Juzi kati mke wangu alikuwa anapitia msongo wa mawazo sana, anasoma ukubwani kwahiyo kubalance biashara na kisomo kinamramba, kama wiki mbili anadeal na kesi ya wizi dukani kwake na mitihani...
Hakuna msamaha wa cheating kwa mwanamke wako kaka.
Usithubutu kuruhusu kudharaulika mara mbili hatakama mtu unampenda kiasi gani.
Mpaka akathubutu kuruhusu kupanga siku mpaka wakaingiliana...
Watu wengi wanasikia tu kauli kuwa sio vizuri kumnyima mwenye njaa chakula lakini wengi wao hawana ufahamu hata kidogo kwasababu gani ni mwiko na kosa kumnyima mtu chakula.
Kuna wengine anaweza...
Mkutoka hapo mkafunge mkaombee sio jambo la kawaida nawashauri
Na ishahidi wengi yaliyowatokea wamelia kwenye ndoaa nami nataka wewe unaejiandaa kwa ndoa usiogope
Ikikutokea hiili nendeni...
Wakuu kama kuna mwanamke hapa mwajiriwa aliyepo morogoro au mpanda nifunge nae ndoa ili niweze kuhama huku niliko wilaya ya pangani mkoa wa Tanga mimi ni muajiriwa sekta ya Afya maana huku niliko...
Unajua kuwa maisha ya kuwa single ni magumu, hivyo tunahitaji kuwa na maisha ya wawili, tupate watoto na tujenge familia.
Kwa wale walioolewa kuanzia mwaka 2020 hadi 2023, maisha ya ndoa yakoje...
Jamii yetu inaamini kuwa Mwanaume ndiye mtongozaji na Mwanamke ndie kiumbe anastahili kutongozwa, si vinginevyo, na hii ni universal accepted, hayo ya mwanamke kuanza kusema ni ya sasa hivi kizazi...
Habarini za majukumu wakuu? Poleni na kazi za ujenzi wa taifa.
Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye point,
Nina msichana toka huko Tanga kwa wasambaa, sasa nahitaji kufanya nae...
Swali wakuu,
Je, mwanaume anaweza kutumiwa kingono na msichana? Kuna msichana mmoja ambaye kila mawasiliano ni kuhusu mambo ya ngono tu, hana mada nyingine.
Kila nikijaribu kubadilisha...
Bwana Gary Chapman anatupa Code ya kumjua mwenza wako na vitu gani umfanyie ili yeye AHITIMISHE KWAMBA ANAPENDWA NA WEWE
unaweza kufanya mambo mazuri tu lakini kwake yakawa sio kitu kwa sababu tu...
Kwanini umfukuzie naye wakati haonyeshi juhudi zake kukufukuzia?
Nilikumbuka nilipokuwa nikiburudika na Ex wangu, Sally. Alikuwa na mazoea ya kuweka simu yake kwenye silent wakati wowote nikiwa...
Wasalaam Wadau huu uzi nimefikiria kuuanzisha ili kupata maoni ya kina Dada/Wanawake wa humu Jamiiforums. Kama kichwa cha huu uzi kinavyojieleza Dada zangu ni nini hasa au kitu gani huwa...
Salalee,
Malikia cute ni habari ya Dunia, ukishangaa ya Musa basi subiri uyaone ya Filauni, yaani Malkia cute anafaa kwa pigo zote daima mbele nyuma mwiko na, habari ya mjini usikose nyama, na...
Ni hapa ninapokaa Kuna hiki kibinti kimeamia juzi juzi tu hakana ata miezi mitatu,
Si mnajua hizi nyumba za kupanga huku kwetu Kwa kina sisi apeche alolo bafu na choo Huwa ni vitu vya kushea ...
Shtuka! Usafi wa mwili wako ni jukumu lako....
Swaka kinywa chako zaidi ya mara moja kwa siku. Kama shughuli zako ni za juani baada ya kumaliza kazi koga vizuri na sugua vizuri kwapa zako, tena...
Ndugu zangu..
Japo wanaume tuna mioyo migumu ya kuvumilia kila jambo ila hakuna kauli inayouma na kujeruhi sana kama kuambiwa huna "UTU" na mkeo
Sasa .
Hivi nyie wezangu mkiambiwa hamna utu na...
Siku ya ‘Boyfriend Day’ huadhimishwa kila Oktoba 03 ya kila mwaka. Ni siku inayotumiwa na watu kuonesha upendo na shukrani kwa wapenzi wao wa kiume.
Usiniulize gfriend day bado naitafyta kwenye...
Wakuu maisha yangu yamejaa mapito magumu sana ambayo kuwa sitarajii kabisa kukutana nayo kwenye maisha yangu.
mwaka juzi mwezi wa kumi tarehe 9 nilitoka mbeya na kurudi dar na kesho yake...