Kwanza kabisa namshukuru mh rais wetu. Anaupiga mwingi kinyama.
Katika pita pita maishani nimezalisha wanake wa 4. Katika hao watatu hawa kila muda nikijisikia kutaka kulamba naomba napangiwa...
Hello Wana JF...
Leo nimenijikuta nawakumbuka mademu wangu kabla sijaoa na mbwebwe zao za hapa na pale ila ujana una mambo sana namshukuru Mungu sikuukwaa maana... [emoji16]
Hawa ni top 3...
Heri ya jumapili wakuu
Sijui niko nyuma ya ulimwengu au ndio uzee unanisumbua.
Hivi mpenzi wako wa kike anapokuita we mwanaume wake "MUBABA" anakua na maana gani?
Maana kuna kibinti hivi vya mwaka...
Habarini
Utakuta ukimuuliza mdada kwanini hadi umri huo alio nao hajaolewa na yupo single, atakwambia hajaona mwanaume serious, baadhi ni kweli hawajapata wanaume serious, ila wadada wengine ni...
Wakuu,
Many of us have at least once enjoyed the best out of love life... I have had my best moments as well!!
I am just wondering how can one prepare for a life after the person you have loved...
Dada: money penny nisaidie
Money penny: ndio boss
Dada: nimekutana na kaka mmoja, juzi ijumaa, tukaanza kuchat akasema anatafuta mke wa kuoa
Money penny: ndio boss
Dada: tumeongea kwa simu...
Mteja; Money Penny
Money Penny: ndio boss
Mteja; sijapenda kabisa tabia yenu wanawake hasa huyu wangu
Money penny: nini tena jamaan
Mteja: huyu mwanamke nilienda sijapenda kabisa anachofanya...
Mwanaume ambae una mamlaka na hela yako utakua na mamlaka na maisha yako pia. Wanawake watakuita mbahili kwa sababu umekataa kuwamwagia hela lakini nakuambia ukweli, wanawake hao hao wanawaheshimu...
Wakuu tumegeane maujuzi hapa maana mara nyingi unakuta watu hawa wana wenzi wao au inakuwa ni geresha tu ya kuwababaisha walimwengu huku nje lakin huko ndani wanalala vitanda tofauti?
Haya twende kazi bila kurefusha story kichwa cha habari kinajieleza.
Unajiapiza nitaenda baa kunywa bia mbili tu, sitaki demu kabisa, tena unachagua sehemu hisiyo na mademu. Ile unamalizia bia...
Wakuu,
Kuna hii tabia ya hawa wanawake wa hapa kwetu Tanzania kupenda kuomba omba sana.
Mfano nimeamka tu asubuhi ya leo nimekutana na vijimeseji vya kuombwa mara elfu 15 mara elfu 10,na cha...
Ni kauli ya boss wangu miaka 5 nyuma kipindi namsaidia kwenye kijiwe chake Cha kutibu watu huku na yeye anapambana kwenye ajira ya serekali na kijiwe chake .Nikiwa kama mtu wa Maabara na muda...
Wiki iliyopita nlikua kwenye sherehe ya harusi. Well wanaooana wote nawafahamu. Bi harusi nilimfahamu kupitia bwana harusi. Bwana harusi nlimfahamu kupitia mzee wangu. I was very happy kwa bi...
Kuna baadhi ya wanawake wenye tabia ya kutothamini jasho wala kuhurumia nguvu za waume zao.
Watanzania walio wengi kipato chetu ni cha kuunga unga ili kipato chako kikuwezeshe kutimiza mahitaji...
Marriage is the world's biggest joke,a tool through which women enslave men.what is the point of living with someone who will offer nothing else but sex,you provide a lot of under the umbrella...
Kenya tunaambiwa Tanzania ina wanawake wazuri wa kuoa. Nikifwatilia mada humu waTanzania wanapitia yaleyale tunayoyapitia na wanawake Kenya. Maybe Rwanda and Ethiopia is the place to go
Baada ya yule alieamua kuolewa na nani na mimba kambebea,mtoto kamzalia,mwingine huyu kaamua kuolewa na mwanasesere wake alishonwa Kwa matambaa,huyu alishonewa na mamake zamani,kama muonavyo hapo...
Hello habari zenu kuna dada anatafuta mchumba HIV positive
Sifa zake
Muislam very religious
Umri 23
Mahali alipo mtwara
Vigezo vyake
Awe muislam
Asizidi miaka 40+
Kama utakua interested...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.