Chukulia mfano suala la sex, ile ni starehe ya wote lakini dunia imekua brainwashed kwa kuaminishwa mwanaume anafanyiwa favor ambayo in return inatakiwa kulipia posho, hii posho ya sex wadada wa...
Kabla ya kuanza kuwalaumu wenzanko jiulize vyema wewe pia ni mtu wa aina gani , Je, wewe ni mtu wa aina gani unapo oneshwa upendo na wewe ni mtu wa aina gani unapo oneshwa chuki
Kabla ya kuanza...
Nilikutana nae kwenye semina fulani mjini, tukiwa tumeketi sambamba kwenye chumba cha semina na hatukua tuna fahamiana kabla.
Maudhui ya semina husika yalianza kufanya tuanze kuzungumza, kulizana...
NANI UNAMSHIRIKISHA? MTIHANI WA KWANZA UNAOTAKIWA KUUSHINDA KABLA HUJAANZA KUSHIRIKISHA WATU.
Mpaka leo kuna watu wamekata tamaa sio kwamba mambo ni magumu bali ni ugumu uliozidishwa na walio...
Mi akijitahidi sana anasema "basi sawa yameisha" Au "tufanye yaishe" Na likiwa more obvious anajifanya kulia, lakini hawez sema " Nimekosa mume wangu sitarudia"
Kwanini?
Je mwanaume asema nini kuhusu utamu wa mwanamke,kwamba mwanamke mtamu ana sifa gani,na je mwanamke anasemaje kuhusu utamu wa mwanaume,kwamba mwanaume mtamu ana sifa hizi,naomba majibu
Habarini wana jamvi ,natumaini mko salama na poa kabisa. Leo nimeona nilete mkasa wangu kwenu, mkasa ambao niliwahi pitia huko nyuma.
Iko hivi miaka michache nyuma nilikutana na dada mmoja
kwenye...
Kama hujaoa, unaweza kuona suala la kuoa mke zaidi ya mmoja ni uzinzi, lakini baada ya kuoa utagundua kuwa kuoa mke zaidi ya mmoja kuna faida zake. Mke mmoja anaweza kutesa sana, kuumiza, na hata...
Unakuta Mwanaume anaenda na Demu katika Mghahawa halafu anamnunulia huyo Demu Chakula cha Gharama kubwa kisha Mwanamke ndiyo anakula na Yeye anamuangalia tu au anajifanya Kumpigisha Stori na...
Wamama/wababa mnawezaje kuishi na binadamu mzito kiasi hichi? Kila unachomwambia haonyeshi response positive hata siku moja ye kila kitu ni subiri subiri, hataki hata kuulizwa malengo yake yani ye...
Ndio, napinga!,
Ni dhana ya uongo na inakiuka kabisa asili ya maisha ya ndoa!
Ndoa ni muunganiko wa mtu mume na mtu mke na kuzaa watoto kisha kuwatunza. Jumuia hii ya familia inahitaji mahitaji...
Mwanamke mwenye kiwanja ama aliyejenga huyo ni kataa ndoa. Na amejiandalia maisha ya kuwa single muda wote.
Ukimuoa ni kama unamsaidia kuimalizia nyumba yake ama kuanzisha ujenzi kwenye kiwanja...
Kuna njemba imepata msala hapa kitaa, muda huu watu wamekusanyika baada ya njemba kutoa taarifa kwa mjumbe.
Iko hivi:- Njemba kavusha demu getoni kwake mida ya saa 1.30 jioni ya leo leo...
Wakuu kwema?
Kuna jambo limekua likinitafuna kwa miaka mingi saana kuhusu mimi na mama yangu sina hata chembe ya upendo nae ila hela namtumia namsaidia kwa maana ni Maskini samahani kwa kusema...
Ni uongo au kujitoa ufahamu kusema mwanaume hauna akili ya kujua kuwa huyu mwanamke ana red flags za kutosha kukupa mrejesho kuwa hautadumu nae na hatobadilika hata ufanye nini.
Mwezi wa kwanza...
Habari za asubuhi wakuu wote wa JF na hongereni kwa shughuli mbalimbali za kujenga taifa.
Kilichonileta kwenu asubuhi hii ni kunisaidia mawazo ya hili nalopitia kwa sasa, mimi na mwenza wangu...
Mambo zenu wana jf,poleni kwa jua na karibuni pepsi baridi tupunguze machungu ya dunia,nisiwachoshe kwa maneno mengi ni hivi.
Bwana amepata Bibi hapahapa mtandaoni JF na maisha yameendelea kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.