1;Huwezi kumshawishi demu mzuri akupe namba yake ya simu!ukiambiwa tu hapana na wewe unaridhika tu na kutoa mimacho tu!
2;Ukimwona mwanamke mzuri unashindwa kumsalimia unabaki unamponda tu...
Mathalani kujiua kwa kunywa sumu au kumdhuru mwingine kwa sumu, kujinyonga, kumdunga mtu au kujidunga kisu mwenyewe kwajili tu ya mapenzi.
Kumpiga mtu rungu au kumpiga mwingine kwa kitu kizito...
Nimekutana na huyu bibie mwez wa 2 mwanzoni kufika mwez wa 3 kaniambia kuwa ana ujauzito wangu tar 17 mwez wa 10 ndiyo siku aliyojifungua
Sasa wakuu m nataka tu kujua kwa huo kwel miez 9 ya...
Kama ilivyo kawaida, Watoto wengi wanakuwa upande wa mama kwajili ya huruma aliyoumbiwa kwa asili, Kitu hiki kimekuwa kikiwapa wanawake nguvu na influence kubwa sana juu ya watoto, Lakini...
Emotional needs and relationship dynamics evolve over time, though individual experiences may vary widely.
In their 20s and early 30's, women may value independence and personal space, focusing...
Kuna mambo yanafanyika ila athari zake huja huonekana baada ya muda mrefu sana..Ukifatilia asilimia kubwa watoto wanakuwa na migogoro na baba zao kuliko mama zao. Yaani ukisikia mtoto ana bifu na...
Kumekuwa na kasumba ya wanaume wa umri mkubwa kuruka na mabinti wadogo umri wa binti zao kingono. Jamii kwasasa imeikubali hii tabia na kuifanya kuwa ni sehemu ya maisha ya kawaida wakati si sawa...
Kwanza kabisa nitume salamu za pole kwa ndugu yetu, mwamba kabisa, mzee wa ndinga, bwana Mad Max kwa yaliyomkuta baada ya kuzinguana na aliekuwa demu wake (kiukweli hakuwa wako, ulikua unatoka na...
Wakuu kwema,,
Baada ya takribani miezi 7 ya kuwa single… na kutokumpenda mwanaume yoyote sasa nahisi Kama nataka ku fall kwa stranger…
Napofanya kazi amekuja boss mpya sio boss wangu mimi ni...
Jitahidi saana maisha haya kuficha aibu za watu, ikitokea umekutana na mke wa mtu au mmama wa mtaani kwako gesti au sehemu usioitarajia tunza hiyo Siri ucmwambie mtu yeyote huo ndio utu
Umekutana...
Tuongee serious, suala la kupata mwanamke wa kuwanae kwenye mahusiano kwa upande wangu limekua gumu sana hasa baada ya kuvunja uhusiano na mtu.
Sio kwamba domo zege sijui kutongoza ninauwezo wa...
Wakuu nashindwa kumuuelewa mke wangu, siku hizi anafanya mazoezi Sana mazoezi kama vile push up, kukimbia na karate. Wakati mwingine amekuwa na tabia ya kunikaba na kunirushia makonde kama...
Leo wacha tuamke na hii,
Mwanamke akikupenda, atapambana kwa nguvu zote ili akupate, wanambinu kali ya kumpata mwanaume kuliko hata wanaume walivyo na uwezo wa kutongoza Mwanamke...
Wana Jf Habari Zenu,
Binafsi Yangu Kwenye Mahusiano Matamanio Na Mapenzi Yangu Huwa Nahitaji Sana Kuwa Na Wale Wanawake Wafupi Wafupi. Mtaani Huku Wanawaita Mbili Kimo But Upatikanaji Wao Ni...
Kukurukakara zimepotea kabisaa. hakuna vionjo vipya wala vya zamani tena, hakuna amsha amsha, na kabisaa hakuna maajabu kunako 6kwa6.
Cha kushangaza zaidi ni kwamba, wahusika huenda ndio kwanza...
Unakuta mtu kazaliwa na wazazi wastaarabu na wenye dini lakini baada ya kuyajua ya ke na me(mapenzi) mtu huyo anawakana hadi wazazi kwa tabia mbovu na za kishenzi kwa kisingizio cha usasa
Wengi...
Kabla ya salamu wana mmu napenda nifafanue maana ya domozege na domowaleti kwa ufupi domo zege ni mtu amcye anashindwa kueleza hisia zake kwa mtu anayempenda na kubaki anaumia mwenyewe lakini domo...
Wakuu salaam,
Kama mada inavyoelezea nimekuwa napatwa na tatizo la kuogopa kutongoza mabinti na kama mnavyojua hapa Dar kuna madem wakali sana ila ukikutana nao road wako faster ni ngumu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.