Habari wana MMU,
Poleni na majukumu ya kila siku, Ipo hivi mimi ni kijana 24 yrs old. Nimelala nimefanya mapenzi na wanawake wengi sana niliowazidi umri, walionizidi umri, agemates. Sikuishia...
Habari zenu MMU,
Mimi ni kijana mwenzenu leo acha nifunguke nipate msaada wa mawazo.
Mimi nilianza nyeto mwaka 2014 baada ya kufundishwa na mtoto wa jirani yetu. Tokea hapo nimepiga nyeto sana...
Inawezekana umekua naye kwa miaka/ miezi kadhaa au ndio kwanza unamtongoza mwanamke, na mwanamke anaonesha amekukubali. Mpo pamoja lakini baada ya muda unaona anaanza kujiweka mbali nawe...
Unaweza kuhitimisha kwa kusema,
Inafedhehesha sana,
Inasikitisha sana,
Inasononesha sana kwakeli.
Uzuri wanakiri wenyewe kupiga nyeto kwa muda mrefu sana.
Ni aibu mno ndrugu zango..
Hivi sasa...
Nina swali kwa ndugu zetu wanawake je utaweza kuimudu familia ikiwa mumeo hayupo kwa namna yoyote Ile?
Au kwa Wanaume unauhakika kuwa Kama Leo au kesho ukifa au ukipata ulemavu wa kudumu mke...
Kwanini wanawake hasa walio kwenye mahusiano hawapendi kuambiwa ukweli?
Ni rahisi sana mwanamke kukuamini pindi unapomdanganya kuliko kumuambia ukweli.
Mwanamke anaweza kukuvulia nguo kirahisi...
Nipeni range ya kutoa posa na mahali huwa vinachukua muda gani wapendwa.[emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani ukitoa posa unakaa muda gani ndio utoe na mahari?
Maisha ni lazima yaendelee.
Nakiri kwamba nilikuwa malaya sana zamani lakini nikaamua kubadilika baada ya kugundua kwamba mahusiano mengi kwa wakati mmoja yanapoteza muda, rasilimali fedha...
Salaam wote!
Nimeaona sio vibaya nikawashirikisha hili wakuu daah, maisha ya duniani kama huyajui unaweza dhania unayajua kumbe kuna vingi vitu huvijui.
hata ule chumvi nyingi lakini vipo bado...
Kuna nyakati huwa tunapitia maisha magumu sana na shida zisizo simulika lakini haisababishi mioyo yetu kuwa na Ganzi katika mapenzi, bado tunapenda na kutamani kuwa na wanawake wazuri na mpenzi...
Nikiwa town kwenye mishe zangu,Kuna mahali mchana huwa napenda kwenda kula,wakati natoka Kuna mahali nilipita kwenda kuchukua mkoba wangu
Eeeeh sinikasikia naitwa,kugeuka namuona mbaba mtu mzima...
Wakuu ukisema Leo ngoja nikajiburudishe na mpenzi wako Kwa Dar Ni balaa,
1. Lodge (30,000-50,000 TSH),
2. Chakula/Vinywaji -;Savanna na Castle lite (40,000 Tsh),
3. Usafiri - Uber/bolt (20,000...
Hakuna mwanamke anayejielewa akaachika.
Hili lishangazi zuri kweli jeupee, sura nzuri umbo safi ila kichwani mmmmh
Lina mabinti wawili miaka 14 na 18, huwa wana tabia ya kushika simu yake na...
Jaman, baadhi ya wanawake walioolewa wanajisahau sana. Unakuta mchafu, ananuka jasho, haogi kwa wakati, hata kufua kwake ni mtihani. Kuna hawa wake za watu walioajiriwa, jamani, hata kama...
Kuna binti niliwahi kumuomba Namba akanipa namba Sasa nikasema nisiwe na haraka ya kumtongoza nikasema nianzishe nae mazoea nikawa namshiriksha kazi zangu za uandishi wa makala baadhi baadhi...
Kukaa kwenye dawati kufungua ukurasa kwa kwanza tu wa kitabu cha mtihani wa Utu Uzima. Hilo swali la kwanza. Jadili.
Hakuna kuchagua na hakuna "kweli si kweli". Yaani watu wanafunga ndoa ili kiwe...
Nimetoka kusoma Biblia sasa hivi
Dah, kupunguziwa Miaka 5 nayo mbaya.
Imagine Mungu alikuandikia kuishi Duniani Miaka 100, lakini ukazini na mwanamke nje ya ndoa kama 10 ivi ina maana wewe tuko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.