Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Siku kama ya 5 hivi mpenzi wangu simuelewi mawasiliano hafifu ubize mwingi si kawaida nikimuuliza ananiambia ni kazi za nyumbani maana ameenda kwao baada ya kufunga chuo so kazi za shambani ni...
19 Reactions
183 Replies
3K Views
Kila mwanaume ana vigezo maalum au sifa anazozitazamia kwa mwanamke ambaye angependa kuwa naye kwenye ndoa, na mara nyingi tabia hizi zinakuwa ni msingi muhimu kabla ya kuingia kwenye mahusiano...
1 Reactions
5 Replies
630 Views
Habari wadau je jukwaa la wanaume na wanawake tumtangaze huyu jamaa ambae amekufa akimtetea mke wake dhidi ya wadai wake kama man of the year!? Maana si kawaida huenda mwingine angekimbia na...
0 Reactions
1 Replies
224 Views
Ndugu wana JF wasalaaam, Napenda ku-share nanyi hii stori ili iwe fundisho kwa wengine wasije wakafanya makosa kama nilivyofanya mimi. Katika mizunguko na harakati za maisha nikakutana na...
26 Reactions
70 Replies
7K Views
Ni sahihi mwanamke kutambaa kwa magoti wakati wa kupeleka keki kwa wakwe? Kwa mlio wahi kupiga magoti ukumbini au kushuhudia mna maoni gani kwenye swala hili?
0 Reactions
4 Replies
605 Views
Kamwe usiolewe na mwanaume ambaye hawezi kukulipia mahari. Sikuwahi kuona kwenye Biblia mwanaume aliyepewa mke bure. Tena wengine mnajifanya kupenda sana, unalazimisha kuolewa na mwanaume ambaye...
80 Reactions
760 Replies
45K Views
Habari Najua unapitishwa katika magumu, mazito na maumivu ni makali hayastahimiliki lakini nakuomba mno usivunjike moyo. Usiwaze kunywa sumu Kunywa sumu si suluhisho,wapo watu wengi sana nyuma...
34 Reactions
53 Replies
4K Views
Habari! Natumaini wote ni wazima na namshukuru Mungu juu ya kila mmoja wetu. Natamani kushare nanyi mambo haya machache muhimu katika Uchumba; 1. Usiweke agano na mchumba. Kuna Watu huwa...
52 Reactions
252 Replies
20K Views
Habarini , hopefully mpo salama Kumekuwa na malalamiko mengi hasa wakaka wanalalamika kutopata wenza ama wachumba sahihi Wachumba wengi wamekuwa pasua kichwa[emoji27][emoji27] Kwa dada/mwanamke...
30 Reactions
274 Replies
28K Views
Simp defnition: 'Simp' is slang for a person (typically a man) who is desperate for the attention and affection of someone else (typically a woman) Sensa 2022 inasema wanawakae ni wengi kuliko...
43 Reactions
196 Replies
8K Views
Kama upo single baki tuu kuwa single, maana usipotoa shida ukitoa shida vilevile.
25 Reactions
151 Replies
2K Views
Niliamua nijirushe kwenye sherehe ya harusi huko kijijini usukumani,baada ya purukushani za sherehe namengine kadharika ukafika ule muda wa usiku mmbovu, dj akaamua aliamshe dude!. Disko vumbi...
23 Reactions
59 Replies
8K Views
Achana na hizi kauli kwamba usishike simu ya mumeo/mkeo ikiwa unataka kulinda penzi..hizo ni kauli za watu malaya au wasio waaminifu kwenye mapenzi yao.kimsimgi kama mnapendana na mwenzako...
7 Reactions
26 Replies
635 Views
Simjui na wala hanijui, tulikutana kwenye baa moja hivi akanipa namba ya simu nikampa. sasa kila siku ananipigia au kutuma sms kuwa anataka kimapenzi. Namzidi miaka 20 hivi, shinikizo ni kubwa. Je...
6 Reactions
47 Replies
2K Views
Huyu bwana kanijia na jambo Lake kwakuwa ananiona nabusara naweza mpa ushauri, lakini na mimi naona kama nakosa majibu tumsaidie. Nyumbani kwake kaja kuishi shemeji yake, ni binti mbichi tu...
8 Reactions
54 Replies
2K Views
Kifaa kinajieleza. Funguo zinabak maskan! Huduma inabak ya mmoja tu!. Unatafta hela kwa aman ya nafs, mwili na roho. Unapata watoto wa nyonga yako tu. Unafanya style zote bila hofu ya maambukiz...
2 Reactions
8 Replies
263 Views
Iko hivi; MIAKA 12-16: Anapoteza bikra kwa boys wa secondary au primary, hapo ndipo anaanza rasmi safari ya maisha ya kubadili wanaume MIAKA 17-20: Hapa ndipo anapojiona kuwa dunia yote yake...
101 Reactions
330 Replies
9K Views
Hakuna mwanamke asiyependa raha hapa duniani Na tunaamini ukiwa kwenye mahusiano na boy mwenye usafiri wa gari uta-enjoy mapenzi kuliko ambaye hana usafiri wake Huwa tunafurahi na kujihisi...
7 Reactions
81 Replies
9K Views
Kwa trends ya mambo yanayoendelea yupi Anahitaji zaidi ndoa kati ya jinsia Mwanamke na jinsia Mwanaume kutokana na kuingia na mambo ya usawa wa kijinsia na uwepo wa tamaduni zetu za kiafrika yupi...
4 Reactions
29 Replies
1K Views
Kama una uraibu wa nyeto, kuoa au kuwa na mademu wengi sio suluhisho. Nyeto haiingiliani popote na K. Kuna clip iliwahi kuvuja ya waziri mmoja wa Kenya anapiga nyeto ofisini akijirekodi. Yule ni...
26 Reactions
125 Replies
6K Views
Back
Top Bottom