Wanawake zangu wote ambao nimewahi kuishi nao lazima kuna siku nilikunywa kamnyweso kakanikwangua utumbo niliporudi home ile njaa ikanipelekea kulamba sufuria zima la mboga.basi ile stori mpaka...
Wapwa natumaini ni wazima wa afya na pia poleni na majukumu ya kulijenga.
Mi kijana wenu katika harakati nimekutana binti mmoja nimetokea ku fall in love tunapendana sana kuhusu kumuhudumia na...
Habar wakuu,
Huyu mwanamke amejiajiri Ni fundi cherehani, ana miaka 27 hajaolewa na anaishi mwenyewe na mtoto wake mmoja wa kike.
Tulikutana vipi?
Kwenye fremu wanakoshonea nguo na wanawake...
Ushauri kwa vijana kuhusu ndoa ni muhimu, kwani ndoa ni hatua kubwa inayohitaji maandalizi ya kiakili, kihisia, na kifedha. Hapa kuna mambo muhimu ya kuzingatia:
1. Kujitambua na Kujitayarisha...
kwema wakuu. sema kweli hivi vitoto vinavutia sana ila ukianza mchakato wa kuvitongoza unaweza kata tamaa.
Heri mishangazi ukiropoka tu mikeka inatiki.. kwaheri vitoto vya afmbili tutaonana tena...
I'm still hurting I can't do anything, my heart is hurting so much this was the man I love so much I never betrayed him but he behaved I wish I had the ability to reach him and tell him that I...
I have never found the right words to tell or describe how I feel about you. I love you. I hope you know that my love for you grows with each breath in the depth of my heart. I love you always. I...
INSPIRED BY THIS PHOTO
Nikiangalia huyo kijana ( IBWE ) ni Kama Mimi tuu kuanzia muonekano, body,utanashati, umri na kila kitu hatujapishana Sana labda kazi TU
Binafsi nimechoka kuwa na...
Naishi Dodoma ila kwa sasa nipo Dar Ukonga KMKM ambapo nimejenga makazi yangu ya kupangisha. Kama mna kumbukumbu nzuri nilileta uzi humu majuzi nikiomba ushauri wa namna ya kudeal na mpangaji...
Huyu ni mpangaji mwenzangu, ameolewa nami nina mke, kwa siku kadhaa mke wangu ambae nampenda sana yuko likizo hivo kila nikurudi au napokuwa nafanyafanya vishughuli vya hapa nyumbani huchukua nguo...
UKIFANIKIWA NDIO UTAJUA WATU NI VIGEU GEU, WALIOKUKIMBIA NDIO WANAKUKIMBILIA
Kama uliwahi kuachwa kwa dharau na maneno makali hata usiumize kichwa sana kujiona hufai , siku UKIFANIKIWA kiuchumi...
Weekend Imekuwa ndefu
Nipo arusha Land Rover festival kuna wakenya wamekuja hapa wana kero zao
Mkenya mmoja analalamika kwa wakenya wenzake kuwa
Hatompa tena mwanamke yeyote kichwa kwenye...
Habarini ndugu zangu,
Siku nyingi Sana sijaanzisha Uzi humu
Nina swali ambali nimeuliza Artificial intelligence wengi na pia marafiki zangu wengi wa kiume na wa kike...nimepata majibu tofauti...
Wakuu habari za humu ndani.
Mpaka sasa najiuliza why she don't care. Wakuu nipo na mahusiano lakini hata simwelewi huyu mwenzangu mpaka sasa.
Yupo careless an usipomtafuta sahau kutafutwa. Hana...
Nimemulika mwizi!!! Fakeni kabisa
Miaka yote nasikia mume anauma mume anauma nikawa nasema wanaume hawa walivyo wengi anauma nini bwana?? Leo yamenikuta.
Kama mwezi umepita nilikuwa nahisi...
Wanawake wengi mjini ni wachafu kupindukia na sisi Wanaume tunawaona jinsi mnavyohangaika kujichafua ili tuwapende,mi nataka Muke tu kuwa sisi Wanaume tunaakili hatuwezi kuvutiwa na uchafu Bali...
Leo nimekuja kuangalia maendeleo ya binti yangu anayesoma katika huu mkoa wa Kilimanjaro, baada ya kutoka hapo imebidi niingie kiwanja kimoja hapa angalau kujiliwaza na kupunguza uchovu wa safari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.