Upendo Uliovunjika: Hadithi ya kweli Yangu na Asha.
Nilipokuwa nasoma Civil Engineering ngazi ya Diploma chuoni Arusha, maisha yangu yalikuwa na mwelekeo mzuri. Nilijitahidi katika masomo yangu...
Ni mara kadhaa utasikia wanawake wakisema Mwanamke gharama. Hata awe ana Mtu wake anayempinda na yeye ana uwezo lazima atake kugharamiwa au kupewa matumizi. Wengine hushawishi hata kulipiwa ada za...
Wengi tunaamini wale watu wanaotuzunguka katika mazingira yetu ya kila siku ndio marafiki wa kweli; iwe tunakutana nao maeneo ya starehe kama bar, sehemu za miziki, harusini, au sherehe yoyote...
Kuna uzi nilileta juu ya maisha yangu kuwa magumu na bila msaada
Sasa kuna kazi nilisema ninafanya sikuiacha niliendelea nayo na nimelipwa pesa yangu ila sina mpango wa kuiacha nataka niendelee...
Naitwa James ni mwezi wa pili sasa tangu nihamie kwenye nyumba moja yenye wapangaji wengi maeneo ya Mwananyamala.
Kwenye nyumba hii tuko wapangaji watatu...wanawake wawili pamoja na mimi.
Mara...
je ni ipi ukiigundua itakufanya umpige chini bila maelezo ukiachilia usaliti au fumanizi.
Je,ukijua ni drug dealer
Je ,ukijua amewahi kuua?
Je,ukigundua anamiliki didlo kalificha?
Je ukigundua...
Portion 01:
Here We Go!
....Kwa upande wangu ni miongoni mwa wale watu wanaoamini maisha ni popote hivyo ni kawaida sana ukisikia naishi kijijini ndani ndani kabisa, cha msingi niwe naingiza...
Nyieee
Maswali yenu mnaniletea whatsapp sijapenda kabisa
Ila kuna ukweli huu wa asilimia 200 kwa wanawake
Ukitaka kujua kuwa mwanamke yuko vizuri kitandani, kumjaribu sio lazima umfunue na...
Habari za muda huu ndugu zanguni........
Wahenga wanasema kuishi kwingi ni kuyaona mengi.....katika hayo mengi kuna mabaya yanayoumiza na kutufunza na kuna mazuri yanayofurahisha.......
Suala la...
Shaloom shaloom shaloom
HAPA NINA CODE CHACHE SANA
KAMA HUKWENDAGA QUBA BAS SOMA HII ITAKUSAIDIA
Kutembea na mke wamtu
_tafuta namba mpya tofauti nayakwako (namba mama) mkiwa...
Mwenye ulimwengu wa Mapenzi mpaka sasa Kipi umejifunza unaweza kusema sasa nina PHD.
Binafsi nimegraduate katika kuwa na mwanamke mmoja bila kuwa na mwingine.
Niambie wewe.
Wadau hope mko poa
Mimi nimehamia nyumba ya kupanga hivi karibuni. Nyumba hii inawapangaji wengi vijana wakike na wakiume.
Sasa mpangaji ambaye chumba changu kimetazana na chake ni binti mrembo...
USIPODHIBITI HISIA ZA KUKOSA PESA KUNAWEZA FANYA UWE NA WIVU NA USUMBUFU WA KIJINGA KWENYE MAHUSIANO😔
Ukimuona tu na marafiki wenye hela tayari unajua ni lazima atawapenda wao na kukuacha wewe...
Wakuu,
Naandikaga Uzi huu nikiwa nimefedheheka Sana, kuna depression naifeel kabisa kufuani mwangu maana hata jamii sasa inanitizama tofauti Sana.
NI HIVI,
Kuna binti mmoja hapa mtaani Ni shoga...
Inasikitisha lakini ni funzo kwamba siri za chumbani ziishie chumbani
Mnaojirekodi vyumbani video zenu hazipo salama kwa asilimia 100 kama mnavyojidanganya, Simu yako ikiibiwa inaweza kuwa...
Kumekua na janga kubwa la wanaume si vijana kwa wazee kuchunwa, kutumia pesa nyingi kwa mwanamke bila manufaa yoyote na lengo kuu la mwanamke huyo ni kutumia pesa au mali zako na mwisho wa lengo...
Am sooo sooo so sad, ilikua jumamosi moja,tarehe kma ya leo nilipotoka club, nikiwa tungi.
Nafika home sijielewi elewi, gari nimeharibu bumper.
Naingia chumbani na viatu na kulala, naamka asubuhi...
Habari ya jioni wakuu katika Jf, poleni na hongereni kwa hekaheka za siku ya leo..
nimekaa hapa nikarafakari nikajiuliza nikakosa majibu imebidi nililete kwenu naombeni kuuliza wajuzi wa mambo...
Ni ushauri gani mnaweza kuipatia familia yangu juu ya wasiwasi huu?
Binafsi nilikiwa na wazo moja, kwamba nimtafute mwanaume nimlengeshe kwa sista bila ya yeye (sista) kujua halafu amuoe.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.