaume ata kama Wote mlikuwa wafanyakazi wa serikali kulikuwa kuna ule urahisi wa mwenza wako kuhamia...
Kuzaa na pisi kali (mchepuko) raha sana, hasa hawa wenye shepu za kinyarwanda, na wameenda hewani, nikisimama naye mi namfikia kwenye bega tu.
Ni miezi saba sasa imepita, tangu ajifungue mtoto...
Habarini,
Niko kwenye umri wa kuoa ila kila nikiangalia sioni mke wa kuoa, binafsi sina standards kubwa ninazotarajia toka kwa mdada, na siko picky kihivyo, shida nikisema huenda huyu ni...
Wanaukumbi mko njema
Katika hali ya kawaida nilienda kusuuza rungu kwa binti mmoja hivi
Kama kawaida yetu huwa hatunaga show mbovu, nikamwandaa kisaikolojia vizurii kabla hatujaingia ktk pit...
kwa uzoefu wangu nimefikia hitimisho la kusemackua, mke wangu ana nguvu nyingi kwenye tendo la ndoa na si kuwa nina tatizo la nguvu za kiume.
Nimejaribu kuendana na kasi yake ya uhitaji wa jambo...
Jioni hii nikiwa hapa nje kibarazani, nawasikia wanawake hapo koridoni wanamteta mshkaji mmoja hivi mpangaji kuwa anapenda mbunye lakini ni mbahili. Jamaa ana mwezi wa tatu tokea aondoke kwenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.