Kumpa mwanaume huduma zote za mke ikiwemo kumfulia, kumpikia,tendo la ndoa nk wakati hajakulipia mahari ni kuchafua nyota yako. Huo ndio ukweli japo mchungu
Mwanaume lazima umnyime haki za ndoa...
Nawasalimia wana JF, hope mpo fine.
Ebana hii nahisi siyo hali ya kawaida ni pepo mbaya, ipo hivi........
Katika kipindi hiki cha ujana na ukizingatia bado sijaoa mda mwingine unasafiri huku na...
Kulingana na tafiti mbalimbali duniani, imeonyeshwa kuwa mahusiano ya vijana chini ya umri wa miaka 25 huvunjika sana. Ni kawaida kwa vijana wa kizazi hiki kuanzisha mahusiano kirahisi na watu...
Wadau mambo ni gani aseee?
Nimehitimu chuo mwaka 2020, BSC education chemistry and biology from SUA.
Historia ya safari yangu katika elimu from primary mpka chuo ipo hivi...
Kwanza nianze kwa...
Anauliza mdau wangu wa karibu ambaye tunaheshimiana na kushirikiana mambo mengi.
Mimi na mke wangu tuna miaka mitatu tangu tuoane,
Nampenda sana,na yeye ananipenda sana,sijawahi kushitukia...
Kama mada inavyojieleza
Nimefanya kauchunguzi kidogo nimegundua mabinti wengi wanaotoka katika familia njaa/maskini mlo mmoja kwa siku wana tabia zifuatazo:-
1.Wanapenda sana kuigiza maisha...
BEST TIME TO MAKE LOVE TO YOUR SPOUSE
Yes, you should make love anytime you both want to but here are strategic times you don't want to miss and means the whole world to your spouse. Make your...
Siku mbili tangu ziibuke taharuki na malumbano katika Mtaa wa Mabibo Wilayani Ubungo Jijini Dar es salaam baada ya nyumba zaidi ya nne na fremu zaidi ya tano kuvunjwa licha ya Mahakama kutoa zuio...
mimi nikijana nina amri wa miaka 26 nimeona na nimejaliwa kupata mtoto wa kike ila ninatatizo Fulani ambalo linanitatiza kipindi naoa mke wangu kuna siku kulitokea misunderstanding Kati yangu na...
Hello,
Kuna ile situation unajikuta tu tayari kishaumana na mtu ambae hukumhisia kuwa na tabia za kikubwa may be kutokana na cheo/wadhifa ama umri alionao [emoji4][emoji4] Yaani ambaye ulidhani...
Poleni na nsiba wananzengo
Mwaka 2016 kuna binti wa miaka 19 nilikua namla ,mahusiano yaliendelea hadi pale nilipompiga chini 2017
Baada ya muda tukarudi tena ila sikuwa na mzuka nae so tukawa...
makontena mapya
new era
sura mpya
mnasubiriwa kwa hamu na mabaharia wa vyuo wenye magetto mitaani hata wale wafanyakazi karibu na vyuo wanawasubiri kwa hamu kubwa sana
kuweni makini mabinti...
Hi
Jana nliona video afrimax, kuna bibi anaeitwa Sofia wa hapa hapa Tanzania anadai ana miaka 86 halafu bado bikra, hajaolewa hana watoto wala wajukuu, kwasababu kipindi cha usichana wake...
Ni ndugu yangu anaona muda unayoyoma ila hana confidence ya kupata bwana, hana kazi, mzuri ila ana chunusi( anadai hii ni sababu kuu), hatoki nyumbani at all...
Nimejaribu kutoa tips kadhaa...
Kwema wakuu,
Najiuliza nimfanyeje huyu jamaa. Anajua kabisa huyu demu alikuwa mchumba wangu na nilikuwa na malengo ya kumuoa lakini kamtongoza na kumpata na demu kanipiga mimi chini.
Sasa nawaza...
Alinibania nikamvumilia sasa nikaona huu ni upuzi ya nn niteseke sasa baada ya kugundua nimeanza mahusiano mapya ameanza kuvurugwa.
Kipindi sina demu alikuwa ananijibu kwa jeuri kwa sababu...
Niaje wakuu
Hiki kisa Cha muda kidogo pia lengo la kuleta mkasa huu ni kuonyesha tu jinsi tukio hili la bila kupangwa lilivyo niletea heshima niliyokuwa navunjiwa
Kwanza mimi kiasili nina aibu...
Tumeenda kwenye msiba wa mwenzetu mmoja kafiwa na mumewe.actually haikuwa hasa imepangwa iwe leo.lakini baada ya kusikia maiti inasafirishwa leo jioni basi ikaonekana ofisi nayo ihusike kwa njia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.