Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Kifupi tu. Raia wengi wananitolea mijicho kama nmekula chao. Huyu dada alikuwa mke wa jamaa yangu sana. Jamaa tulisoma naye sekondari. Mwaka juzi jamaa akavuta mkoani knjaro.ila wakati afya yake...
8 Reactions
22 Replies
2K Views
Ni mwanamume mjinga na mpumbavu tu ndiye anayemsamehe mwanamke msaliti. Tuangazie sababu 12 kwa nini usimsamehe huyo malaya msaliti. 1. Alitongozwa, akakubali, wakapanga siku, wakakutana...
63 Reactions
172 Replies
11K Views
Kila panapotokea mkusanyiko wa watu,uwe kisiasa,wa kidini,wa mashirika au wafanyakazi wa serikali,ikifika jioni,topic kubwa ya maongezi ni kunyanduana,iwe ni wanandoa,iwe ni viongozi wa kidini ni...
0 Reactions
17 Replies
440 Views
Throwback Zamani
31 Reactions
345 Replies
15K Views
Kikao Na. 34 cha WANAUME kimeazimia kuwa kamwe mwanaume usifanye mapenzi na MKE wa mtu. Mke wa mtu hapa ni yule aliyeko ndoani ima ya kidini, kimila, kiserikali au hata waliojifungisha wenyewe...
83 Reactions
156 Replies
10K Views
First part ( 1) **** I'm a church boy if you ask, you know what is funny about it all, Ladies have taken their allegations to the next level, calling nice guys simp, but are they? Hey kuna this...
5 Reactions
22 Replies
1K Views
Ni mwanamke wangu tuliependana sana tukiwa chuo. She was extremely beautiful. Ila alikuwa anajisikia sana. She got a very big ego. Alinizingua sana tukiwa chuo nikaachana nae tukaja kukutana miaka...
14 Reactions
107 Replies
4K Views
Katika Harakati za Kila siku basi mdachu 🤣maeneo fulani dodoma mara Rafiki angu wa kike ambae hatukua na mazoea sana akapiga simu gari yake "24.O Harrier" Tako la nyani imekamwa njiani ameishiwa...
0 Reactions
0 Replies
297 Views
Heshima kwenu wadau MMU Kuna huu usemi ambao huwa wanapenda sana kuutumia watoto wa kike pindi unapokua shemeji yao hasa ukiwa unatoka kimahusiano na rafiki yao wa kike. Usemi huu ni wakawaida...
1 Reactions
32 Replies
7K Views
Aseeh wakuu wanajf people's powers lakini pia kazi iendelee! Katika Harakati za Kila siku bhana nikaamua kuwa navaa kawaida na nguo za bei cheeeh! "ilikuja haswa Baada ya kuwa navaa smart sana...
15 Reactions
32 Replies
1K Views
Kwa mwanamke yupo radhi aolewe na mtu mwenye gari aliyepanga kuliko asiye na gari mwenye nyumba yake kabisa. Mwenye gari anaeleweka sana na haraka sana kuliko mwenye nyumba. Sijui gari mtu...
2 Reactions
67 Replies
6K Views
Kukataliwa maana yake haufai kwa huyo mtu. Sababu zinaweza zikawa nyingi/ tofauti, lakini kukataliwa si jambo baya. Hiyo ni sehemu moja kati ya sehemu nyingi ambazo utakutana nazo maishani...
7 Reactions
39 Replies
4K Views
Habari wakuu, Mpaka sasa nipo mbali na shemeji yenu ni mwaka sasa hatujaonana sababu ya issue za utafutaji japo mawasiliano yapo strong kiasi chake. Ila mahusiano ya mbali ni Mungu tu awe kati...
41 Reactions
1K Replies
19K Views
Habari za usiku huu wakuu, kuna mwanamke nimeishinae kwa muda wa miaka miwili, kutokana na tabia zake za ajabu ajabu siku hizi amebadilika sana, kinachonifanya nishindwe kufanya maamuzi nimemzoea...
4 Reactions
37 Replies
2K Views
UKÍWA UNAJITAFUTA NDIO WAKATI SAHIHI WA KUTAFUTA MKE. NAMAANISHA MKE WA UJANA WAKO (MIAKA 21 - 30) Anaandika, Robért Heriel Mtibeli Kijana wangu ukiwa kama Mtibeli na kama walivyo Watibeli...
25 Reactions
148 Replies
4K Views
Be warned, This post is strictly for God's Believers. If you'll find it useless, you're strongly advised not to provoke or outrage targeted Audiences. Natumaini nyote mko salama, and so do I...
24 Reactions
251 Replies
16K Views
hivi hii habari ya baadhi ya wazazi wa kiume kutembea na mabinti zao ikoje? hivi ni kweli siku hizi imeenea sana au ni hisia tu.... maaana siku hizi kila mahali unasikia habar hizo.... nini...
0 Reactions
56 Replies
8K Views
Mahusiano mazuri ya kimapenzi ni yale ambayo wote wawili kwa maana ya mwanamke na mwanaume mpo mkoa mmoja hivyo ni rahisi kuonana. Pindi mmoja wenu anapokua mkoa mwingine mfano wewe mwanaume upo...
6 Reactions
16 Replies
1K Views
Nimei copy X Leo nimeshuhudia fedheha. Yaani leo ilikuwa birthday ya dem mmoja hivi karibu na hapa ofisini, sasa ana jamaa anayempenda kweli. Na Jamaa sijui machale yakamcheza kutaka kujua yupo...
15 Reactions
71 Replies
3K Views
Miaka ya nyuma ilikua ngumu sana kwa mji wa Moshi kukuta wanawake wanajiuza hii ilitegemea na maadili ya dada zetu wa kichaga nimeshangaa sasa mitaa ya TANESCO Malindi clab kukuta wamejipanga kwa...
1 Reactions
72 Replies
42K Views
Back
Top Bottom