🙎Species inayoweza kumuelewa mwanamke ni mwanamke mwenzake, ndio maana wanachukiana.
🙅 Ukitaka kupoteza demu, wewe kuwa nice boy uone, then uki react kama bad boy kutokana na ukaidi wao unaitwa...
Kitambo sana wazee wa Kazi.
Kwanini mapenzi au ndoa nyingi huwa na migogoro pale uchumi wa Sisi WANAUME kushuka?
Nyinyi wanawake ambayo mpo kwenye ndoa Na ambao hampo kwenye ndoa hebu tujuzeni...
1.KUPIMA UWEZO WA MWANAUME KUJIAMINI (confidence test)
Mwanamke yeyote hupenda kupima uwezo wa kujiamini wa mwanaume wake.
Njia wanazotumia kufanikisha hilo sasa hutegemea makuzi na malezi yake...
Wakuu, poleni kwa kuwasumbua sana. Ni vile naipenda familia yangu na pia naipambania sana licha ya mwenzi wangu kutokuwa na shukrani.
Huenda yote haya yanatokana na kuzoeana sana ndani ya nyumba...
Mdau wa JamiiForums wacha nikusogezee makosa ambayo Mwanamke wako anavumiliwa na Makosa ya kusamehewa
1. Kupika vibaya
2. Kuzidisha chumvi.
3. Kulimbikiza uchafu.
Lakini sio.
1. Ku cheat na
2...
Kwanza ieleweke mwanaume brothermen sio kwamba ni bishoo,hapana yani sisi ni wale wanaume watanashati, tunajipenda hatuna shobo za kijinga kwa binadamu yeyote, tuna vijisent vya hapa na pale vya...
Kama mkiwa wote unaongea tofauti na matendo ufanyao pindi akiwa hakuoni jua wewe ni muigizaji tu na uhalisia wako upo kwenye hayo matendo ukiwa mbali.
Wengi hutafuta KUAMINIKA kuoitia maneno yao...
Kati ya wanaume wenye umri wa miaka 15-49 mwaka 2015–2019, 55.2% hawakuzaa mtoto wa kibaolojia, 14.8% walikuwa wamezaa mtoto mmoja wa kibaolojia, 17.4% walikuwa na watoto wawili, 8.2% walizaa...
Pichani ni Msanii Mkubwa Nchini Marekani Jennifer Lopez akiwa pamoja na mwanae “asiyekuwa na jinsia”…
Huyu dogo ni wa kike, lakini hajitambulishi kwa jinsia yoyote… Jamii ya watu wa aina hii...
Ebana eeeh kwema wadau
I rarely post jukwaa hili mara nyingi napita na soma na ku comment tu. Ila mpaka nimeamua kuanzisha thread ni vile nataka wanaume wenzangu hususani vijana ambao mna...
These 5 Sleeping Positions Tells The Kind of Relationship You have With Your Partner.
After a long day, everyone will appreciate having time to sleep, especially if you can share that place of...
Hii inahusu wanaume japo yaweza kuwahusu na wanawake pia.
Usifanye huu ujinga baada ya kuonja utamu na mpezi wako - amekupa utamu faragha mkiwa wawili tu yaani wewe na yeye, kisha ukamgeuka na...
Mm ni kijana 28 nina hamu sana na sex hata nikisex na mwanamke siku nzima kesho najikuta natamani tena kusex.
Mwanamke niliyekua naishi naye ameshindwa imebidi aondoke.
Hii hali naona kabisa...
Katika maisha ya ujana tunakutana na mambo mengi sana, mengine ya kutisha na mengine ya kawaida. Binafsi katika ujana wangu nimepitia mambo mengi mazito, nimeumizwa sana katika mapenzi na...
Mdau baada ya mihangaiko ya siku nzima ya kujenga nchi wacha tujipumzishe na hii, tufahamu Indicator za Mwanamke ambae anacheat.
1. Anakua mkali unapomjibu maswali rahisi au anakuuliza kwanza...
Katika harakati za mambo mbalimbali, juzi nilijisahau ikasalia kipande moja ya kondom kwenye droo ya gari.
Bahati mbaya zaidi wife alikua atumie the same car kwenda job the next morning.
Sasa...
Mimi ni mtoto pekee katika familia ya kitajiri.
Tangu nilipoolewa, nimekuwa nikiishi kwa furaha na mume wangu kwenye ndoa yetu takatifu ya kikatoliki. Sikuwahi kupata changamoto yoyote.
Furaha...
Tumefunga ndoa 2019 kwa sasa tunaishi mikoa tofauti sababu za kikazi juzi nimepata nafasi ya kuwatembelea mkoa aliopo nimeshiriki nae vizuri tu toka juzi.
Jana usiku wakati wa kushiriki wakati...
Japo mi binafsi nadhani inasababishwa na kuingia kwenye mahusiano bila upendo....kuingia kwenye mahusiano kusitirika na siyo upendo .....
Maoni yenu tafadhali...maana mapenzi yamepoteza maana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.