As per heading above,
I am so concerned to write about online dating as it is coming at peak than onsite dating
Changes in science and technology has resulted to the drift in the marriage and...
Kwenye mitandao mingi ya kijamii kupitia majadiliano na memes mbalimbali au hata comedy kumekuwepo na tabia ya ulalamishi unaozidi kushika kasia kwa vijana wa kiume kulalamika kuombwa pesa na...
Naomba msinishangae jamani mwenzenu huu ndiyo udhaifu wangu
Kiukweli huwa nikimuona mwanaume anavuta sigara au bangi nachizika kabisa,nimewahi kuwa na mpenzi wangu alikuwaga anavuta...
Habari wakuu,
Naombeni mnishauri.
Mimi nilioa miaka 18 iliyopita mpaka niko na mke wangu tuna watoto kadhaa na mali kadhaa. Sasa huyu mke wangu alikuwa mkiristo mimi muislam kwenye kufunga ndoa...
au haina uhusiano na wala hakuna muda muafaka? au mazingira yakiruhusu tu kazi iendelee?
maana naona mambo haya yanaendelea tu hadi msibani, na tena wengine ndio fursa kabisaa ya kuchepukia, si...
Amani iwe nanyi bandugu,, natumai muwazima wa afya. Bila kupepesa macho wala kuzunguka zunguka napenda kuwaletea kwenu swali fikirishi hili,,,,,
Hivi ni kwanini wanaume kwa asilimia kubwa wengi...
Wakuu katika harakati zangu niliwahi kuwa na mahusiano na dada mmoja ambae ni Nesi huyu nili-plan had kumuoa ili tusaidiane kwenye maisha.
Hatua za mwisho za mahusiano yetu alianza kunidanganya...
Habarini wadau.
Niende moja kwa moja kwenye mada...
Huyu mrembo wangu nimekuwa naye kwa zaidi ya miaka mitatu. Kabla hatujaanza kuishi pamoja alipata kazi mkoa wa mbali kidogo (dar) na hapa...
Habarini,
Unakutana na mdada mwenye mwonekano mzuri, shepu ipo, lakini yuko single, hana mtoto, na yupo kwenye umri wa kuolewa, mpaka unajiuliza huyu amelogwa na her village people, au ana jini...
Greetings of the day Ladies and Gentlemen,
Nina changamoto moja naomba ushauri wenu wanajamvi nina mke wa ndoa ya miaka 5 lakini kwa miezi ya hivi karibuni amekua hapendi kupika chakula kwa ajili...
Baada mchakato mzima wa utafutaji, utafanikiwa kupata riziki na maisha mazuri na kuinuliwa.
Baada ya hapo atapatikana mwanamke ambaye utaamua ufanye engagement na yeye
(kumtabulisha na kumvisha...
Siku ya Jumanne baada ya kufanya ya kufanya.
tukiwa tumejipumzisha story za hapa na pale zikiendelea. Tukajikuta tumeingia ktk story za jinsi mara ya kwanza anaajiriwa, Changamoto za alivoenda...
Ujue hapa duniani kume kuwapo na tuvitu vitu twa ajabu tusito na kichwa wala miguu ambato tumeanzishwa bila sababu yoyote ya msingi na watu mpaka leo wanatufanya bila ya kuwa na sababu ya msingi...
Habari za muda huu,
Natumai mko poa wana jamiii Leo sijaogopa kumpoteza binti mlokole nimemchana nikawambia wewe mimi kama hutak kunipa tunda na mimi usiniombe pesa.
Akasema sawa sitakuomba...
Kuna uzi humu wa jamaa ambaye amezinguana na wazazi wake kwa miaka mitatu.
Mimi yakiwahi kunikuta, ni baada ya kukaa ughaibuni kwa miaka kadhaa na kurudi nchini mikono mitupu.
Dunia ina rangi...
Wana Jf leo nimelala na wana wake wawili kwa mda usio pishana dakika 20
Wa kwanza nilipo maliza zikapita dakika 20 akaja Mwengn lakn kila mmoja nime mwaga mara moja tu nimeshindwa kupanda round...
Hivi kati ya hawa wahusika wawili wanaoudhi sana akili na nafsi yangu, ni nani hasa ndie kichocheo cha kuwepo huu mchezo wa hovyo kabisa ambao naamini hata machoni pa shetani mwenyewe ni maudhi tu?
Haya bwana long weekend ndio hii
Mefika nyumbani toka Arusha leo, nikaja kupokelewa na mtoto wa jirani ananikimbilia huku analia
baada ya kukaa nae ananieleza kuwa
Mtoto: Bibi Penny, juzi...
Ukiwekeza kwa mwanamke basi muda wote utakua unaishi na mashaka ya kumpoteza.
Uoga wa kumpoteza utakufanya kushusha chini standards zako na kupuuzia red flags unazoziona kutoka kwake.
Iwe...
Wazee wakubwa wa JF nimerudi tena yule binti wa kilokole jana tulienda beach ni Jumapili sasa nikamwambia msimamo wangu kuhusu tunda yeye anadaii nimpe muda.
Yaani yeye anachosema hawezi toa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.