Yani Kwanza jamaa unaonekana hela ipo, demu mkali anae, halafu demu mwenyewe bado mdogo Mali mpya kabisaaaaa.
Na demu mwenyewe yupo romantic kuliko mademu wengi Sana hapa nchini
Natamani...
Kabla mambo hayajawa mengi ni ufala kwa mwanaume kuanzisha mahusiano yoyote kwa gia ya pesa.
Kifupi ukianzisha hayo mahusiano jua umesaini mkataba wa kutumika. Na utatumika kama kondom vile...
Kuna watu ambao wanajikuta wakilala huwaota watu ambao waliwahi kuingia nao katika mahusiano lakini wakaachana.
✍️Zipo sababu nyingi sana lakini kupitia Makala hii utaenda kujifunza sababu kubwa...
Natumai wapo wajuzi ambao wanaelimu ya kuweza kutueleza kuwa ukiona hivi au vile basi uelewe kuwa bado mwanamama ni mwari na hajaguswa kabisa na anaendeleza heshima yake, na kuna wengine ukiwaona...
Kwanini kuna baadhi ya wanaume hupenda kutoa bikra (siyo ya kichina) kwa wanawake/mabinti wakati siku ya hiyo shughuli huwa na usumbufu na kelele za maumivu wakati wa mchakato?
Je ni kweli...
Ebana mwaka 2023 mwez wa9 mwanzoni nilikutana na huyu single maza tukakubaliana kutimiziana haja zetu bila mkataba kwani tulitafutana mara tu tulipokuwa tunahitajiana.
Sasa mwez wa9 mwishoni 2023...
Mwaka 2018 nilimuelewaga binti enzi hizo yeye ana miaka 25 mimi nna miaka 30, na mda huo nlikuwa nishajipata kujenga tayari kazi nzuri nnayo na biashara zangu so kuowa haikunipa shida
Binti...
Wazee wa zamani walikuwa wakitoka safari ya siku nyingi walikuwa Hawa fikii nyumbani hapana wanafikia vilabuniii
Kisha Wana mtuma Mtoto apeleke begi nyumbani ili mke ajue mumewe kafika
Kusudi...
Halafu badala ya kwenda kwenye nyumba za ibada kuomba Mungu na kuombewa uondokane na hiyo Roho ya maringo, kiburi, hasira na dharau, eti unataka uombewe upate mume.
Mume gani atakuoa ukiwa mbishi...
Wana JF hali gani huko katika pilika za hapa na pale.
Kwa hali ilivo sasa ukiachilia mbali wazazi kusema mmesomesha mmelea na mmekuza hii hoja ya ya kutoa mahari inaanza kukosa mashiko.
Msingi...
Wana wa Tanzania amani iwe kwenu.
Me Leo wala sina mambo mengi .....natamani tu kujua wale wenzangu mnaowapanga wanawake au wanaume zaidi ya mmoja, wawili au watatu au zaidi mnawezaje? Me...
Kwanza mimi ni mzee wa 51.
Sioni dalili yoyote wanaoyopitia wenzangu wa 40s na 50s
Jambo moja tu ni hamu ya tendo imepotea japo kikiwaka minawaka kweli kweli mpaka mwanamke anaomba maji...
Katika harakati za ujana chuoni, kuna manzi nilikuwa namkubali balaa, nilikuwa najua ndio nitamuoa kabisa baada ya kutendwa na wa kwanza
Basi nilimuhudumia sana yule Demu kwa dhati kabisa.
Basi...
Tulimaliza Form four 2009
Hatuna mawasiliano yoyote baada ya shule
Shuleni hatukuwa marafiki kivile
Sasa mambo yamebadilika, tumekuwa wazazi, tuna majukumu mengine
Mijadala ya magroup haya ni...
Waungwana salama,
Yaani week nzima unajiandaa kula tunda na mwenza wako halafu anakuja anakupa kifo cha mende kimoja (style ya mvivu) chaliii amelala hadi asubuhi nguvu hana tena. Unahangaika...
Wakuu kwema.
Nataka kushare kitu kinachoniumiza moyo lakini sina jinsi.
Nimeoa ni zaidi ya miaka 8 sasa, tuna watoto watatu na tunaishi vizuri tu ndani ya ndoa yetu.
Kitu kinanachonitatiza...
Habari za muda huu, kama kichwa cha habari kinavyoeleza, naomba kujua changamoto za kuoa mwanamke ambaye ni daktari kabla sijachukua maamuzi, daktari nikimaanisha Medical Doctor (MD).
Karibuni
"Akina mama wa Kidamba yaani Wandamba wa Malinyi Morogoro hii ni asili yenu au huyu mama mkwe wangu ana lake jambo.
Iko hivi nimeoa kwa ndoa sasa mwaka wa pili ndani mke wangu tunaheshimiana sana...
Ni binti mrembo anampenda MUNGU na mwenye akili ila amezaa na Mume wa mtu ambaye mwanzoni wakati penzi limepamba moto Mwanaume alimuambia Mdada aache kazi atamuhudumia na mtoto ila penzi life...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.