Professor jizee kiukweli amepata mke bora na mwema sana aisee na mvumilivu aisee professor jizee pongezi zote amepeleka kwa mke wake na sijui amefanyeje kumpata yule mke wake na sikutegemea mke...
Kama unaogopa kutuma nauli ya basi kutoka mkoa X kwenda mkoa Y utaweza kweli kuagiza mzigo wa milioni kadhaa online huko China au Dubai,
Duniani marisk taker ndio waliofanikiwa
Take a risk tuma...
Nilianza maisha kwa kutegemea mishahara ya ajira serikalini ila nashukuru nikaweza kujiongeza nifanye na biashara, huku kwenye biashara kwakweli huwa nakutana na watu wengi zaidi.
Sasa katika...
Siku hizi, imekuwa kawaida kusikia mtu amepata mtoto bila kufunga ndoa, jambo ambalo zamani lilikuwa nadra sana, na hata likitokea, lilikuwa na unyanyapaa mkubwa. Lakini leo hii, mambo...
Hii kitu 'K' haijarishi wewe ni mzungu? "Kwasababu nimeshiriki project nyingi za wazungu wakija huku wanakuwa marimbukeni mbele ya "k". Hii 'K' kama wewe ni kijana unajitafuta kuwa makini nayo...
Natamani sana nipate mwanamke mpole msikivu na tutakaeelewana ili tujenge familia pamoja.
Naahidi ntampenda na kumtunza.
Namba yangu [emoji117] 0757 692 993
Kama mahusiano yako yanakufanya ujisikie kuchoka na hauna raha,basi si wakati muafaka kwako kuendelea nayo
Kama unajikuta kila unachofanya ni kwa ajili ya kuhakikisha mahusiano yako yanaendelea...
Nilifahamiana naye kupitia instagram. Mara nyingi ni mtu wa kupost msambwanda ie. Walewale akina mautamu! Basi bhana, siku moja nikakutana na video yake ya ovyo sana iliyonisisimua mwili...
Wazee nawasalimu kwa jina la Baltazar....
Huyu Binti ni nurse katika hospital ya wilaya.
Nilimpata tuna kama mwezi sasa, alinizoea ghafla kiasi kwamba unaweza dhani ni mtu ambaye alikuwa na...
Ndugu wana JamiiForums naomba kuuliza swali? Swali langu linaweza kuonekana la kawaida Ila lina maana kubwa wengine husema uzuri wa mwanamke ni tabia. Wengine husema uzuri wa Mwanamke ni sura.
Je...
Wakuu !
Habari za majukumu na mishemishe za maisha ya kila siku ?
Huu msemo wa Mke wa mtu ni sumu hakika ni kweli na ni sumu kweli pale utakapo ingia kwenye 18 za mwenye mke wake.
Kuna visa kama...
Habari za saivi wakubwa
Kuna dogo bhana wa kiume alitokea kunikubali Sana Tena sana nimemzidi miaka kama mi 3 ivi alianza kunizoea Mimi nikawa namchukulia kama dogo
Alikuja kuniambia siku moja...
Wadau za saizi nipo hapa bed nimejilaza na shida zangu tu
Nikafikiri 97% ya shida zangu ninazopitia ni kwasababu sijatokea kwenye familia tajiri bali yenye hela
Nikawaza hivi wakina MO au...
Nimegundua wanaume waoaji na wenye nia ya dhati kuoa na kuishi na mke maisha ya kumpendeza Mwenyezi Mungu tupo tukianza na mimi ila kuna ugumu mkubwa na upinzani mkali sana katika kutafuta mke...
Najua humu wapo wanaJF waliowahi kukutana na aina hii ya wanawake ambao wenye vi tabia vya kiburi, dharau, kujisikia na majivuno either kutokana uzuli wao, kazi au anayoifanya n.k vinavyomfanya...
Wanaume wenzangu hivi unaoaje mwanamke mlevi kwa mfano?
Aisee unaanzia kuoa mwanamke mlevi duh so sad
Home niliona baba alikuwa akiingia jumamosi anakuja na bia mbili ndio anampa mama
Sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.