Ukibaini umekosea chaguo/njia basi usiogope kuanza upya, maana hata watu sahihi au wema hukosea chaguo kwasababu ya ubinadamu walioumbwa nao au wamesababishiwa na mtu
Mahusiano yanatakiwa yawe...
Mara nyingi katika mazingira fulani ambayo hatukutarajia na kwa namna isiyoeleweka kabisa ndipo tunakutana na watu wetu sahihi wakati mwingine hata tukiulizwa tulikutana wapi au tulifahamiana wapi...
Usiache kupenda tena, yawezekana huyo ndiye aliyekusudiwa kuwa wako. Ukiachana na mtu usisuse ila jisahihishe kisha daka chombo tena
Usikubali kuishia njiani kwasababu umeachwa, umeumizwa na mtu...
Wajumbe salama?
Hivi ni kwanini bado jamii yetu inaendelea kuwa na mtazamo kwamba ukionesha mapenzi kwa mkeo ni limbwata? Tunaamini sana katika ulozi? Ama ndiyo mfumo dume umeshatuathiri kwa...
Mwenyezi Mungu angekuwa anatuuliza akitaka kutuchukua rasmi kutoka duniani tunataka nini GENTAMYCINE jibu langu la haraka sana Kwake lingekuwa naomba akimtuma Israeli Mtoa Roho kunitwaa rasmi...
Tulianza mahusiano amenikuta na kiwanja kikubwa tu, nikamshauri pesa aingize kwenye ujenzi haina haja ya kununua kiwanja, ila amekuwa mzito kujenga juu ya ardhi ile, anadai siku mambo yakienda...
Duuh yaani hata kabla sijafafanua hoja, mnaanza kunifokea!?
Anyway, ukweli ni kwamba dunia hapo kale ilimtambua mume kuwa Kichwa Cha familia! Kiukweli kwa uhalisia wa nyakati zile Ilikuwa sahihi...
Mimi ni mwanaume wa miaka 27, nina mchumba tuliyedumu miaka 3 sasa kuanzia 2021 tulipomaliza chuo pamoja na mpaka sasa tunaishi pamoja
Nafanya kazi Kampuni ya mawasiliano na yeye anasoma masters...
Katika jamii nyingi za Kiafrika, kuna mtazamo uliojengeka kwamba mwanamke ni lazima azalie watoto ili awe "kamili" au awe amekamilisha wajibu wake kwa familia na jamii. Lakini hivi kweli tunapaswa...
Wakuu kwema?
Ex wangu ni nesi katika hospitali fulani hapa mjini. Tuliachana kwa masuala ya kawaida na wala si kwa ugomvi...
Sasa leo nikiwa katika pilikapilika zangu na demu wangu mpya...
Haya nimeulizwa huku
Kuna wale wana wapenzi wao wakati wanafanya tendo la ndoa uwa wanapenda kuongea ongea mpaka mwisho inaitwa dirty talk
Kuna wale wapenzi ambao kwenye tendo la ndoa wanakaa...
Tumeozesha majuzi tu
Sasa leo tunamwuliza bwana Harusi vipi honeymoon umeserereka mpaka mwisho?
Ila jamaa hana furaha kabisa
Ametutumia picha hii
TikTok - Make Your Day
Eh,
Nyie watoto acheni kumsumbua Mungu jamaan
Leo nimekaa kwenye lounge ya ofisi moja mjini, naskia wadada wawili wanaongea kwa kutiana moyo
Maongezi ya mmoja yalikuwa hivi,
"Nimechoka kuitwa...
Idadi yao yawezafikia watatu, ingawa mmoja alikanusha. Ila wawili nina uhakika maana alikubali na kuomba msamaha. Tuna miaka zaidi ya kumi ndoani. Kazi yangu ni ya kusafiri sana.
Saikolojia yangu...
Habari wana JF,ipo hivi Kuna binti mgeni hapa mtaani kwetu, aliletwa familia moja awasaidie kazi za ndani.
Si mnajua Tena akija mwanamke mpya lazima wanaume waanze process za kumunyatia.
kifupi...
Habar ndugu zangu.
Awa wanawake sijiu wanakuwa na shida gani.Yaani kuna muda hata huwezi elewa anataka nini kwako,ili mapenz yadumu.
Anyway nimeachwa kisa anasema huwa simtafuti mara kwa mara...
1. Awe na umri kuanzia 40+ na awe na kwake (private),
2. Awe mfanyabiashara mwenye bar, Mama lishe, saloon au boutique.
3. Awe na ndinga (Harrier au hata Alphard si mbaya), akuachie uwe dereva wa...
MKIGOMBANA NA MKEO, AKAENDA KWAO, USIMFUATE WALA USIMTAFUTE
Anaandika Robert Heriel.
Leo sina mengi ya kusema ndugu yenu. Nimefanya uchunguzi Kama mnavyonifahamu. Nikisemacho ni kweli tupu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.