Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Hiyo nafasi niloacha hapo juu ni kwaajili ya salam. Ipo hivi. Pamekua na mambo mob sana hapa ndani, na vijana wengi wamekua wanalalamika kwamba "kumtunza ama kumhudumia mwanamke ambae sio mke...
15 Reactions
142 Replies
3K Views
Mimi ni kijana nikiishi Mkoa X, ambapo nilikuwa na mchumba ambaye tulibahatika kupata mtoto. Sote tulikuwa na ajira , lakini maisha yakaelekea tofauti, na hatimaye tukakutana na changamoto ambazo...
0 Reactions
7 Replies
441 Views
Wakuu, unaanzaje anzaje kutongoza mishangazi maana mishangazi unapoifata inakuwa seriouz sana, halafu ukienda kichwa kichwa unaweza ukakemewa na mshangazi hadi uone siku yako imeenda vibaya. Hapa...
46 Reactions
312 Replies
20K Views
Je,ni maswala gani ya msingi nihakikishe nayazingatia kabla ya kuingia kwenye ndoa ya namna hii,ndio kwanza tuna miezi mitatu ya mahusiano hatujafunga ndoa,mm nayy sotena miaka 32.sote...
7 Reactions
111 Replies
3K Views
Miaka ya karibuni wananchi wengi hasa vijana, wamejiingiza kwenye uhusiano wa kimapenzi na wageni hasa wazungu. Mapenzi hayakuanza leo, jana wala juzi. Yamekuwapo wakati wote. Ukweli ni kwamba...
0 Reactions
60 Replies
11K Views
Baada ya akili, mwili na roho kujikusanya, wanaume wengi tumekubaliana bila kutokukubaliana kuwa single mothers wengi wanapendwa na kuhitajiwa zaid kuliko mabinti. nitatumia neno "walio wengi...
27 Reactions
439 Replies
42K Views
Kwakifupi nihivi:- Kila tufanyapo tendo la ndoa, mwenzangu hutoa kilio pasipo machozi, huku ameikunja sura yake na wakatihuo hutamka neno naumia. Hiikiti imekua inanipa wakati mgumu na kunifanya...
3 Reactions
86 Replies
19K Views
Tumekua wachumba kwa muda na tulipanga kufunga ndoa lakini nimeshindwa aiseee. Kwanza kila tukitoka kwenda batani hajawahi kula kwa stara, yaani hajiheshimu kabisa kwenye kula mbwa huyu. Jana...
40 Reactions
207 Replies
6K Views
Maana hakuna mwanamke anaye kaa gheto halafu yuko single ...hapa tusidanganyane.
16 Reactions
76 Replies
3K Views
Wanaume walio wengi wanaingia gharama kuwafanyia wema wanawake kwa kuongozwa na huruma ya kuwaona wanawake ni innocent and honest creatures au kujitengenezea mazingira ya kupewa mbususu...
122 Reactions
426 Replies
21K Views
Acha tuambiane ukweli usikose mapenzi na kufanya mapenzi uko hatarini kuwa mwehu na kukosa afya akili, unapungukiwa furaha na amani, unakuwa zobe, zuzu, bwege, unakuwa kichaa unajawa na hasira...
2 Reactions
4 Replies
530 Views
Wakuu, Kwa kuanza, mimi ni kijana wa makamu, umri 35+, mfupi, kibonge, mweusi tiiiiiiii! Nimeajiriwa kwenye NGO moja ya wazungu, alhamdulilah familia inaenda chooni. Nimebahatika kuwa na watoto...
20 Reactions
59 Replies
2K Views
Kuna siku nilikuwa pub flan nishakura ngorondo zangu kiasi namanisha kilevi Cha bei rahisi Kikanipa confidence ya kuongea na msichana sijui mwana mama kifupi PISI KARI Kwakuwa nilikuwa na vitu...
4 Reactions
5 Replies
381 Views
Habari Wana jamii forum Mimi ni kijana umri miaka 27, ni mfanyabiashara na Nina degree ya chemistry Natafuta mwanamke wa kuoa , Naishi mabibo Umri wa mwanamke usizidi miaka 22
9 Reactions
83 Replies
2K Views
Ni matumaini yangu kila mmoja wetu ni mzima wa afya. Kuna issue moja jamaa yangu kanisimulia na kuniomba ushauri nikashindwa hata pa kuanzia kumshauri asee. Jamaa na mkew wako kwenye ndoa huu ni...
11 Reactions
50 Replies
2K Views
Wale ambao mnatembelea mitandao mbali mbali,kuna habar huko katika ule mtandao wa kindege,kwamba kuna mwamba ambaye yupo karibu na mkuu wa kaya,huyu mwamba kamnunulia tamu yake apartments...
3 Reactions
11 Replies
683 Views
Je ukienda kwenye a date na mtu ambaye mlikua mnachat tu na mkafika stage ya kulike each other, ukamuona yupo tofauti na kwenye picha zake je utafanyaje? Utaondoka na kumpotezea Au utamwambia ukweli?
6 Reactions
25 Replies
651 Views
Mfano umeanza kumtumia ujumbe wa kumsalimia mpenzi wako lakini ukaona kimya kisha baada ya dakika 20 ukaamua kumpigia lakini pia hapokei, unaamua kutulia kisha yeye anakuja kukujibu tu ujumbe wako...
4 Reactions
17 Replies
462 Views
Nimerudi Dar mara moja then baada ya kazi flani nitarudi tena Zanzibar. Zanzibar nyie na mimi mpaka kukuche. Kilichonifanya niandike thread hii ni tukio la kushangaza ambalo limetokea leo asubuhi...
11 Reactions
133 Replies
11K Views
Back
Top Bottom