Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Hello wakuu Kuna Uzi niliandika hapa JINSI YA KUMUACHA MWANAMKE ALIYEKUGANDA. Sasa kumbe huyu manzi muongo age ishamtupa mkono aliniambia ana miaka 28 wakati mm nina 24 nikaona isiwe kesi...
7 Reactions
17 Replies
6K Views
Yaani jamani unakuta umeolewa na mume, ana mapungufu kibao, kwanza kibamia halitoshi single goal tena goal lenyewe la kuku lakini kutwa anachepuka unaona ni jinsi gani anajidhalilisha kwa kutoa...
19 Reactions
62 Replies
17K Views
Wakuu poleni na majukumu. Naombeni mbinu ya kuachana na huyu demu aisee ameniganda sana yaan Mimi Nina miaka 24 yeye ana 28 huyu demu nimekutana naye kwenye harakati hapa mbezi mwisho tulikuwa...
13 Reactions
168 Replies
5K Views
Nilipo ingia chuoni kwa Mara ya kwanza nilukutana na mrembo mmoja mwenye asili ya kiarabu, mwenye rangi nzuri ambayo haina hata chembe ya kitu kinaitwa cream, Sikutaka kukaa kimya na hisia zangu...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Niende kwenye mada! Ni kitambo sasa sijaleta muendelezo kuhusu Mercy, siyo kwamba kaacha kunifatilia hapana bado na saivi sielewi nafanya nini ila nitashinda (tutashinda mimi na Mage) Mambo...
3 Reactions
21 Replies
8K Views
Mhadhara - 46: Upo msemo ambao unasema; "Ukila na kipofu usimshike mkono", lakini pia "Usimnyapie kuku kwenye majani makavu". Kama umebahatika kujipenyeza kwenye ndoa ya mtu au mahusiano ya mtu...
1 Reactions
1 Replies
570 Views
Wakuu salama? Aisee aiseee kimenuka tiyari hapa nyumbani kwangu kati yangu mimi na mama solomonii. Mimi ni mwanaume wa early 30's niko na mke na familia ya watoto kadhaa. Mimi siku zote huwa ni...
48 Reactions
290 Replies
13K Views
I will never get married, not even in a Dream - 50 Cent “Women are never with you 100%, 90% of them are with you because of what they stand to gain reasons I will never get married. Here before...
10 Reactions
80 Replies
2K Views
Kaka zangu chukueni hii.... Unapozama kwenye himaya ya mwanamke, ukiibuka pale lazima kuna kitu unaondoka nacho. Waweza kuchukua baraka au mikosi na nuksi kwa huyo mwanamke. Kuna mwanamke...
16 Reactions
85 Replies
2K Views
Unamuona huyo mwanamke ? kwa kifupi huyo mwanamke unae mfanyia kila kitu kwa hali na mali ? Jitihada zako hazina maana kwake .Niamini mimi nakuambia hii leo ,hii haina maana kwamba nawachukia...
28 Reactions
126 Replies
14K Views
"Kumuandaa mwanamke (mke) sio kumjaza mate masikioni na shingoni" Nimeona mahali fulani. Wataalamu mwageni nondo zenu kiuchambuzi. NB: Nchi yetu itafikia tu kuwa kama bustani ya Eden.
10 Reactions
20 Replies
983 Views
MTENDWA wa usaliti hupata maumivu makali, wakati huohuo mwanzoni msaliti hukenua kwa kudhani ameshinda. Maisha hayapo hivyo! Anayesalitiwa humwaga machozi kwa kilio cha mahangaiko ya moyo...
8 Reactions
59 Replies
22K Views
Kwema wakuu. Kama mada inavojieleza hapo juu, kuna mwanamke nimekutana nae mara mbili hivi karibuni sasa juzi hapaa nimemwambia irudiwe tena akanijibu kuwa show zangu kali ukizingatia mara zote...
10 Reactions
38 Replies
1K Views
2% tu ya wanaume wakipigwa na maisha huwaza kuuza sehemu zao za siri kujipatia kipato huku wanawake zaidi ya 98% wakipigwa na maisha ipasavyo wako tayari kuuza sehemu zao za siri ili kupata kipato...
6 Reactions
30 Replies
2K Views
Wanawake wakubwa huwa wanakuwa na ladha tofauti ikija kwa maswala ya mapenzi – ile ambayo wanaonyesha kupenda wanaume wadogo kiumri. Na kwa sababu wanaume wengi huwa wanavutiwa na aina hii ya...
5 Reactions
80 Replies
48K Views
Leo Rafiki yangu kanisimulia👇🏻 Jamaa anasema, kuna mwamba alioa mwanamke mwenye mtoto wa miaka saba, akamlea yule binti kiroho safi kabisa na kwa upendo japo si bintiye akamsomesha inshot huduma...
6 Reactions
32 Replies
2K Views
Tabia za kijamii (community norms) ni very dynamic, hakika kweli hazitabiriki. Mwanzoni tuliambiwa ili kujikinga na ukimwi tuepuke ngono zembe, tutumie kinga (condom), lakini uhakika wakasema tuwe...
12 Reactions
39 Replies
3K Views
Kama utakuwa umefanya utafiti kidogo, utagundua wanawake waliozaliwa miaka ya 80 mpaka leo hii, walio wengi mahusiano yao yanabebwa na pesa. Wanakuwa na hisia na mwanaume, iwapo huyo mwanaume...
4 Reactions
58 Replies
2K Views
Habari, Natafuta mwenza wa maisha. Ambaye tutapendana kwa dhati umri kuanzia miaka 30 na kuendelea. Mm ni mfanya biashara mwenye umri wa miaka 37. Karibu pm tuyajenge
1 Reactions
3 Replies
209 Views
How is your Sunday Guys? Mine is so super Good. Jamani nyie Kuna wanaume ni watamu acha tu jamani. Yaani he knows how to please a woman mpaka unaona mbingu hii hapa. Sijui huwa wanajifunzia wapi...
45 Reactions
177 Replies
11K Views
Back
Top Bottom