Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Habari za asubuhi wana MMU. Nafikiri hili ni suala linalozua gumzo sana, hasa hivi karibuni kwenye hiki kizazi chetu cha dijitali ambapo wanawake pia hawapo nyuma kwa kutaka kufanya mambo...
7 Reactions
1K Replies
121K Views
Nini maana ya Domo Zege? Utafanya nini uondokane na udomo zege? Domo zege ni ile hali ya kushindwa kumtongoza manzi ambaye unamtamani ila huwezi kumwambia. Ni kama umefungiwa jiwe ambalo lina...
1 Reactions
4 Replies
7K Views
Kama Binti upo kwenye mahusiano na mtu ambaye unapenda na kutamani awe mume wako unapojaribu kutengeneza mazingira ili mwamba akuweke kwenye mipango yake basi unapokuwa chumbani punguza ufundi la...
15 Reactions
30 Replies
2K Views
Kuna mwanamke fulani hapa jirani, japo si jirani kivile nilitokewa kuvutiwa naye, na mpaka sasa navutiwa naye. Kwa mara ya kwanza kumuona nilijikuta namshangaa hasahasa macho yangu yalipokutana na...
5 Reactions
13 Replies
623 Views
Kwa kuwa nchi ina wakristo wengi basi ndoa nyingi huwa zinategemewa kuwa za kiksto, kupungua kwa kasi ya kuoa kumelenga zaidi kwa vijana wa kikristo. Ndoa za kiislam na kitamaduni vijana...
7 Reactions
9 Replies
526 Views
Mwanaume ukijitambua vizuri utagundua kuwa, Haitoshi kuamini unapendwa kwa kuambiwa au kwa text like "NAKUPENDA" Mwanaume hapendwi bali anaheshimiwa, Bro ukiheshimiwa utapenda tu Ndio maana we...
3 Reactions
4 Replies
228 Views
Asalamwaleko! Kumetokea emergency ikalazimu wife kusafiri kwenda mkoani, atakaa wiki 2 huko. Sasa hapa home tuko mimi na housegirl tu, yaani wawili. Kwa kweli nategwa sana na huyu mtoto. Muda...
14 Reactions
74 Replies
2K Views
Kuna sababu kubwa sana yenye nguvu ya kwanini wanawake wazuri kimuonekano hawaolewi. Nimeona na kusikia sana kuanzia mtandaoni mpaka mtaani watu wakishangaa mwanamke fulani ni mzuri lakini...
22 Reactions
149 Replies
4K Views
Jumapili njema . Katika nyakati tofauti huwa watu wanazungumzia uwezo wa uvumilivu wa mwanamke katika MAISHA. Leo nitazungumzia kuhusu uwezo wa kipekee wa mwanamke unaitwa Incubation power...
7 Reactions
11 Replies
411 Views
Kwa nini mabinti wengi wadogo wanakubali kuingia kuolewa na wanaume wenye mtoto au watoto tayari(single fathers) na kuanza ndoa zao changa wakiwa mama wa kambo katika umri mdogo??
12 Reactions
68 Replies
3K Views
Hizi ndoa hapana wakuu! Niwaase tu wale ambao hawajaoa wawachunguze sana wachumba wao kila tukio baya kipindi Cha uchumba usilichukulie poa. Mfano:- Umegundua mchumba wako bado anawasiliana na...
58 Reactions
231 Replies
11K Views
Katika hali is iyo ya kawaida nimejikuta nakata tamaa ya kuwa ktk mahusiano maana wanawake wa leo wamekuwa wabinafsi kupita kiasi. 1. Hupendwi kama hauna pesa au kama ulimshawishi kwa pesa...
4 Reactions
9 Replies
494 Views
Kama Ni kujamiana hata nzi wanafanya ngono.kama Ni kuongea hata tembo wanawasiliana.kama Ni kunya hata nyani wanakunya.kama Ni kula hata wadudu wanakula.kama Ni kuwaza hata nyoka wanafikiri. me...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Hiiv hii habari ya kua ukifanya unapenda sana ngono unajiletea mikosi maishani yani mambo yako ya utafutaji yanakua hayaendi vizuri ni kweli? Na kama kweli kwanini? Humu ndani yupo imewahi mtokea...
17 Reactions
130 Replies
4K Views
KUNa vitu vina tia sana uchungu
2 Reactions
4 Replies
375 Views
Dah! Kuna watu wana roho ngumu, basi tu. Hivi, kweli, mwanamke anaejitambua, anawaza nini anapoamua kutelekeza vipacha vya miaka miwili na nusu? Baba ndo awe mlezi, awe mtafutaji, mama akale bata...
3 Reactions
9 Replies
281 Views
Hii ndoa inaenda kunishimda kwa kweli Na sijui nifanyeje wakuu kwasababu ninawawaza watoto Wangu hiyo inanipa mawazo sijui nifanyeje sijui maana kila siku mimi ni wa kupigwa na mke wangu tu kila...
14 Reactions
31 Replies
1K Views
Wakuu nilipata rafiki wa kiume, yeye ameoa na mimi nimeolewa ila familia zetu wote wapo mbali tumekutana mkoa mmoja, tukaanza urafiki mpaka ile stage ya kubebishana mara pika nije kula na...
31 Reactions
255 Replies
16K Views
Katika harakati za ujana nimejikuta nachapa sana papuchi.. ila juzi kati katika kushirikisha halmashauri ya kichwa changu nikajisemea ngoja nipime ngoma nikikuta niko poa basi naanza kujitunza...
9 Reactions
59 Replies
2K Views
Wasalaam wakuu. Nimekuwa na ukaribu sana na watu wenye hulka ya upole, jinsia zote wa kike na wa kiume. Ila hawa watu wapole wapo selective sana kwenye masuala ya kuchagua wenza au wapenzi wao...
26 Reactions
323 Replies
47K Views
Back
Top Bottom